Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Tunaona kabisa mizaha mizaha na siasa kwenye mambo serious kama corona virus, tunaona viongozi wa siasa wanapinga mikusanyiko angali wao wamekusanyika na wamekusanya watu, kwa mitazamo yetu watanzania vile tusivyo penda kujifunza kutoka italia na china, hili gonjwa kama litadhibiwa kisiasa basi...
Ukiwa mfuatiliaji wa habari utagundua mara zote waziri wa afya Zanzibar mh Hamad Rashid amekuwa akimtangulia Ummy Mwalimu kwenye kutoa taarifa za Corona.
Mfano kuwaweka abiria wanaoingia nchini katika karantini alianza Hamad then Ummy akafuatia.
Jana Hamad Rashid katangaza ongezeko la mgonjwa...
Mungu atuepushe na hili janga, maana ni hatari, kule Rwanda namba inapanda kwa kasi ya ajabu ndani ya wiki mbili 46, Uganda kama 15 hivi kama sikosei, na Kenya 25 ndo usiseme maambukizi yamepanda hatari.
Huku kwetu mara ya mwisho Rais Magufuli anahutubia Taifa alisema Tanzania ni 12 na mmoja...
Waungwana poleni na mihangaiko ya kila siku pamoja na mbinde mbinde za kupambana na Corona.
Nije kwenye mada.
Mimi ni kijana ambaye nimesoma kwa pesa ya bodi ya mkopo Ila sikuwai kubahatika kupata kuajiriwa, nilijiongeza atimaye nikafungua duka langu mtaji Kama milioni 12.
Nimejenga na nina...
Tukianzia na mipaka ya nchi kavu upande wa kaskazini ilipo Kenya umejifunga
Upande wa kanda ya ziwa zilipo Uganda na Rwanda umejifunga
Upande wa magharibi zilipo DRC na Burundi umejifunga.
Na upande wa mashariki zilipo Zanzibar na Comoro umejifunga
Bado kusini ilipo Msumbiji na Nyanda za juu...
Ni muhimu sekta ya viwanda nchini hasa vile vya nguo vikaja na mpango kazi maalumu wa kuzalisha PPEs haswa masks za N95 ,COVERALL GOWNS ,BOOTS,GOGGLES,N.K
Kwakweli serikali ya Tanzania imelichukilia janga la COVID-19 kama jambo la mzaha kupita kiasi, hali hii imewafanya baadhi ya wananchi kubweteka kupita kiasi kutokana na janga hili.
Kwa haya niliyoshuhudia, nachelea kusema kuwa ikitokea COVID-19 ikaiathiri Tanzania kwa kiwango kikubwa basi...
Tujifunze kupongeza na kuamini tulio wapa dhamana ya kutuongoza. Kumekuwa na mvumo wa lawama zakijinga sana kiasi unasema watu wanatumia nini kufikiri?
Kiufupi atuwa serikali imezichukuwa kwa kupunguza kuenea coronavirus ni hatua mujarabu kwa hali yetu ya kiuchumi.
Swala la kufunga kila kitu...
Wakati ugonjwa unaosababishwa na kirusi cha Corona ukiendelea kusambaa na kuua watu wengi duniani, nchini Ujerumani idadi ya watu walokufa ni ndogo kulinganisha na nchi zingine barani Ulaya na duniani kwa ujumla
Kwa mujibu wa taasisi ya Robert Koch hadi kufikia Ijumaa asubuhi watu 13,957...
Wiki jana tumeona ufunguzi wa maonyesho katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya. Tukio hilo muhimu lilileta pamoja wanafunzi na waalimu wa vyuo na taasisi mbalimbali za mkoa wa Mbeya kuonyesha na kujadili fursa zitokanazo na ubunifu wa kiteknolojia.
Katika hotuba yake, Mkuu wa Kitivo...
TAARIFA YA AJALI YA TRENI YA UOKOAJI NA KIBERENGE NAMBA HDT-3
Dar es Salaam, Machi 23, 2020.
Uongozi wa Shirika la Reli Tanzania - TRC unasikitika kutangaza taarifa ya vifo vya watumishi wake
watano (5) kutokana na ajali ya treni ya uokoaji kugongana na Kiberenge Na. HDT - 3 katika eneo...
Maelekezo ni mengi na mazuri kabisa, na yamekuwepo hata kabla ya Corona mpya kusumbua watu. Namna inayoonyeshwa kwenye video ni nzuri sana, ila je ni watanzania wangapi wanaweza kumudu mfumo huo wa maji?
Au ni wangapi wamefikiwa na mfumo huo wa maji? Je, watanzania wangapi wanamudu aina ya...
Na. M. M. Mwanakijiji
Mungu ni Mungu wa wote. Hana upendeleo na hajali sura, hali, au mahali pa mtu. Wema wake na uaminifu wake ni wa milele. Niandikapo hili nimejawa na huzuni kwani siku chache zilizopita nimepokea taarifa ya kifo cha Padre Pierluigi Dell’Amico kilichotokea huko Trento, Italy...
Wanabodi,
Tangu kuibuka kwa Mlipuko wa Corona, umetufundisha mengi, moja wapo ni jinsi wanasiasa wetu, mawaziri wetu, madaktari wetu, na wataalamu wetu kuchanganya siasa na professionalism katika kukabibiliana na tatizo kubwa kama hili ukiwemo uwezo duni wa kutoa elimu ya kueleweka kuhusu...
The young Tanzanian lady who is discovered to be the lady in Africa with the biggest backside goes by the name Janeikunda Evarist Rimoy while her nickname is known as Sanchi. The word Sanchi was given to this lady due to her shape, curves and beauty.
There is currently no young lady of around...
Leo ni siku ya ushairi Duniani, Nawapongeza watunzi wote wa ushairi nchini Tanzania, Afrika na duniani kote.
Wengi tunamsikia Shaban Robert na Kezilahabi kama watunzi mashuhuri wa Mashairi nchini Tanzania lakini hatukuwahi kuwaona wala kufundishwa nao ingawa kazi zao twazisoma na kuzisikia...
Wakiongea kupitia BBC maasikofu na wachungaji wamesema wanasikitishwa na hali inayoendelea Tanzania juu ya matukio ya watu kushambuliwa na hata kuvunjwa mikono. wanasema wanataka iundwe tume huru ya kijaji kwa kuwatumia majaji wastaafu.
Wanasema majaji wastaafu wanaweza kutokuwa na upendeleo...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania (IGP) Simon Sirro amesema jeshi hilo limejipanga imara kwenye mipaka ili kuhakikisha kwamba watu wanaoingia nchini wanafuata utaratibu na endapo wakibainika kuwa na viashiria vya virusi vya Corona basi hatua zinachukuliwa kwa mujibu wa taratibu...
Jana serikali ilitangaza hatua za kudhibiti Corona katika vyombo vya usafiri na kuwataka wenye mabasi wote kupakia "level seat"
Leo Waziri wa Afya wa Kenya ametangaza mabasi ya daladala (matatu) kupakia abiria 60% ya uwezo wake akisema yale ya abiria 25 yapakie 15, yale ya abiria 20 yapakie 12...
Jisomee mwenyewe au ingia kwenye website yao au twitter account, wamelaani issue nzima kuanzia jinsi Rais Magufuli na serikali yake wanavyofanya u dikteta na unyanyasaji. Naambatanisha statement yao ila mwishoni wameshangaa na ku doubt kama wauaji wa Aquilina wamechukuliwa hatua yoyote.
It is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.