Wajasiriliamali wa Tanzania tuna lipi la kujifunza kutokana na makosa ya kiufundi / kitaalam ya Mr. Kuku?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,871
155,840
Watu ambao wana comment negatively ni kwa sababu ya kutokua na uelewewa na concept mpya ya crowd farming.

Crowd farming
ni kuanzisha kilimo aidha cha matunda au ufugaji wa kuku au ngombe nk. lakini kwa kushirikisha wadau wa kawaida kama Mimi na wewe ambao hatuna muda wa kusimamia ufugaji na pia uwezo binafsi wa kipesa ni mdogo kuanzisha biashara ya ufugaji.

According to google: Crowd farming is a model where a number of investors share risks and own shares in a farming venture.
The origins of the "crowd" concept can be traced to crowd sourcing where a large number of people are invited to participate in a project.

Aina hii ya kilimo imeshika kasi sana Nigeria.

Huku Nigeria inaitwa crowd farming au online farming (najua hili neno watu hawapendi kulisikia kilimo cha mtandao) Lakini ukijifunza kufatilia vitu kwa undani sidhani kama utakuwa ni mtu wa kupelekwa na mawambi ya watu.

Kuna makampuni mengi sana ambayo yanatumia huu mfumo huko Nigeria na south Africa, Na pia hii concept bado ni ngeni sana kwa hiyo watu wanakuwa negative kisa tu ni kitu kigeni.

Nimefatilia makampuni Mengi ambayo yanatumia mfumo huu na faida kwa wawekezaji ni kuanzia 10%-50%.

Baadhi ya makampuni ni yafutayo (Nigeria):

1. thriveagric.com
2. farmcrowdy.com
3. farmkart.ng
4. porkmoney.com
5. efarms.com.ng/end
6. payfarmer.com
7. agropartnerships.co
8. tradersofafrica.com
9. farmfunded.com
10. ez-farming.com
11. menorahfarms.com
12. farmagric.com
13. farmbuddy.ng
14. groupfarma.com.ng
15. greenfoldfarmprojects.com
16. smartfarm.com.ng

Investment cycles kwa nyingi naona ni kuanzia miezi 4 hadi 12.

Anyway nirudi kwa Mr Kuku anatumia the same mode of operation yaani crowd farming, investment cycle yake ni miezi 4 hadi 6. Na pia soko la uhakika analo, (contract farming)unaingia mikataba awali ya kusupply kuku constantly kwa muda maalum ili mwishoni mwa huu muda ndo ulipwe malipo. (Hii Ina maana unahitaji capital kubwa sana ya kuweza kuendesha mradi bila kuaffect supply ya kuku. Meaning investors au crowd farmers that's where they come in)

Simple facts mt kuku farms
Ana kuku 90,000+
Ana chinja 3000+ every week

Kuhusu masoko ngoja nikupe scenario.

Acacia/Barrick wanaotumia 2500-3000 chickens per week
American Embassy/washirika 1000+ chickens per month
Geita Gold Mine wanahitaji 3000 chickens per week
Bado hizi hotel kubwa na masupplier wadogo wanaopelekea masokoni etc.

Advantages ziko hivi:
Mfano Mimi nimeajiriwa natoka kazini saa mbili usiku nafanya kazi hadi Jumapili. Muda wa kuanzisha na kusimamia mradi sina Na hata ulisema mkopeshe mtu pesa mtaishia kugombana.

Kwa hiyo pesa zangu ambazo nimesave naziwekeza huku kama investor nakuwa kama vile nimenunua shares ambazo zitamature ndani ya muda Fulani.Kwahiyo nakuwa ufugaji unafanywa wa kuku unafanywa kwa niaba yangu.

Ni kama kununua shares kwenye kampuni la Coca Cola au Vodacom, wakutumia pesa yako kuendesha biashara mwishoni mwa muda Fulani aidha mwaka miezi sita au Tisa ukalipwa profits in form of dividends.

Mimi binafsi nakusanya pesa zangu naenda kuziweka huko.

By the way kama kuna mtu amesikia kuna crowd farming nyingine mbali na Mr kuku, please anijulishe.

Risks
Ofcoz just like any other business, kuna risks za kuconsider kabla hujaweka pesa yako huku kwenye hii miradi. It's your job to determine whether you can accept the risks or not. Kitalaam inaitwa Risk appetite. Is your risk appetite high or low; mfano Mimi am willing to risk 5 million, mwingine na risk 7million etc.

Mr kuku farms hii concept yeye ndo kaintroduce Tanzania kwa sasa hivi bado hajapata competition yoyote, naona kuna huyu jamaa mwingine anaitwa Weku enterprises.

Mwaka juzi kama sikosei kuna Tender mmoja ilitangazwa na US Embassy au International school of Tanganyika walikua wanataka supplier mkubwa wa kuku at least 1000 per month na hawataki excuses, sio unaanza mwezi huu mara mwezi ujao unaanza kuleta sababu mara sijui mtaji umekata nk.

Kwa kutumia crowd farming Mr kuku anaweza supply US embassy.

Pia kuna huyu jamaa wa South Africa anasema unanunua ngombe na kumuhudumia mpaka anakua hadi kummuuza for a profit...livestock wealth.com

Kwa hiyo jamani ndugu zangu tusipende kuhukumu vitu bila kufanya research. Tusipende kujibu kwa mihemko kwa sababu tu uliwahi poteza fedha zako sijui ukaliwa pesa zako.

TUJIFUNZE KUSOMA NA KUFATILIA VITU KIUNDANI KABLA HATUJA KATISHA TAMAA WATU. TUKIENDELEA HIVI KILA SIKU TUTABAKI NYUMA SIKU ZOTE.
 
Ndani ya watanzania wengi kuna chuki dhidi ya mafanikio ya mtu au watu wengine. Sio tu kwa watu binafsi pia hata kwa mfumo na viongozi wake.

Hawapendi kujifunza ila kuangalia kwa ubaya mafanikio ya mtu mwingine, mfano kusikia dogo (mr kuku) amekusanya mpaka 17b watu wengi imewauma sana na hata viongozi wa system ambao ndio wamemcharge ni chuki tu ambapo wamepitia kwenye madhaifu ya mradi badala ya kukaa nae chini kupitia mradi kujifunza na hata kusaidia kuondoa madhaifu na kutoa encouragement ili watu wenye mawazo mazuri kama haya wasonge mbele na hata wengine waje au wajitokeze badala yake ndio hivi sasa tunarudishana nyuma.

Tuna taifa lenye wivu sana.
 
Ndani ya watz wengi kuna chuki dhidi ya mafanikio ya mtu au watu wengine. Sio tu kwa watu binafsi pia hata kwa mfumo na viongozi wake.

Hawapendi kujifunza ila kuangalia kwa ubaya mafanikio ya mtu mwingine mf kusikia dogo (mr kuku) amekusanya mpaka 17b watu wengi imewauma sana na hata viongozi wa system ambao ndio wamemcharge ni chuki tu ambapo wamepitia kwenye madhaifu ya mradi badala ya kukaa nae chini kupitia mradi kujifunza na hata kusaidia kuondoa madhaifu na kutoa encouragement ili watu wenye mawazo mazuri kama haya wasonge mbele na hata wengine waje au wajitokeze badala yake ndio hivi sasa tunarudishana nyuma.

Tuna taifa lenye wivu sana.
Chuki ni adui mkubwa wa maendeleo na mafanikio ya mtu mmoja mmoja na Taifa zima kwa ujumla
 
La kujifunza kubwa ni kwamba biashara zina taratibu zake. Tujifunze kujifunza kuhusu nini cha kufanya na nini ukifanya utaingia kwenye matatizo na namna ya kuepuka. In theory alichofanya Mr Kuku ni cha kawaida, biashara zote ndivyo zilivyo. Wekeza upate faida, mwekezaji anaweza akawa mmoja au wengi. Issue hapa ni kwamba, kuna utaratibu wa kufanya aina hii ya biashara; angeufuata kama walivyofanya UTT na wengine. Huwezi tu kukusanya hela za wananchi, unadai unawekeza. Kampuni yako ina usajili? Ina utaalamu? Inafanyiwa ukaguzi? Risk zimefanyiwa analysis? Hizo faida unazopromise zimefanyiwa analysis vipi?

Tukumbuke watu wangeliwa, lawama zingerudi kwa serikali kuuliza kwa nini hawakuchukua hatua mapema. All in all, hii ni aina nyingine ya DECI ila imevaa joho la "uwekezaji wa kuku". Ninaamini vitabu vyake vikifanyiwa uchambuzi, hawezi kutoboa.
 
BUJIBUJI, hapa ndio umerudi kwa BUJIBUJI ninayemjua. Yule aliyekuwa anatukimbiza kwenye masomo darasani enzi tunasoma Mwenge Open Academy MOA, Mwalimu Adam Rashid Ngemange akitufundisha accounts, ulikuwa mkali hata tukiwa chuo IFM, ila post zako za JF zimejaa ukatuni mwingi, labda kwasababu ya nature ya kazi yako ya ushushushu.
Haya ya leo ndio madini ya viwango vyako.
Keep it up
Heci Dominic Likanga
 
Ukiniambia nitaje ID tano za kuReply ujinga, negativity hii huwaga haikosagi kwenye list yangu ikiongozwa namba one ID moja hivi hiyo ndio haijawai kuReply positive tangu izaliwe.

Ila leo nimekutoa kwenye ile list jitahidi usiingie tena.

Jana nimechapana na watu sana kwenye uzi tatizo sikuhizi JF kuna Ukondoo fulani umejitengeneza na kuota mizizi kitu wakiamini wengi tu basi na wewe usihoji ungana nao kama kondoo ukihoji au kupinga au kuonesha utofauti wote wanakugeukia wewe kukupiga mibichwa.

One thing huenda kukubali kuhusu utata wa Mr. kuku utakatishaji fedha nayo bado siwezi sijaamini kabisa maana yeye sio mfugwa ni mtuhumiwa... ila suala la kutapeli watu sijawahi sikia huyo mtu aliyefanyiwa hivyo ndani ya miaka mitatu mtu unakuta limekomaa washapigwa washapigwa.
 
BUJIBUJI, hapa ndio umerudi kwa BUJIBUJI ninayemjua. Yule aliyekuwa anatukimbiza kwenye masomo darasani enzi tunasoma Mwenge Open Academy MOA, Mwalimu Adam Rashid Ngemange akitufundisha accounts, ulikuwa mkali hata tukiwa chuo IFM, ila post zako za JF zimejaa ukatuni mwingi, labda kwasababu ya nature ya kazi yako ya ushushushu.
Haya ya leo ndio madini ya viwango vyako.
Keep it up
Heci Dominic Likanga
Mkuu, nadhani ni mfanano tu wa majina, sijawahi kusoma kote huko, wala sijawahi kuwa shushushu.
 
Ndani ya watz wengi kuna chuki dhidi ya mafanikio ya mtu au watu wengine. Sio tu kwa watu binafsi pia hata kwa mfumo na viongozi wake.

Hawapendi kujifunza ila kuangalia kwa ubaya mafanikio ya mtu mwingine mf kusikia dogo (mr kuku) amekusanya mpaka 17b watu wengi imewauma sana na hata viongozi wa system ambao ndio wamemcharge ni chuki tu ambapo wamepitia kwenye madhaifu ya mradi badala ya kukaa nae chini kupitia mradi kujifunza na hata kusaidia kuondoa madhaifu na kutoa encouragement ili watu wenye mawazo mazuri kama haya wasonge mbele na hata wengine waje au wajitokeze badala yake ndio hivi sasa tunarudishana nyuma.

Tuna taifa lenye wivu sana.
Very true
 
La kujifunza kubwa ni kwamba biashara zina taratibu zake. Tujifunze kujifunza kuhusu nini cha kufanya na nini ukifanya utaingia kwenye matatizo na namna ya kuepuka. In theory alichofanya Mr Kuku ni cha kawaida, biashara zote ndivyo zilivyo. Wekeza upate faida, mwekezaji anaweza akawa mmoja au wengi. Issue hapa ni kwamba, kuna utaratibu wa kufanya aina hii ya biashara; angeufuata kama walivyofanya UTT na wengine. Huwezi tu kukusanya hela za wananchi, unadai unawekeza. Kampuni yako ina usajili? Ina utaalamu? Inafanyiwa ukaguzi? Risk zimefanyiwa analysis? Hizo faida unazopromise zimefanyiwa analysis vipi?

Tukumbuke watu wangeliwa, lawama zingerudi kwa serikali kuuliza kwa nini hawakuchukua hatua mapema. All in all, hii ni aina nyingine ya DECI ila imevaa joho la "uwekezaji wa kuku". Ninaamini vitabu vyake vikifanyiwa uchambuzi, hawezi kutoboa.
Mkuu na vipi wale jamaa wa forever na aim global wale wana vibali vyote vya kuendesha ile biashara ya network marketing? Mbona bado wapo?
 
Watu ambao wana comment negatively ni kwa sababu ya kutokua na uelewewa na concept mpya ya crowd farming.

Crowd farming
ni kuanzisha kilimo aidha cha matunda au ufugaji wa kuku au ngombe nk. lakini kwa kushirikisha wadau wa kawaida kama Mimi na wewe ambao hatuna muda wa kusimamia ufugaji na pia uwezo binafsi wa kipesa ni mdogo kuanzisha biashara ya ufugaji.

According to google: Crowd farming is a model where a number of investors share risks and own shares in a farming venture.
The origins of the "crowd" concept can be traced to crowd sourcing where a large number of people are invited to participate in a project.

Aina hii ya kilimo imeshika kasi sana Nigeria.

Huku Nigeria inaitwa crowd farming au online farming (najua hili neno watu hawapendi kulisikia kilimo cha mtandao) Lakini ukijifunza kufatilia vitu kwa undani sidhani kama utakuwa ni mtu wa kupelekwa na mawambi ya watu.

Kuna makampuni mengi sana ambayo yanatumia huu mfumo huko Nigeria na south Africa, Na pia hii concept bado ni ngeni sana kwa hiyo watu wanakuwa negative kisa tu ni kitu kigeni.

Nimefatilia makampuni Mengi ambayo yanatumia mfumo huu na faida kwa wawekezaji ni kuanzia 10%-50%.

Baadhi ya makampuni ni yafutayo (Nigeria):

1. thriveagric.com
2. farmcrowdy.com
3. farmkart.ng
4. porkmoney.com
5. efarms.com.ng/end
6. payfarmer.com
7. agropartnerships.co
8. tradersofafrica.com
9. farmfunded.com
10. ez-farming.com
11. menorahfarms.com
12. farmagric.com
13. farmbuddy.ng
14. groupfarma.com.ng
15. greenfoldfarmprojects.com
16. smartfarm.com.ng

Investment cycles kwa nyingi naona ni kuanzia miezi 4 hadi 12.

Anyway nirudi kwa Mr Kuku anatumia the same mode of operation yaani crowd farming, investment cycle yake ni miezi 4 hadi 6. Na pia soko la uhakika analo, (contract farming)unaingia mikataba awali ya kusupply kuku constantly kwa muda maalum ili mwishoni mwa huu muda ndo ulipwe malipo. (Hii Ina maana unahitaji capital kubwa sana ya kuweza kuendesha mradi bila kuaffect supply ya kuku. Meaning investors au crowd farmers that's where they come in)

Simple facts mt kuku farms
Ana kuku 90,000+
Ana chinja 3000+ every week

Kuhusu masoko ngoja nikupe scenario.

Acacia/Barrick wanaotumia 2500-3000 chickens per week
American Embassy/washirika 1000+ chickens per month
Geita Gold Mine wanahitaji 3000 chickens per week
Bado hizi hotel kubwa na masupplier wadogo wanaopelekea masokoni etc.

Advantages ziko hivi:
Mfano Mimi nimeajiriwa natoka kazini saa mbili usiku nafanya kazi hadi Jumapili. Muda wa kuanzisha na kusimamia mradi sina Na hata ulisema mkopeshe mtu pesa mtaishia kugombana.

Kwa hiyo pesa zangu ambazo nimesave naziwekeza huku kama investor nakuwa kama vile nimenunua shares ambazo zitamature ndani ya muda Fulani.Kwahiyo nakuwa ufugaji unafanywa wa kuku unafanywa kwa niaba yangu.

Ni kama kununua shares kwenye kampuni la Coca Cola au Vodacom, wakutumia pesa yako kuendesha biashara mwishoni mwa muda Fulani aidha mwaka miezi sita au Tisa ukalipwa profits in form of dividends.

Mimi binafsi nakusanya pesa zangu naenda kuziweka huko.

By the way kama kuna mtu amesikia kuna crowd farming nyingine mbali na Mr kuku, please anijulishe.

Risks
Ofcoz just like any other business, kuna risks za kuconsider kabla hujaweka pesa yako huku kwenye hii miradi. It's your job to determine whether you can accept the risks or not. Kitalaam inaitwa Risk appetite. Is your risk appetite high or low; mfano Mimi am willing to risk 5 million, mwingine na risk 7million etc.

Mr kuku farms hii concept yeye ndo kaintroduce Tanzania kwa sasa hivi bado hajapata competition yoyote, naona kuna huyu jamaa mwingine anaitwa Weku enterprises.

Mwaka juzi kama sikosei kuna Tender mmoja ilitangazwa na US Embassy au International school of Tanganyika walikua wanataka supplier mkubwa wa kuku at least 1000 per month na hawataki excuses, sio unaanza mwezi huu mara mwezi ujao unaanza kuleta sababu mara sijui mtaji umekata nk.

Kwa kutumia crowd farming Mr kuku anaweza supply US embassy.

Pia kuna huyu jamaa wa South Africa anasema unanunua ngombe na kumuhudumia mpaka anakua hadi kummuuza for a profit...livestock wealth.com

Kwa hiyo jamani ndugu zangu tusipende kuhukumu vitu bila kufanya research. Tusipende kujibu kwa mihemko kwa sababu tu uliwahi poteza fedha zako sijui ukaliwa pesa zako.

TUJIFUNZE KUSOMA NA KUFATILIA VITU KIUNDANI KABLA HATUJA KATISHA TAMAA WATU. TUKIENDELEA HIVI KILA SIKU TUTABAKI NYUMA SIKU ZOTE.
Kesi yake atashinda, sema itakuwa 2024
 
Huwa najiuliza kwanini watu wenye hela bongo hawafanya kitu cha design hio?? Iwe kwa kufata vigezo na masharti yote ya kiserikali yaani kama kuwekeza hela iwe ni kwa mfumo wa hisa uliostarabika kabisa uliozoeleka.

Manake soko inawezekena ikawa lipo na ni kubwa, watu wengi wako tayari kuwekeza katika mifumo hio sio lazima iwe ni kuku inaweza ikawa kilimo cha matunda na kuuza Nje ya nchi au kuuza nyama.

Tunafeli wapi???
 
Crowd Farming model iliaanzishwa na Mnaigeria ni tofaiti na ninachotetea.

Mr kuku alikuwa anafanya Upatu, ile ni Pyramid.

Crowd Farming ni model ya kwamba Wewe una shamba ila huna mtaji na wanajitokeza watu mwingine ana finance Mbolea, mwingine Mashine za kulimia na mnaingia mkataba mazao yakikomaa yakiuzwa mnagawana kulingana na makubaliono yenu.

Je ndio ilivyokuwa kwa Mr Kuku?
Watu ambao wana comment negatively ni kwa sababu ya kutokua na uelewewa na concept mpya ya crowd farming.

Crowd farming
ni kuanzisha kilimo aidha cha matunda au ufugaji wa kuku au ngombe nk. lakini kwa kushirikisha wadau wa kawaida kama Mimi na wewe ambao hatuna muda wa kusimamia ufugaji na pia uwezo binafsi wa kipesa ni mdogo kuanzisha biashara ya ufugaji.

According to google: Crowd farming is a model where a number of investors share risks and own shares in a farming venture.
The origins of the "crowd" concept can be traced to crowd sourcing where a large number of people are invited to participate in a project.

Aina hii ya kilimo imeshika kasi sana Nigeria.

Huku Nigeria inaitwa crowd farming au online farming (najua hili neno watu hawapendi kulisikia kilimo cha mtandao) Lakini ukijifunza kufatilia vitu kwa undani sidhani kama utakuwa ni mtu wa kupelekwa na mawambi ya watu.

Kuna makampuni mengi sana ambayo yanatumia huu mfumo huko Nigeria na south Africa, Na pia hii concept bado ni ngeni sana kwa hiyo watu wanakuwa negative kisa tu ni kitu kigeni.

Nimefatilia makampuni Mengi ambayo yanatumia mfumo huu na faida kwa wawekezaji ni kuanzia 10%-50%.

Baadhi ya makampuni ni yafutayo (Nigeria):

1. thriveagric.com
2. farmcrowdy.com
3. farmkart.ng
4. porkmoney.com
5. efarms.com.ng/end
6. payfarmer.com
7. agropartnerships.co
8. tradersofafrica.com
9. farmfunded.com
10. ez-farming.com
11. menorahfarms.com
12. farmagric.com
13. farmbuddy.ng
14. groupfarma.com.ng
15. greenfoldfarmprojects.com
16. smartfarm.com.ng

Investment cycles kwa nyingi naona ni kuanzia miezi 4 hadi 12.

Anyway nirudi kwa Mr Kuku anatumia the same mode of operation yaani crowd farming, investment cycle yake ni miezi 4 hadi 6. Na pia soko la uhakika analo, (contract farming)unaingia mikataba awali ya kusupply kuku constantly kwa muda maalum ili mwishoni mwa huu muda ndo ulipwe malipo. (Hii Ina maana unahitaji capital kubwa sana ya kuweza kuendesha mradi bila kuaffect supply ya kuku. Meaning investors au crowd farmers that's where they come in)

Simple facts mt kuku farms
Ana kuku 90,000+
Ana chinja 3000+ every week

Kuhusu masoko ngoja nikupe scenario.

Acacia/Barrick wanaotumia 2500-3000 chickens per week
American Embassy/washirika 1000+ chickens per month
Geita Gold Mine wanahitaji 3000 chickens per week
Bado hizi hotel kubwa na masupplier wadogo wanaopelekea masokoni etc.

Advantages ziko hivi:
Mfano Mimi nimeajiriwa natoka kazini saa mbili usiku nafanya kazi hadi Jumapili. Muda wa kuanzisha na kusimamia mradi sina Na hata ulisema mkopeshe mtu pesa mtaishia kugombana.

Kwa hiyo pesa zangu ambazo nimesave naziwekeza huku kama investor nakuwa kama vile nimenunua shares ambazo zitamature ndani ya muda Fulani.Kwahiyo nakuwa ufugaji unafanywa wa kuku unafanywa kwa niaba yangu.

Ni kama kununua shares kwenye kampuni la Coca Cola au Vodacom, wakutumia pesa yako kuendesha biashara mwishoni mwa muda Fulani aidha mwaka miezi sita au Tisa ukalipwa profits in form of dividends.

Mimi binafsi nakusanya pesa zangu naenda kuziweka huko.

By the way kama kuna mtu amesikia kuna crowd farming nyingine mbali na Mr kuku, please anijulishe.

Risks
Ofcoz just like any other business, kuna risks za kuconsider kabla hujaweka pesa yako huku kwenye hii miradi. It's your job to determine whether you can accept the risks or not. Kitalaam inaitwa Risk appetite. Is your risk appetite high or low; mfano Mimi am willing to risk 5 million, mwingine na risk 7million etc.

Mr kuku farms hii concept yeye ndo kaintroduce Tanzania kwa sasa hivi bado hajapata competition yoyote, naona kuna huyu jamaa mwingine anaitwa Weku enterprises.

Mwaka juzi kama sikosei kuna Tender mmoja ilitangazwa na US Embassy au International school of Tanganyika walikua wanataka supplier mkubwa wa kuku at least 1000 per month na hawataki excuses, sio unaanza mwezi huu mara mwezi ujao unaanza kuleta sababu mara sijui mtaji umekata nk.

Kwa kutumia crowd farming Mr kuku anaweza supply US embassy.

Pia kuna huyu jamaa wa South Africa anasema unanunua ngombe na kumuhudumia mpaka anakua hadi kummuuza for a profit...livestock wealth.com

Kwa hiyo jamani ndugu zangu tusipende kuhukumu vitu bila kufanya research. Tusipende kujibu kwa mihemko kwa sababu tu uliwahi poteza fedha zako sijui ukaliwa pesa zako.

TUJIFUNZE KUSOMA NA KUFATILIA VITU KIUNDANI KABLA HATUJA KATISHA TAMAA WATU. TUKIENDELEA HIVI KILA SIKU TUTABAKI NYUMA SIKU ZOTE.
 
Crowd Farming sio hiyo anayo eleza Bujibuji, crowd Farming ni kwamba wewe una either shamba au Una Mabanda ya kufugia kuku ila huna pesa ya vifaranga, huna pesa ya Dawa, huna pesa ya Chakula.

Anakuja mwekezaji anawekeza kwenye hizo zotena mwisho wa siku mkiuza kuku mnagawana kulingana na makubaliano yenu au Wanaweza kuwa ni wawekezaji zaidi ya mmoja au wewe una mabanda ya kuku, yupo atakae nunua Vifaranga, yupo ataka finance Chakula, yupo atake finance kulipa wafanya kazi, hiyo ndo crowd Farming ingawa nayo ina scam za kufa mtu huko huko Nigeria
Anzisha kaka mie ntakuja wekeza
Una madini sana wachache wanaweza kuona positivity yako
 
Mkuu sio swala la Chuki je Jamaa dhamira yake ilikuwa safi? Swala linakuja kwenye dhamira, Chiki zipo sana ukiangalia malalamiko kwa jamaa yalikuwa mengi watu wanadai pesa zao wewe hiyo unaona ni sawa?
Ndani ya watz wengi kuna chuki dhidi ya mafanikio ya mtu au watu wengine. Sio tu kwa watu binafsi pia hata kwa mfumo na viongozi wake.

Hawapendi kujifunza ila kuangalia kwa ubaya mafanikio ya mtu mwingine mf kusikia dogo (mr kuku) amekusanya mpaka 17b watu wengi imewauma sana na hata viongozi wa system ambao ndio wamemcharge ni chuki tu ambapo wamepitia kwenye madhaifu ya mradi badala ya kukaa nae chini kupitia mradi kujifunza na hata kusaidia kuondoa madhaifu na kutoa encouragement ili watu wenye mawazo mazuri kama haya wasonge mbele na hata wengine waje au wajitokeze badala yake ndio hivi sasa tunarudishana nyuma.

Tuna taifa lenye wivu sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom