GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,805
- 109,482
Baada ya Haji Manara kuweka Wazi Bei ya ' Kumng'oa ' Simba Sports Club Mchezaji ' Mahiri ' na ' Mtaalam ' kabisa akiwa ndiyo ' Play Maker ' Clatous Chota Chama kuwa ni kati ya Dola za Kimarekani 350,000 hadi 400,000 ambazo ni sawa na Shilingi Milioni 850 hadi Milioni 900 wale ' Wapuuzi Mafuriko Sports Club ' wamebadili Gia angani na kuanza harakati za Kumtaka Hassan Dilunga ( HD )
Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kunifanya GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE niwe Mshabiki wa Timu ' iliyobarikiwa ' nae ya Simba Sports Club na kuniepusha kuwa Mshabiki wa ' Wapuuzi Mafuriko Sports Club ' ambao wakati Wenzao wenye Akili wakiwa wanahangaika ' Kupambana ' na Janga hili la CORONA wao wanahangaika Kutaka Kusajili Wachezaji ambao thamani yao inazidi thamani ya Klabu yao nzima.
Sasa kwakuwa baada ya Kumsikia Haji Manara akisema kuwa Thamani ya Clatous Chota Chama ni Shilingi Milioni hizo 850 hadi 900 na sasa mmehamia kwa Hassan Dilunga niwaambieni mapema kuwa Thamani ya Dilunga sasa ni Shilingi Bilioni Moja na Nusu. Na tumeshajua kuwa kama kwa huyu Dilunga mkishindwa mtahamia kwa Mdogo wangu mwenyewe Said Hamis Ndemla.
Taarifa iwafikieni nyie ' Mafuriko Sports Club ' mapema kabisa kuwa kutokana na Umri wake mdogo Said Hamis Ndemla kama kweli mnamuhitaji basi Simba Sports Club tunawakaribisheni Mezani tufanye Biashara ila mjue tu kuwa Thamani yake ni Shilingi Bilioni Mbili na Nusu. Simba Sports Club tuko ' Kibiashara ' zaidi hivyo mwambieni Gharib Said Mohammed ( GSM ) wenu ' ajipinde ' hasa.
Endeleeni tu ' Kuneng'eneka ' na ' Kuwashwawashwa ' ila tunachoenda Kuwafanyeni hamtatusahau Milele Daima Kudadadeki!