goldcall
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 394
- 535
Tunaona kabisa mizaha mizaha na siasa kwenye mambo serious kama corona virus, tunaona viongozi wa siasa wanapinga mikusanyiko angali wao wamekusanyika na wamekusanya watu, kwa mitazamo yetu watanzania vile tusivyo penda kujifunza kutoka italia na china, hili gonjwa kama litadhibiwa kisiasa basi ijulikane kabisa kuwa tutakwisha vibaya mno,
viongozi wanasiasa na viongozi wa dini, hutumia mic na instruments zingine pasipo kujiuliza mazingira ya huyu mdudu covid ni pamoja na vitu kama hivyo, tuwe makini sana na hawa hawa viongozi wetu, hasa wale wanajichanganya katika mikusanyiko kukemea mikusanyiko, they are suspects number one, corona haiogopi mtu,cheo,umri wala kabila, mizaha ni dalili tosha za kupata mdudu.
Pia hili suala la covid, iwe fundisho kwa viongozi wenye dhamana, kuwa maandalizi ya kiafya yaliyopo mazuri au mabovu ndiyo yatakayo kutibu hiki kipindi manake huwezi kusafiri nje ya nchi ukatibiwe kule, utatibiwa na mifumo iliyopo kwa sasa iwe mibovu, nafuhu au mizuri, tujifunze pia, secta nyeti kama afya haitakiwi kuendeshwa kisiasa.
Ushauri kwa serikali
Katika kipindi hiki cha janga hili la dunia coronavirus, tujitahidi sana kusikilizana ikiwemo kuwasikiliza wananchi, ushauri na michango positive ya kuikomboa nchi, huwezi kuwadhalau wananchi na ushauri wao kama hapo awali mlipo shauriwa kudhibiti Airports, borders Nk, lakini hamkutaka kusikia, sasa hivi mambo yamechanganya, mnarudi tena kufanyia kazi ushauri wa wananchi na kuufanyia kazi, hii vita ya corona ni janga la dunia pia ni janga la mtu mmoja mmoja, hivyo kulitokomeza hili janga, nikuanzisha hata online opinion poll.
Iif measures will not be taken, corona virus, itachelewa sana kuisha au isiishe kabisa na kuingia katika list ya magonjwa endelevu tutakayo pambana nayo kilasiku kama ukimwi,malaria nk.
Ushauri kwa raia
Tujifunze kusikia, tujifunze kuzijua hatari na madhara yake, atakaye umia ni sisi wote tujifunze hata katika Coronavirus Update (Live): 487,063 Cases and 22,025 Deaths from COVID-19 Virus Outbreak - Worldometer.
pia ikumbukwe tuna watoto, wazazi, ndugu jamaa na marafiki, mwisho wa kunukuu,
Asanteeni sana.