Miaka 62 ya Uhuru na 59 ya mapinduzi PEMBA bado ni kitovu cha umaskini Tanzania ; tatizo ni nini?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
890
4,140
Nipo Pemba for the 1st time, nimezunguka hiki kisiwa chote. Naomba nikiri kwamba hali ya kiuchumi huku ni mbaya kuliko unavyoweza kudhania. Hakuna usafiri wakueleweka kama Unguja,. Lakini pia maisha ya wananchi ni duni sana. Hakuna maduka ya bidhaa, hakuna lodge wala hotel zakufikia, hakuna usafiri wakueleweka.

Natambua kwamba huu mji una milima mingi lakini tulipaswa kuwekeza japo kidogo. Tujenge japo shopping mall au marikiti kubwa ...tufungue usafiri kwa kuweka vyombo vyenye hadhi.

Mzee Mwinyi business park unayotengeza ilipaswa kujengwa pemba siyo Unguja. Lakini pia Wapemba fanyeni maamuzi yakupajenga kwenu....you are so strong mentally, economically and politically compared to those from Unguja.......pendeni kwenu pls
 
Pemba imekuwa ikibaguliwa kisiasa tangu siku ya mapinduzi. Serikali ya mwarabu (iliyoponduliwa) iliundwa zaidi na wapemba (Hezbollah wale wa Lebanon) .

Bila hivyo Pemba ingekuwa ndiyo Geneva ya Afrika kwasabb wapemba ni wafanya biashara wazuri sana.

Hao waunguja pamoja na kupendelewa ktk maendeleo lkn ni wavivu hatari. Wanachojua wao ni kula madawa ya kulevya, kusagana, kufanya ushoga n.k.
 
Nipo Pemba for the 1st time, nimezunguka hiki kisiwa chote. Naomba nikiri kwamba hali ya kiuchumi huku ni mbaya kuliko unavyoweza kudhania. Hakuna usafiri wakueleweka kama Unguja,. Lakini pia maisha ya wananchi ni duni sana. Hakuna maduka ya bidhaa, hakuna lodge wala hotel zakufikia, hakuna usafiri wakueleweka.

Natambua kwamba huu mji una milima mingi lakini tulipaswa kuwekeza japo kidogo. Tujenge japo shopping mall au marikiti kubwa ...tufungue usafiri kwa kuweka vyombo vyenye hadhi.

Mzee Mwinyi business park unayotengeza ilipaswa kujengwa pemba siyo Unguja. Lakini pia Wapemba fanyeni maamuzi yakupajenga kwenu....you are so strong mentally, economically and politically compared to those from Unguja.......pendeni kwenu pls
Pemba ni rural ya zanzibar mkuu. Rural afrika nzima zinafanana... Pemba iboreshwe kwenye uwekexaji wa shughuli mwitu hasa kilimo na ufugaji.. ni ajabu sana Zanzibar mpaka Leo nyanya kutoka bara.
 
Back
Top Bottom