Tanzania: Meet the Only Electricity Power Train In East Afrika

eliakeem

JF-Expert Member
May 29, 2009
15,790
14,075
Katika ukanda wa Afrika Mashariki, Tanzania pekee ndiyo yenye treni ya aina ya SGR inayoendeshwa kwa umeme.
Wengine wanayo, lakini inaendeshwa kwa makaa ya mawe.

Kwa maelezo zaidi ona video hapo chini.
 

Attachments

  • MeanWhile.mp4
    5.8 MB
Acha bana, teh teh teh,
Tunataka jamaa wa kibera waje kupiga picha with only electricity powered train in east and central Afrika.
 
Haya, acheni kiherehere. Mbona mnatuonyesha kazi nusu nusu?

Wewe ukikaanga njugu zitaishia motoni. Kamilisheni kazi hiyo mwanzo.
 
😂😂😂😂 si niliwaambia hii ndio treni yenu 😁
images (9).jpg
 
Kweli Generose ndiyo wa kuniambia hivi?
Anyways siyo kosa lako, kwa mwanamke kukaa masaa 12 bila kuoga ni shida. Halafu usikute hujala.
Kula mavi yako tu polepole Tandale boy naona akili chako kimejaa shonde tu hauna akili kabisa
 
Kula mavi yako tu polepole Tandale boy naona akili chako kimejaa shonde tu hauna akili kabisa

Ahaa haaa
usafi wa mwili unaendana na usafi wa akili. Ni mara chache sana mtu ambaye ni mchafu wa mwili, hajaoga masaa 12 - 24, tena wakike, halafu utegemee awe na akili nzuri. Ulichoandika nilikitegemea kutoka kwa mtu asiye nadhifu kimuonekano. By the way have you eaten. Isije ikawa nayo ni sababu.
:p :p :p
 
aha ha haaa
I meant eac.
any way, we are only sitting with Ethiopia when talking about stima train.
The rest are talking about firewood train.
:p :p :p
Senegal, Morocco, South Africa, Algeria, Ethiopia-Djibouti. Yaani hakuna cha ajabu hapo. Nyie sio wa kwanza na hamutakuwa wa mwisho.
 
Senegal, Morocco, South Africa, Algeria, Ethiopia-Djibouti. Yaani hakuna cha ajabu hapo. Nyie sio wa kwanza na hamutakuwa wa mwisho.

Are those countries belong to eac!!!?

Siku hizi kabla ya ku engage nanyi kwa discussion, have to ask if you took shower. Au umekula!!!!??
 
Back
Top Bottom