tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi hili tatizo la mtandao kukata kabisa la voda nalipata mimi pekee au ni kote?

    Toka mwezi uliopita na hadi huu nimekua napata tatizo la mtandao wa voda upande wa inteneti kukata kabisa au kuwa na low speed siku nzima. 4g ya voda inazidiwa na 3g ya halotel. Je hili tatizo ni kwangu binafsi? Ama na wengine mnalipata? Nauliza hivo sababu nilishwai piga simu huduma kwa wateja...
  2. JamiiForums Tanzania Tatizo la Vatican siyo ushoga,tatizo ni ngono kwa ujumla

    Tatizo ni kwamba sex desire inakuwa na nguvu kubwa sana katika binadamu na ukiweka sheria kali kunaweza kuwaumiza watu. Sheria kama hizi: ukimtia mimba mtoto wa shule,miaka thelathini jela. Inakuwa vigumu kumpa mtu training ambayo inamwezesha kujikinga na hizo dangers,kwa hiyo inaonekana ni...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO MSD ilikabidhiwa kiwanda cha madawa Keko lakini kinaelekea kufa…

    Ni ajabu ila ni kweli. Bohari ya Dawa (MSD) ambayo ipo chini ya Wizara ya Afya ambayo Waziri wake ni Ummy Mwalimu ilikabidhiwa uendeshaji wa Kiwanda cha Dawa cha Keko na Msajili wa Hazina mwaka 2020, ambacho kinamilikiwa kwa Asilimia 70 na Serikali huku mbia binafsi akimiliki Asilimia 30...
  4. JamiiForums Tanzania Oya Wazee wa Kazi 'Eagle Wing Obey' wameshaanza 'Kunidukua' au kuna tatizo gani na Simu yangu au za Wengine?

    Simu yangu ninayotumia Line ya Airtel nikiwapigia Watu wengine wa Tigo, Airtel na Vodacom nawapata nawapata na tunasikilizana vizuri ila kwa Wengine Mimi nawasikia ila Wao hawanisikii kabisa. Haya Wataalamu ( Wajuvi ) wa Mambo hapa Tatizo Kuu ni nini? Nifanyeje ili litatuke? Na Simu ninayotumia...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Miaka 62 ya Uhuru na 59 ya mapinduzi PEMBA bado ni kitovu cha umaskini Tanzania ; tatizo ni nini?

    Nipo Pemba for the 1st time, nimezunguka hiki kisiwa chote. Naomba nikiri kwamba hali ya kiuchumi huku ni mbaya kuliko unavyoweza kudhania. Hakuna usafiri wakueleweka kama Unguja,. Lakini pia maisha ya wananchi ni duni sana. Hakuna maduka ya bidhaa, hakuna lodge wala hotel zakufikia, hakuna...
  6. JamiiForums Tanzania Kilimo kinatesa sana siku hizi hebu wataalamu nisaidieni tatizo hili kwenye mazao ya chakula

    Zamani nakumbuka ilikuwa mchawi nguvu tu, chochote utakachopanda kinakubali na kinafika Siku hizi sasa mkulima ana vikwazo na maadui kibao! Hebu cheki mtu unalima mazao yako kisha kuna Viwavi Panya Njiwa Ndege Kware Panzi Mchwa Vibaruti Beetle Serikali Majongoo Konokono Halmashauri Mafuriko...
  7. M

    JamiiForums Tanzania "Chawa watu" ni watu Wachafu

    Mdudu chawa hupatikana kwa watu wachafu, hakika kwa sasa hali sio shwari kwani chawa watu wamevamia kila sehemu. Chawa watu hawana umri ni yeyote tu anaweza kuwa chawa mtu ili mradi apate anachokitaka. Wapo wa miaka 80 mpaka 15 ili mradi awe na uwezo wa kupaza sauti. Chawa watu wapo wenye elimu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nafikiri tatizo la Chid Benz linaanzia kwa mama yake pia

    Wasalaam. Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema nimeona interview ya mama yake Chid Benz na Clouds tv kwenye kipindi cha Shajara. Huyu mama kwakweli yeye mwenyewe hajakubali kama mwanaye ana shida yaani hana Imani kabisa kwamba Chid ana shida. Hii inaweza kupelekea Chid asipate unafuu...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu tatizo la koo kuhuma (persistent sore throat)

    Habari ndugu zangu wa JF ..kama heading inavyojieleza naomba msaada wenu kwa ushauri najua JF ina kila aina ya watu nimeamua Nije apa kwakuwa nina amini hii ni nyumba ya kila kitu. Tatizo langu la koo kuhuma lilianza takribani miezi 6 iliyopita..Nilianza kusikia maumivu ninapomeza chakula,shida...
  10. JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu wa tatizo hili.

    Habari za muda huu pia nitoe pole kwa wote wenye changamoto ya kila aina. Naomba niwasilishe ombi la msaada kwa kila mwenye uelewa nalo, iko hivi nina ndugu yangu alipata ajari ya pikipiki huko vijijini mguu ukavunjika lakini mfupa haikuachana kabisa ulibaki upande umeshikana na upande imeachana...
  11. JamiiForums Tanzania Lijue tatizo jipya la kisaikolojia ambapo mtu aliyepata "mafanikio" kwenye maisha yake huamini kwamba watu wake wa karibu wanamchukia

    Wewe unaesoma Uzi huu bila shaka : 1. Umewahi KUKUTANA na mtu mwenye tatizo kama hili. Au 2. Wewe mwenyewe una tatizo hilo ila hujui kama upo nalo. Tatizo hili mara nyingi humkuta mtu ambae amepiga hatua kidogo kwenye maisha au amepata breakthrough kiuchumi jambo ambalo yeye analitafsiri kama...
  12. JamiiForums Tanzania Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133

    Serikali imetoa taarifa kuhusu maendeleo ya hali baada ya maafa ya maporomoko ya tope, mawe, magogo na mawe kutoka mlima Hanang Wilayani Hanang Mkoa wa Manyara, ambapo imesema hadi kufikiasaa 6:00 mchana leo December 08,2023 idadi ya vifo imefikia 80 (Watu wazima ni 48 wakiwemo Wanaume 19 na...
  13. JamiiForums Tanzania Kwani Rais huoni hili tatizo la CWT?

    i) Mapato yatokanayo na vitega uchumi vya chama mfano: Mwalimu house na ofisi za CWT kila mkoa (rent), je vinamnufaishaje mwalimu ambaye ni mchangiaji mkuu? ii) Kwanini C.W.T wanakusanya michango kwa wanachama kila mwezi badala ya kukusanya mara moja kwa mwaka kama vyama vingine? iii) Kwanini...
  14. JamiiForums Tanzania Sleep walking: Tatizo la kuamka ukiwa usingizini na kuanza kutembea ama kufanya vitendo bila kujitambua

    Ni hali ambayo mtu hufanya vitendo akiwa usingizini bila kujitambua. Vitendo hivyo vinaweza kuwa kuzungumza, kuketi wima kitandani, kwenda msalani, kufanya usafi, kula au kuonyesha vitendo visivyo vya kawaida kama vile kunyakua vitu visivyoonekana hewani n.k. Wakati mwingine mtu anaweza...
  15. JamiiForums Tanzania Laptop yangu ina shida ya internet

    Wakuu habari zenu, natumainia kuwa mko vizuri na wenye afya dhoofu Mwenyezimungu awafanyie wepesi pia. Moja kwa moja, Pc yangu ina shida ya internet yani haiwezi ku-connect wireless internet labda nitumie Ethernet, na sababu kuu inaniambia ya kuwa cellular radio iko off. Naomba msaada kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi tatizo ni kukosa Elimu,Uelewa au Exposure?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Nimekuwa nikifuatilia mambo yanayoendelea kwenye hii nchi nabaki kushangaa tu kama mtalii! Ukiangalia hata mambo madogo tu ya mtu mmoja mmoja bado ni tatizo kubwa mno!,Hivi Tatizo ni nini? Nimekuwa nikipitia mitandao kadhaa ya kijamii na kuona namna...
  17. JamiiForums Tanzania Wasomi wengi kuburuzwa na viongozi tatizo ni ubovu wa elimu yetu au nini

    Wadau habarini za jioni, poleni na jukumu la kujenga taifa, Ndiyo tunaelekea mwisho wa mwaka bado siku 30 tu mwaka uishe je umefikia malengo yako au ndio kuishi kwa mazoea kama watanzania wengi tulivyozoea niende kwenye mada. Hivi karibuni kumetokea tabia au mazoea ya wanasiasa kuwazarau...
  18. JamiiForums Tanzania Mbunge Jimbo la Ulanga: Tatizo la Kompyuta na Photocopy Mashine Nitalimaliza

    Mbunge wa jimbo la Ulanga mkoani Morogoro Salim Alaudin Hasham amesema atahakikisha anapambana kutatua changamoto ya vifaa vya mashuleni ili kuinua kiwango cha ufaulu wilayani humo. Mbunge Salim ameyasema hayo wakati akigawa vifaa hivyo ambavyo aliahidi kwa shule tatu zitakazo fanya vizuri...
  19. JamiiForums Tanzania Tanesco Mmekata Umeme kwa Saa 24 sasa maeneo ya Mbezi, Kimara, Kijitonyama, Tatizo nini?

    Kwasasa sababu zimekuwa hazieleweki, wanakata umeme bila Taarifa, kwa muda mrefu kiasi hivi, bila kuipa jamii taarifa, Biashara nyingi zinategemea umeme kwanini Mnaumiza wafanya biashara kama hivi, hawajajiandaa kabisa kukosa umeme. Nilipiga simu nikaambiwa maji hyingi, hayaingii wapi? Mbona...
  20. JamiiForums Tanzania Polisi kumng'ang'ania mtuhumiwa na hali ya kuwa walalamikaji hawana mpango na kesi tatizo ni nini?

    Wakuu kuna jamaa yangu alipatwa na tatizo wakawa wamempeleka polisi, kule polisi akapata dhamana kwa sababu kosa lake lilikuwa lina dhamana, akaenda kuzungumza na wale waliokuwa wanamshitaki na wakawa wameelewana kuwa mambo yasiendelee mbele zaidi yaani kufika mahakamani. Sasa changamoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…