Hivi ni nani anayemtumia Mwakalebela? Na je Viongozi wengine hamwoni haja ya kumsaidia hili tatizo?

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
1,694
3,982
IMG-20210204-WA0211.jpg

Huyu jamaa ni kama dish limeyumba. Amekuwa akitumika vibaya kama bwege kiasi inatupa shida kuwa je a a tatizo kiakili? Yanga ilikuaje tukawa na kiongozi Bogus kama huyu? Yeye anaona suala linalomhusu Yanga ni la Morrison tu?
 
Nimemsikia asubuhi anawaambia mashabiki wa deportivo de utopolo kuwa swala la Morison lipo pazuri sana, wasiwe na wasi.
 
Na yeye ndo kete yake ya kuonekana yupo kidete na uongozi kwenye utopolo club. unajua pale sasahivi anayeonekana anaiongoza yanga ni Injinia said hawa akina mwakalebela mpaka watafute tukio la kutokea then wakazie ili waonekane wapo kwenye klabu.

Ameshasahau alivyolia na kuomba msamaha simba wasimpeleke mahakama ya michezo baada ya kusema yanga wamemsajili chama na huku bado ana mkataba na Mnyama.
 
Utelembwe hata kiongozi wenu aliwahi waita mbumbumbu

Mbona yule chawa manara kutwa kutaja wanaume wenzie
 
View attachment 1694608
Huyu jamaa ni kama dish limeyumba. Amekuwa akitumika vibaya kama bwege kiasi inatupa shida kuwa je a a tatizo kiakili? Yanga ilikuaje tukawa na kiongozi Bogus kama huyu? Yeye anaona suala linalomhusu Yanga ni la Morrison tu?
Huyu ni mpigaji tu yuko hapo kutafuta fursa za kutunisha tumbo lake,mumechelewa sana kumgutukia huyu tumbo timbo
 
Back
Top Bottom