Oya Wazee wa Kazi 'Eagle Wing Obey' wameshaanza 'Kunidukua' au kuna tatizo gani na Simu yangu au za Wengine?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,651
109,041
Simu yangu ninayotumia Line ya Airtel nikiwapigia Watu wengine wa Tigo, Airtel na Vodacom nawapata nawapata na tunasikilizana vizuri ila kwa Wengine Mimi nawasikia ila Wao hawanisikii kabisa.

Haya Wataalamu ( Wajuvi ) wa Mambo hapa Tatizo Kuu ni nini? Nifanyeje ili litatuke? Na Simu ninayotumia ni ya kawaida sana Kulinganisha na zenu za Kitajiri ambapo natumia TECNO F2 LTE.

Nitashukuru mno kwa Maujuzi yenu.
 
Jaribu kununua nyingine alafu uone kama imedukuliwa. Au peleka kwa fundi arekebishe mic/receiver
 
Simu yangu ninayotumia Line ya Airtel nikiwapigia Watu wengine wa Tigo, Airtel na Vodacom nawapata nawapata na tunasikilizana vizuri ila kwa Wengine Mimi nawasikia ila Wao hawanisikii kabisa.

Haya Wataalamu ( Wajuvi ) wa Mambo hapa Tatizo Kuu ni nini? Nifanyeje ili litatuke? Na Simu ninayotumia ni ya kawaida sana Kulinganisha na zenu za Kitajiri ambapo natumia TECNO F2 LTE.

Nitashukuru mno kwa Maujuzi yenu.
Leta tako nikupe Google pixel mrembo
 
Back
Top Bottom