tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Dr Mathew Togolani Mndeme

    JamiiForums Tanzania Mapambano dhidi ya Covid-19 Tanzania na kwingineko Afrika: Watafiti na wanasayansi wetu mko wapi na munasemaje?

    Ninaandika uchambuzi huu kwa dhumuni moja kubwa: Kutimiza jukumu la kitaalamu linalowahitaji wanatafiti/ wanasayansi/ wasomi kutoa elimu kwenye jamii na kushiriki kujadili mambo magumu na mepesi yanayoikabili kwa mtazamo wa kisayansi. Katika vita vya kijeshi dhidi ya aadui wa nchi...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Nchi zenye wakimbizi wengi hatarini kupata maambukizi makubwa ya Corona, Tanzania yatajwa

    Justin Derbyshire, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la HelpAge Kenya NCHI ambazo zinahifadhi wakimbizi wengi na zenye makazi duni Afrika, zinatajwa kuwa na hatari zaidi ya kuenea kwa virusi vya corona (COVID-19) katika siku za usoni. Na kwamba, nchi hizo baadhi zina idadi kubwa ya...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kwa jicho la tatu: Tanzania ni nchi yenye Serikali inayokabiliana na raia wake? Yenye kupenda kuwatisha raia wake? Nimeuliza tu

    Angalia issue ya Corona: TCRA wanaibuka wanasema itawatia watu ndani. Angalia issue ya mishahara hewa ya Polisi: Jana, Magufuli anasema pingu mnazo nyie, lock up nyie kwanini msiwakamate? Angalia issue ya wasiojulikana: Watieni ndani wale wanaorisit issues za watu kutekwa. Angalia issue ya...
  4. Ngwanakilala

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia amerudishwa nyumbani kwa tuhuma za Upotevu wa Fedha Ubalozini

    Nimemsikia Mh Rais leo alipokua anapokea ripoti ya CAG na TAKUKURU huko chamwino Dodoma akisema amemrudisha nyumbani balozi wa Tanzania nchini Ethiopia kupisha uchunguzi wa upotevu mkubwa wa fedha Utafiti unaonyesha balozi huyu ni mama Naimi Hamza Azizi Na suala hili lilianza kuchunguzwa tangu...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi maambukizi ya corona Tanzania, kampuni ya Total Tanzania mfano wa kuigwa!. Ukifika lazima unawe, upimwe na mashine ndipo uruhusiwe kuingia!

    Wanabodi, Katika kusaidia kudhibiti Maambukizi ya virusi vya Corona, kukitokea any good practice, lets share ili na wengine waige. Leo nimetembelea makao makuu ya kampuni ya mafuta ya Total, Total Tanzania, ukifika pale Hatua ya kwanza ni lazima unawe na maji moto tiririka hapo nje na sabuni...
  6. goldcall

    JamiiForums Tanzania Mizaha na mazoea ndicho kitakachoigharimu Tanzania dhidi ya Covid-19

    Tunaona kabisa mizaha mizaha na siasa kwenye mambo serious kama corona virus, tunaona viongozi wa siasa wanapinga mikusanyiko angali wao wamekusanyika na wamekusanya watu, kwa mitazamo yetu watanzania vile tusivyo penda kujifunza kutoka italia na china, hili gonjwa kama litadhibiwa kisiasa basi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zanzibar inakuwa mbele kutoa taarifa za Corona kuliko Tanzania bara?

    Ukiwa mfuatiliaji wa habari utagundua mara zote waziri wa afya Zanzibar mh Hamad Rashid amekuwa akimtangulia Ummy Mwalimu kwenye kutoa taarifa za Corona. Mfano kuwaweka abiria wanaoingia nchini katika karantini alianza Hamad then Ummy akafuatia. Jana Hamad Rashid katangaza ongezeko la mgonjwa...
  8. cutelove

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Tanzania ina wagonjwa 13 wa Corona, 12 walitoka nao nje ya nchi na 1 kaupatia nchini (Machi 26, 2020)

    Mungu atuepushe na hili janga, maana ni hatari, kule Rwanda namba inapanda kwa kasi ya ajabu ndani ya wiki mbili 46, Uganda kama 15 hivi kama sikosei, na Kenya 25 ndo usiseme maambukizi yamepanda hatari. Huku kwetu mara ya mwisho Rais Magufuli anahutubia Taifa alisema Tanzania ni 12 na mmoja...
  9. M.Rutabo

    JamiiForums Tanzania Hivi utaratibu wa benki zetu Tanzania mbona upo slow hivi?

    Waungwana poleni na mihangaiko ya kila siku pamoja na mbinde mbinde za kupambana na Corona. Nije kwenye mada. Mimi ni kijana ambaye nimesoma kwa pesa ya bodi ya mkopo Ila sikuwai kubahatika kupata kuajiriwa, nilijiongeza atimaye nikafungua duka langu mtaji Kama milioni 12. Nimejenga na nina...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Jambo jema: Mipaka ya Tanzania bara inajifunga yenyewe kutunusuru na Corona

    Tukianzia na mipaka ya nchi kavu upande wa kaskazini ilipo Kenya umejifunga Upande wa kanda ya ziwa zilipo Uganda na Rwanda umejifunga Upande wa magharibi zilipo DRC na Burundi umejifunga. Na upande wa mashariki zilipo Zanzibar na Comoro umejifunga Bado kusini ilipo Msumbiji na Nyanda za juu...
  11. funaku

    JamiiForums Tanzania Udhibiti na maandalizi ya COVID 19 Tanzania viwanda vifanye nini?

    Ni muhimu sekta ya viwanda nchini hasa vile vya nguo vikaja na mpango kazi maalumu wa kuzalisha PPEs haswa masks za N95 ,COVERALL GOWNS ,BOOTS,GOGGLES,N.K
  12. G Sam

    JamiiForums Tanzania Nimegundua udhaifu mkubwa sana wa Serikali ya Tanzania katika kukabili suala la COVID-19

    Kwakweli serikali ya Tanzania imelichukilia janga la COVID-19 kama jambo la mzaha kupita kiasi, hali hii imewafanya baadhi ya wananchi kubweteka kupita kiasi kutokana na janga hili. Kwa haya niliyoshuhudia, nachelea kusema kuwa ikitokea COVID-19 ikaiathiri Tanzania kwa kiwango kikubwa basi...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Total lockdown Tanzania watu wengi watakosa kazi, hivyo tupunguze lawama kwa Serikali

    Tujifunze kupongeza na kuamini tulio wapa dhamana ya kutuongoza. Kumekuwa na mvumo wa lawama zakijinga sana kiasi unasema watu wanatumia nini kufikiri? Kiufupi atuwa serikali imezichukuwa kwa kupunguza kuenea coronavirus ni hatua mujarabu kwa hali yetu ya kiuchumi. Swala la kufunga kila kitu...
  14. Richard

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ujerumani ina idadi ndogo ya vifo vinavyotokana na ugonjwa wa COVID -19? Tanzania tuna cha kujifunza

    Wakati ugonjwa unaosababishwa na kirusi cha Corona ukiendelea kusambaa na kuua watu wengi duniani, nchini Ujerumani idadi ya watu walokufa ni ndogo kulinganisha na nchi zingine barani Ulaya na duniani kwa ujumla Kwa mujibu wa taasisi ya Robert Koch hadi kufikia Ijumaa asubuhi watu 13,957...
  15. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya viwanda inavyohitaji mazingira bora kukuza ubunifu wa kiteknolojia

    Wiki jana tumeona ufunguzi wa maonyesho katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya. Tukio hilo muhimu lilileta pamoja wanafunzi na waalimu wa vyuo na taasisi mbalimbali za mkoa wa Mbeya kuonyesha na kujadili fursa zitokanazo na ubunifu wa kiteknolojia. Katika hotuba yake, Mkuu wa Kitivo...
  16. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Taarifa kuhusu vifo vya watumishi watano (5) wa Shirika la Reli Tanzania(TRC)

    TAARIFA YA AJALI YA TRENI YA UOKOAJI NA KIBERENGE NAMBA HDT-3 Dar es Salaam, Machi 23, 2020. Uongozi wa Shirika la Reli Tanzania - TRC unasikitika kutangaza taarifa ya vifo vya watumishi wake watano (5) kutokana na ajali ya treni ya uokoaji kugongana na Kiberenge Na. HDT - 3 katika eneo...
  17. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Elimu nzuri sana ya namna ya kunawa mikono, ila je watanzania wangapi wanamudu au kufikiwa na mfumo huo wa maji na sabuni haina hiyo?

    Maelekezo ni mengi na mazuri kabisa, na yamekuwepo hata kabla ya Corona mpya kusumbua watu. Namna inayoonyeshwa kwenye video ni nzuri sana, ila je ni watanzania wangapi wanaweza kumudu mfumo huo wa maji? Au ni wangapi wamefikiwa na mfumo huo wa maji? Je, watanzania wangapi wanamudu aina ya...
  18. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Virusi vya Corona: Buriani Fr. Angelico - Mmisionari Muitalia Tanzania kwa Miaka 47 Amefariki kwa Corona

    Na. M. M. Mwanakijiji Mungu ni Mungu wa wote. Hana upendeleo na hajali sura, hali, au mahali pa mtu. Wema wake na uaminifu wake ni wa milele. Niandikapo hili nimejawa na huzuni kwani siku chache zilizopita nimepokea taarifa ya kifo cha Padre Pierluigi Dell’Amico kilichotokea huko Trento, Italy...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Corona inatufundisha Tanzania tuna tatizo kuchanganya siasa na professionalism. Hongera Prof. Janabi kwa elimu uliyotoa, so far you are the best!

    Wanabodi, Tangu kuibuka kwa Mlipuko wa Corona, umetufundisha mengi, moja wapo ni jinsi wanasiasa wetu, mawaziri wetu, madaktari wetu, na wataalamu wetu kuchanganya siasa na professionalism katika kukabibiliana na tatizo kubwa kama hili ukiwemo uwezo duni wa kutoa elimu ya kueleweka kuhusu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania The young Tanzanian lady Janeikunda Evarist Rimoy aka Sanchi

    The young Tanzanian lady who is discovered to be the lady in Africa with the biggest backside goes by the name Janeikunda Evarist Rimoy while her nickname is known as Sanchi. The word Sanchi was given to this lady due to her shape, curves and beauty. There is currently no young lady of around...
Back
Top Bottom