Habari za leo wakuu, kuna shida moja katika upatikanaji wa AVN kwa wahitimu katika ngazi ya stashahada, hasa katika baadhi ya kozi zinazotolewa na baadhi ya taasisi za elimu.
Mimi ni mhitimu wa kozi ya UALIMU ELIMU YA UFUNDI SECONDARY ngazi ya stashahada, niliomba AVN nikapewa lakini kila...