Kwani kioo cha ndani na nje huwa na Bei tofauti?kioo cha ndani kimevunjika, mimi nilipata hilo tatizo. ila inatengezwa tu kwa kubadilisha kioo cha ndani
Ndio. Kunakua na glass ya juu ambayo ni bei rahisi alaf kuna kioo cha ndani kinachoonesha kinakua ni bei kubwa. Inategemea ni simu gani. Kuna baadhi ya simu huwezi badilisha cha ndani tu unabadilisha complete zoteKwani kioo cha ndani na nje huwa na Bei tofauti?
Simu ni Huawei Y9 PrimeNdio. Kunakua na glass ya juu ambayo ni bei rahisi alaf kuna kioo cha ndani kinachoonesha kinakua ni bei kubwa. Inategemea ni simu gani. Kuna baadhi ya simu huwezi badilisha cha ndani tu unabadilisha complete zote
Unamchanganya.Ndio. Kunakua na glass ya juu ambayo ni bei rahisi alaf kuna kioo cha ndani kinachoonesha kinakua ni bei kubwa. Inategemea ni simu gani. Kuna baadhi ya simu huwezi badilisha cha ndani tu unabadilisha complete zote
Kuna kipindi haitapotea itabaki hivyo hivyo. So fanya back up ya docs na media in case ikizingua isikupige bumbuazi.Na hii mistari inakuja na kupotea
Bhasi itakuwa ndio hiyo Display mkuuUnamchanganya.
Hua kunakua na display na screen touch.
Display ndiyo hiyo ina mistari. Simu inaweza anguka na bado ukawa unaitumia huku ina mistari means display imepata shida ila screen touch bado nzima.
Display hua na bei ya juu kuliko touch.
Duuh sawa mkuu kwa kunieleweshaKuna kipindi haitapotea itabaki hivyo hivyo. So fanya back up ya docs na media in case ikizingua isikupige bumbuazi.
Ila ulizia hata bei ya display ili siku ikifa kabisa ujue unajiandaaje
Ni uongo na ni ukweli.Duuh sawa mkuu kwa kunielewesha
Sema kuna jamaa aliniambia eti simu ukishabadilisha kioo. Lazima itakua na usumbufu ni bora niache hiki hiki
Je ni kweli?
Simu zenye laminated screen sikuhz glass ya juu ni glass tu haina touch. Touch digitizer inakua bado imejishikisha kwenye lcd/oled panel yenyewe. Kma umeenda kubailisha glass ya juu kwenye simu mpya hapa karibuni utakua umeona kwamba kile kioo anachobadilisha hakina circuit wa cable yoyote, ni kioo tu. Ndio maana sikuhizi unaweza kwenda kubadilisha glass ya juu hata kwenye simu kama A51 na bado utalipia 40,000 tuUnamchanganya.
Hua kunakua na display na screen touch.
Display ndiyo hiyo ina mistari. Simu inaweza anguka na bado ukawa unaitumia huku ina mistari means display imepata shida ila screen touch bado nzima.
Display hua na bei ya juu kuliko touch.