johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,780
- 141,667
Idara ya Uhamiaji imeelezea mikakati yake kuelekea kipindi cha uchaguzi mkuu.
Akihojiwa na mtangazaji Albert Kilala wa Channel ten msemaji wa idara ya uhamiaji mratibu msaidizi Aziz Kilondomara amesema wanafuatilia kwa makini sifa za wagombea na wapiga kura ili kuhakikisha nchi inaendelea kuwa salama wakati wote.
Idara inawataka wananchi wenye taarifa za wagombea ambao uraia wao ni wa mashaka mashaka wawalipoti haraka watu hao kwenye mamlaka za dola.
Chanzo: Baragumu Channel ten