tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, ni Siasa za sasa za Tanzania ndizo zinawakwaza IMF na WB hadi hawatujali tena Watanzania au kuna 'Kirusi' Kimewakwaza sana?

    Mpaka leo najiuliza hili Swali ni kwanini Taasisi Kubwa na Muhimu kabisa za Masuala ya Fedha Duniani (Ulimwenguni) za WB (Benki ya Dunia) na IMF (Shirika la Fedha Duniani) kwa Siku za karibuni na niweke tu wazi tokea 2016 hadi huu wa 2020 wamekuwa ' Wazito ' mno Kuisaidia Tanzania kwa Pesa...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yakanusha kuipongeza Tanzania

    Aprili 9, ilizungumzia mradi wakusaidia nchi masikini juu ya kupambana na CoronaVirus, na walitaja athari za kiuchumi zitakazotokana na Covid19 na wakatoa mapendekezo. Katika taarifa hiyo Tanzania haikutajwa kwa kuwa Benki ya Dunia haikupata hatua ambazo Tanzania ilizichukua. Benki ya Dunia...
  3. bahati93

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki Tanzania linapaswa kusitisha misa

    Habari wanajamii, Katika kipindi hiki cha wasiwasi na sintofahamu juu ya coronavirus ndani ya taifa letu viongozi wa taasisi mbalimbali yapaswa kuonyesha umahiri na umadhubuti kukabiliana na janga hili. Nitaongelea taasisi za kidini kwani kwa macho yangu naona zimevurugwa zaidi Mpaka sasa...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Kwa nchi kama Tanzania mtu wa kijijini akifa kwa coronavirus kama hajaenda hospitali serikali inajuaje?

    Hizi takwimu za serikali ni maigizo. Hivi Tanzania kuna utaratibu wa kufanya autopsy kwa kila mtu anaye kufa ukoje? Hili baraa la coronavirus litauwa wengi Africa na wengi hawata ripotiwa. Kwasababu hatuna utaratibu wa kila anaye kufa kufanyiwa uchunguzi wa kujuwa chazo cha kifo chake. Watu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Uhamiaji Tanzania inalizungumziaje suala kama hili langu?

    I was born in Tanzania from both Tanzanian parents but when I was around 10years, a family member took me to study in kenya.we crossed the boarder illegally may be he bribed the officials at the boarder. I came back last year with a Kenyan passport. After it expired I went to the village to...
  6. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Buyer at Airtel Tanzania PLC

    Airtel Tanzania PLC is looking for a suitable candidate for the Buyer Position .The incumbent will be responsible for executing procurement activities in the best practice and be a link between supplies and internal customers, while ensuring value for company money spend. Key deliverables...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu: Maambukizi COVID-19 ya ndani kwa ndani yameanza, Watanzania wajiandae kwa maambukizi ya Jumuiya

    Waziri wa afya Mh. Ummy muda huu anazungumza na viongozi mbalimbali wa dini juu ya mikakati ya kudhibiti Corona. -- ALIYOZUNGUMZA WAZIRI UMMY MWALIMU (KWA UFUPI) Viongozi wa dini mnayo nafasi ya kipekee kutoa taarifa sahihi, kwa weledi na uwazi, hivyo kupunguza uwepo wa taarifa zisizo za kweli...
  8. T

    JamiiForums Tanzania COVID-19 Imetukuta Watanzania kipindi kibaya sana. Pray for the nation

    Ndugu Watanzania na taifa kwa ujumla, mimi leo nakuja mbele yenu kuwaambia jambo moja zito sana na kiukweli naomba mnielewe. Nawaomba tuliombee taifa letu na viongozi wetu wasasa na wazee pia. Hakuna asiyejua tunapita kipindi gani kama taifa na hakuna asiyejua kwa wakati huu mezani kwa Rais...
  9. abdulkarim harub mzee

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa kuenea kwa salafi jihadi nchini Tanzania

    Athari za Salafi -Jihad kuenea katika nchi yetu ya Tanzania, Kwanza ningependa kuchukua nafasi hii kumshukuru MwenyeziMungu mwingi wa Rehma na mwenye Kurehemu, Kabla ya hili janga la Corona tunalopitia hivi sasa mwanzoni mwa mwaka 2019 kulikua kuna matukio mbalimbali ya Ugaidi yaliyokua...
  10. Zitto

    JamiiForums Tanzania ‪Tunatoa Wito kuwa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) lifanye ukaguzi Maalumu wa Benki Kuu ya Tanzania ili kubaini kinachofichwa

    #5YearsOfIncompetence
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Timu Moja nchini Tanzania Mashabiki wake pamoja na Wanachama wao wakiitwa 'Mafuriko Sports Club' wasiwe wanakataa tafadhali

    Baada ya Haji Manara kuweka Wazi Bei ya ' Kumng'oa ' Simba Sports Club Mchezaji ' Mahiri ' na ' Mtaalam ' kabisa akiwa ndiyo ' Play Maker ' Clatous Chota Chama kuwa ni kati ya Dola za Kimarekani 350,000 hadi 400,000 ambazo ni sawa na Shilingi Milioni 850 hadi Milioni 900 wale ' Wapuuzi Mafuriko...
  12. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Viwanda Gani Tanzania Vinatengeneza vifaa vya kujikinga (PPEs) kama barakoa, glovu n.k?

    Mojawapo ya changamoto kubwa zilizoletwa na baa la virusi vya Corona ni ukosefu au upungufu wa vifaa vya kujikinga binafsi. Glovu, kofia, barakoa, gauni kinga ni baadhi tu ya vifaa hivi. Mahitaji ya vifaa hivi duniani yameongezeka sana. Katika hali ya kufa kufaana ni viwanda gani Tanzania...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Anga la Tanzania lafungwa kwa safari zote za abiria za kimataifa

    Mamlaka ya Usafiri wa Anga imefuta safari zote za ndege za abiria za kimataifa tangu jana. Ndege za mizigo tu ndio zitaruhusiwa kuingia kwa masharti kuwa wafanyakazi wa ndege hizo watawekwa quarantine kwa gharama zao. At last, wanasiasa wamesikiliza ushauri wetu juu ya Corona pandemic.
  14. Mtuflani Official

    JamiiForums Tanzania Wanawake 5 mastaa wenye mvuto zaidi Tanzania

    5. Malkia Karen 4. Mimi Mars 3. Faraja Nyalandu 2. Jackline Mengi 1. Nancy Sumari
  15. polokwane

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Tanzania iwe na wabunge 185 tu. Wabunge 199 wapunguzwe wote wanalitia hasa Taifa hawana masaada kabisa

    Ndiyo ! Hayo ni maoni yangu ya dhati kabisa ili kupunguza matumizi ya fedha za umma Tanzania ina halmashauri 185 tu ambazo zingetosha kabisa kuwakilishwa na mbunge mmoja mmoja kila halmashauri wakisaidiwa na madiwani Kuwa na wabunge 384 kwa nchi kama tanzania ambayo ina changamoto nyingi za...
  16. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini taarifa ya Corona kwa Tanzania bara na Zanzibar isiwe moja tu?

    Watanzania na dunia tumekuwa tukipewa taarifa mbili tofauti za visa vya Corona kutoka katika taifa la Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) huku wakati mwingine kukiwa na mchanganyo wenye kutupa wasiwasi au marudio ya taarifa zile zile pasipo sababu ya msingi. Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy...
  17. mulwanaka

    JamiiForums Tanzania Tanzania yathibitisha uwepo wa wagonjwa wapya 5 wa COVID-19. Waathirika wafikia 32, watatu wafariki dunia

    WAGONJWA WA COVID-19 NCHINI WAFIKA 32, WATATU WAMEFARIKI DUNIA Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametangaza kuongezeka kwa wagonjwa wapya watano wa virusi vya Corona nchini, aidha mapema leo wagonjwa wapya wawili pia wametangazwa Zanzibar na kufanya idadi ya wagonjwa nchini kufikia 32. Wagonjwa wote...
  18. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Policy Advocacy Officer at WWF Tanzania

    Position: Policy Advocacy Officer Reports to: Project Lead (Forest Program Coordinator cum Policy Advisor) WWF TANZANIA Coordinates: All policy advocacy activities under the Voice for Diversity Project Duty Station: WWF Country Office – Dar es Salaam I. The project Goal The desired goal that...
  19. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Copper belt miners turn to Tanzania as South Africa lockdown hobbles ports

    * Miners in Congo, Zambia divert copper shipments to Dar es Salaam * Supply chains disrupted by border closures, coronavirus controls * Exports of copper through Dar are up around 20-25% * Mozambique’s Beira port, Namibia’s Walvis Bay also more active By Helen Reid JOHANNESBURG, April 7...
  20. Superbug

    JamiiForums Tanzania Getamycine aja na kali (mrithi mwandamizi wa upumbavu Tanzania)

    Gwiji la makeke hapa jamiiforums limekuja na msemo mpya unaosema MRITHI MWANDAMIZI WA UPUMBAVU TANZANIA) Hebu fikiria Mambo ambayo ukiyafanya unakuwa MRITHI MWANDAMIZI WA UPUMBAVU TANZANIA Mfano Serikali inapiga kelele kuhusu korona wewe hujali as if HAKUNA kitu ukiwa hivyo ujue wewe ni...
Back
Top Bottom