Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Position: Policy Advocacy Officer
Reports to: Project Lead (Forest Program Coordinator cum Policy Advisor) WWF TANZANIA
Coordinates: All policy advocacy activities under the Voice for Diversity Project
Duty Station: WWF Country Office – Dar es Salaam
I. The project Goal
The desired goal that...
* Miners in Congo, Zambia divert copper shipments to Dar es Salaam
* Supply chains disrupted by border closures, coronavirus controls
* Exports of copper through Dar are up around 20-25%
* Mozambique’s Beira port, Namibia’s Walvis Bay also more active
By Helen Reid
JOHANNESBURG, April 7...
Gwiji la makeke hapa jamiiforums limekuja na msemo mpya unaosema MRITHI MWANDAMIZI WA UPUMBAVU TANZANIA)
Hebu fikiria Mambo ambayo ukiyafanya unakuwa MRITHI MWANDAMIZI WA UPUMBAVU TANZANIA
Mfano
Serikali inapiga kelele kuhusu korona wewe hujali as if HAKUNA kitu ukiwa hivyo ujue wewe ni...
Natoa hii hoja sababu inasikitisha sana kuwa Chama cha siasa ambacho kina umri zaidi ya miaka 15 au zaidi lakini bado hakijitambui na wala hakitambui kufanya mikakati ya siasa.
Na hapa nalenga hichi chama cha Chadema ambacho sasa ni chama kikuu cha upinzani.
Inaonyesha dhahiri kuwa wao mikakati...
Twiga Minerals Corporation, a joint venture between Barrick Gold Corporation (NYSE:GOLD) (TSX:ABX) and the Tanzanian government, has announced a support program to assist the country in combating and containing the Covid-19 pandemic.
Barrick's chief operating officer for its Africa and Middle...
Wanabodi,
Kila nipatapo nafasi, huwa naandika makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", makala hizi huwa zinachapishwa na magazeti mbalimbali, hivyo Wahariri kuweni free kuitumia makala yangu yoyote, na be free kui edit kwa kiwango chochote utakacho ona inafaa, maana hata mimi sitaki tena...
Natoa angalizo mapema kabisa mimi sio mtaalamu wa masuala ya sheria. Ila nimeuliza hili swali nipate msaada. The Cyber crimes Act,2015 .Ni sheria kandamizi?
Kwa sababu ni wazi kabisa uhuru wa kujieleza na kutoa maoni umewekwa wazi katika katiba ya JMT ibara ya 18 kujieleza huku katika katiba ya...
Habari wanaJF?
Hivi hawa MECHANICAL ENGINEERS wana kazi gani hapa nchini Tanzani?
Nashindwa kuwaelewa kabisa kwa sababu wana ujuzi na hicho walichokisomea lakini wanshindwa kutumia huo ujuzi wao kusaidia jamii. Au elimu yenu ipo kwenye makaratasi? mfano kwa sasa tumekumbwa na janga la COVID19...
Takwimu zinasema watanzania idadi yetu ni milioni 50
Bila shaka serikali inaweza ikasaidia kukazua vyuma kwa kutoa milioni 50
Ambapo hapo sisi kama taifa tuna uhakika wa kila mwananchi kujipatia milioni moja keshi kabisa iliyokamilika.
Hesabu zinakuwa hivi;
Pesa taslimu milioni 50...
Kuna mdau wa JF alisema hawawezi tengeneza dawa. Ok
Nitaelekeza kwa mifano
Hakuna pharmaceutical compound inayoweza tumika kwenye mwili bila kua na knowledge ya drug target (receptors, ligands, Au microbial cellular parts kama cell walls, plasma membrane, Nucleus, au nucleic acid target) na...
Janga la Corona mpaka sasa hivi limeathiri nyanja mbalimbali za uchumi. Ingawa mpaka muda huu sekta ambayo imeathiriwa zaidi na ipo ICU ni sekta ya Utalii. Nchi nyingi zimefanya lockdown, kuna kufutwa kwa safari za anga. Hivyo hoteli, migahawa, tax drivers, wakulima, wavuvi, tour companies na...
Najiuliza sana wala sipati jibu, kuna nini kimewasibu wa Chadema? Chama chenu kinaonekana kukubali kushindwa kabla hata refa hajapuliza kipyenga.
Wabunge pamoja na wanachama wanawakimbia. Jana lile nyomi kule Tarime ni aibu kwa chama chenu.
Mmekuwa kama mmepigwa shoti ya umeme na kuduwaa...
Watanzania wawe macho na waropokaji wote wanaongelea COVID 19 katika media mbalimbali.
Muda huu ni muhimu kuwasikiliza wataalamu wa afya Tanzania na wote waliotajwa kutoa taarifa rasmi.
Hata kama kuna muigizaji ,mwanasiasa au mtu maarufu sana anatoa maoni yake basi ni vyema kujua ana...
habari za muda wadau wa jukwaa hili,naomba kufahamishwa benki au taasisi yenye mkopo nafuu kuliko nyingine ili,niweze kwenda kujipatia chochote katika kulisongesha mbele gurudumu la maendeleo ya tanzania.nilipita nmb na mwalimu commercial bank,riba zao ni asilimia 17,na kuna baadhi ya mambo...
Ndugai-"Hatuwezi 'tuka-paste' hatua za wazungu,tutaua watu"
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema nchi haiwezi kuchukua tahadhari kama zilivyochukuliwa na Mataifa mengine duniani ya kupambana na virusi vya corona kwa kuwa watu wengi nchini maisha yao ni ya...
Mimi kama mdau mkubwa wa Sekta ya kilimo kwa nyakati tofauti tofauti nimetembelea hii benki toka izinduliwe mwaka 2015 na kujaribu kupata mkopo kwa ajili ya shughuli zangu za kilimo na wakati mwingine kujaribu kusaidia wadau wenzangu kupata mikopo lakini katika hali ya kusikitisha saana haya ni...
Kutokana na mlipuko wa Ugonjwa wa #Corona na baadhi ya Wasafiri kushindwa kusafiri kurudi kwao, Tanzania imetoa muda wa nyongeza kwa wageni hao kukaa nchini
Wageni wote waliokuwa wanatarajia kuja na tayari wamepewa ‘Visa Grant Notice’ lakini ameshindwa kusafiri ameongezewa miezi mitatu kutoka...
Criteria and conditions for issuance of each type of work permit
Employment of Refugees
Employment of non-citizens in the public sector
Bulk recruitment of non-citizens
Report on cessation of employment and failure by non-citizen issued with work permit to enter Tanzania within stipulated...
Nikiwa nimefanikiwa kuangalia mechi nyingi za VPL kabla kusimama kwa sababu ya janga la Corona, hili ni kosi langu la VPL 2019/20
1. Aishi Manula Simba SC
2. Shomari Kapombe Simba SC
3. Mohamed Hussein Simba SC
4. Bakari Nondo Coastal Union
5. Yakub Mohamed...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.