Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Wanabodi,
Hii vita ya Corona Tanzania inakumbana na twists and turns za ajabu ajabu!, kwa vile huu ni mlipuko wa ugonjwa, ilitegemewa madaktari Bingwa ndio wangekuwa wakombozi wa taifa letu kwenye janga hili, lakini kwa Tanzania ni maajabu matupu, badala ya Madaktari Bingwa wa Tiba! kuwa...
Wana jamvi
Nilitamani niandike haya maoni yangu mapema wiki hii ya kwanza ya paska lakini nashukuru Leo nimeandika.
Maambukizi yanaendelea kupaa kwa kasi tofauti na mtazamo WA awali licha ya waziri Ummy kueleza maambukizi ya ndani yameanza lkn hakutuonyesha mipango madhubuti.
Pia waziri Mkuu...
Kwa nini serikali yetu kila siku inapenda iwe inakosolewa tuu kwa mambo ambayo inaweza kutumia weledi na kuepusha migongano na jumuia za kimataifa?
Nini kiini hiki cha jeuri hii?
--
Tanzanian authorities on 20 April suspended Talib Ussi Hamad, a journalist with the Tanzania Daima daily...
There is a sharp contrast between how African nations and the rest of the World utilized traditional medicine in the fight against COVID-19 pandemic outbreak. In Africa, the African traditional medicine was hardly given a chance to fight the epidemic. In Asia, traditional medicine was central to...
Hello kama inavyoeleza hapo juu changamkia fursa hii ya kutoa Mchanganuo wa kukuza na uendeshaji wa biashara ya Gas za majumbani. Hapa tanzania zawadi nono itatolewa kwa mshindi
Hello JF,
Baada ya hili balaa…. kuna umuhimu wa serikali kuwa na record za watu wake.. ni procedure itakayo kuwa kubwa and costly lakini worth it.
Cha kumshauri Ummy Mwalimu, ni kutopanic hili ni jambo la dunia....
Second kupitia records walizo nazo, wa identify sehemu zenye maambukizi zaidi...
Habari ya wakati huu!
Poleni na mapambano dhidi ya COVID 19.
Mimi kuna maswali kadhaa kuhusu COVID 19, Na mambo yanavyoendelea Tanzania hasa kwenye Social media. Yako kama hivi.
1. Kuna watu wanasema kwamba idadi halisi inafichwa ya waathirika wa COVID 19. Sasa swali liko hivi kama ni kweli...
Pamoja na jitihada zao binafsi za kujikinga lakini, makundi haya mawili, watu wake wako kwenye hatari kubwa zaidi ya kuangamia na kuziangamizia famili zao.
Huu ni ukweli usiopingika, watu hawa kutokana na uhalisia wa kazi zao wanakutana na watu wengi kwa siku, hivyo basi, nimuhimu wakaangaliwa...
Wakati serikali ikiwahimiza wananchi wake kupunguza mikusanyiko na safari zisizo za lazima ikiwa ni pamoja na kuzifunga shule zote na vyuo vyote nchi nzima kwa lengo la kupunguza athari za kusambaa kwa Virusi vya CORONA, imebainika hali ni tofauti huko mkoani Tanga kwani katibu Tawala wa mkoa...
Wizara ya afya nchini Uganda imeripoti kisa kimoja cha maambukizi ya COVID 19 kama jinsi ambavyo inaonekana hapa chini.
Je, alipitaje hadi kufika ndani ya Uganda na ndipo akachukuliwa vipimo akiwa huko? Bado tuna kazi kubwa.
=======
Authorities in Uganda are tracking a Tanzanian driver who...
Wanabodi,
Mimi mwanahabari wako, Paskali Mayalla, leo asubuhi, kama kawaida ya kila Jumamosi asubuhi, huwa nashiriki kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kinachorushwa live na Star TV kutokea Mwanza, kikiongozwa na Nguli Dotto Emmanuel Bulendu na huku Dar huwa niko mimi tukikuchambulia...
Niwasalimu wadau wa Jf!
Nirudie tena kwa kusema kuwa Tanzania pamoja na umasikini wake ilijiandaa vyema katika kukabiliana na majanga .maandalizi makubwa na yanayoendana na umasikini wetu ni katika well coordination ya kukabili majanga.
coordination is the key and the best way to achieve katika...
After 34 new cases were reported yesterday, now 53 have been reported. Meanwhile, new cases in Kenya have dropped to 9 as rate of infection goes down. Tanzania tally now rises to 147 and still rising fast.
Magufuli was told, he didn't heed. Hii kitu haitaki kifua.
Tanzania's coronavirus cases...
Uongozi wa Mahakama ya Tanzania umesema Wadau wote wa Mahakama pamoja na Wananchi kwa ujumla watakaofika Mahakamani kuanzia Jumatatu Aprili 20, 2020 watatakiwa kuvaa Barokoa
Hatu hii ni moja ya mikakati iliyowekwa na Mahakama katik kuzuia kuenea kwa maambukizi ya #CoronaVirus kwa wateja wake...
Watu walikuwa wamekopa bank halafu biashara zao zimeanguka je wanaweza kulipiwa mikopo yao na bima?
Watu walikuwa na ajira na wakapoteza ajira kisa corona je kuna makampuni ya bima yana bima ya ajira Tanzania?
Je, bima zetu zinaendana na uhalisia tunaopitia kwenye nchi zinazoendelea au ni...
Habari!
Kupitia Ukurasa Huu utaweza Kupata taarifa mbalimbali Kuhusiana na Ugonjwa wa Coronavirus #COVID-19. Lengo ni kuhakikisha hakuna kundi litakaloachwa nyuma katika kupatta taarifa.
Marekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu
Katika siku za karibuni kumekuwa na habari nyingi kuhusu hatua mbalimbali zinazochukuliwa kupambana na kuenea kwa homa ya kirusi cha corona.
Wiki hii serikali ya Tanzania imetangaza mpango kujenga hospitali ya kupambana na magonjwa ya mlipuko kama homa hii ya...
Kuna Tangazo la Redioni nalisikia karibu katika Redio zote Kubwa nchini ambalo linatoka katika Mamlaka husika linasema kuwa Uvaaji wa Barakoa ( Masks ) ni kwale Walioathirika tu na Maambukizi ya COVID-19 na Wanaowahudumia na si kwa Watu wengine na kwamba wakifanya hivyo watakuwa wanajihatarishia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.