Hivi hili tatizo la mtandao kukata kabisa la voda nalipata mimi pekee au ni kote?

kali linux

JF-Expert Member
May 21, 2017
1,996
5,054
Toka mwezi uliopita na hadi huu nimekua napata tatizo la mtandao wa voda upande wa inteneti kukata kabisa au kuwa na low speed siku nzima. 4g ya voda inazidiwa na 3g ya halotel.

Je hili tatizo ni kwangu binafsi? Ama na wengine mnalipata? Nauliza hivo sababu nilishwai piga simu huduma kwa wateja na yule alonihudumia akaishia kusema ‘Hata hivyo una matumizi makubwa saana ya intaneti ila tutafuatilia tatizo lako’ sasa najiuliza mtandao supa kweli umefikia hapa?
 
Back
Top Bottom