Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Amani iwe nanyi tena wadau!
Nimetoka kutazama mjadala mzito unaoihusu Tanzania katika Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la EU.
Napenda tu kusema yafuatayo
1. Tanzania tuna hali mbaya sana. Wajumbe wa kamati hii wameijadili vibaya sana Tanzania na wengine kupendekeza hatua kali zaidi zichukuliwe...
Ebu wataalam tuelimisheni!
Ipi siri ya ubovu wa barabara zilizochini ya umiliki wa TAZAMA na GESI ASILIA?
Ina maana huwa haziingizwi kwenye bajeti ya TARURA/TANROAD?
Nani anawajibika kuzifanyia matengenezo?
Zitakaa na uchakavu wa namla ile hadi lini?
Ipi haswa sababu ya msingi kuwa chakavu...
That is the bitter truth.
Here is the most recent data from the IMF and extrapolation shows Kenya itazidi kuwa mbele ya Tanzania for the foreseeable future. This is by both GDP nominal and GDP Purchasing Power Parity terms.
Can any level-headed person explain this trend. MATAGA and the like...
Tanzania inahitaji chama kipya cha upinzani chenye sera mbadala za kueleweka za kudumu kwa wananchi sio za matukio.
Hivi vilivyopo hakuna hata kimoja chenye sera ya kudumu kinachoeleweka sera zake za kudumu hasa ni zipi.
Hivi vya kwetu havieleweki kabisa vinaenda na matukio tu.
Mfano CCM...
Ameandika hivyo katika akaunti yake ya twitter:
Excellent news! The situation in #Tanzania will be discussed in @Europarl_EN on Thursday. Looking forward to the hearing, the world needs to know Tanzania is becoming a dictatorship under Magafuli! The fight for democracy continues. Will share the...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania mimi binafsi ninadhani;
Kuna umuhimu wa klabu moja wapo kubwa (Simba au Yanga) kuondoka Dar na kuhamia majiji mengine makubwa kama Arusha au Mwanza ili kuongeza ladha ya mchezo wa soka katika Tanzania...
Ripoti iliyotolewa na Kituo cha Bara la Ulaya cha Kuzuia na Kudhibiti magonjwa (ECDC) na baadaye ripoti hiyo kuchambuliwa na kusomwa na kituo kikubwa cha habari cha nchini Ujerumani cha Deutsche Welle (DW) imeitaja Tanzania kuwa nchi pekee duniani ambayo haijaripoti maambukizi yoyote ya mgonjwa...
Inasikitisha kuona nchi yangu pendwa iko kwenye orodha za juu ya nchi zisizo na furaha kabisa duniani. Nina maswali machache ya kujiuliza na kuulizana:-
1. Je ni kweli hatuna furaha
2. Nini kimepelekea kuondoka kwa furaha yetu
3. Tufanyeje ili tuwe wenye furaha?
TANZANIA KUTOKUWA NA CORONA KATIKA TAARIFA ZA JANA ZA DUNIA KUMEWACHENGUA WAZUNGU.
Leo 18:30hrs 16/11/2020
Leo nilizungumza na Wachina waliokatazwa na nchi yao ya China kurudi kwao China kwa sababu huu ni msimu wa baridi China na kama mtakumbuka mwezi huu ndio kicorona kilianza uko China...
Amani iwe nanyi.
Wakati Joe Biden akiwa ameshinda kiti cha Urais wa Marekani akiwa na miaka 78 Makamu wake mtarajiwa Bi Kamala Harris alitoa hotuba nzuri iliyosisimua watu wengi sana.
Kamala akiwa binti aliyezaliwa na wazazi wote wahamiaji waliotoka nje ya Marekani yaani Baba mwenye asili ya...
Baada ya kumteua kisha kuthibitishwa na Bunge mwishoni mwa wiki, leo asubuhi Rais John Magufuli atamwapisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Majaliwa ataapishwa ili kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa kipindi cha pili ikiwa ni siku tatu baada ya Bunge kumthibitisha.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara...
Ninajua wasifu wa Prof. Joseph Mbwiliza kwa kina. Ni Muha wa Kasulu huko Kigoma na ni mmoja wa maprofesa wa mwanzo kabisa wa kutoka maeneo ya ziwa Tanganyika.
Mtoto wa mkulima aliyepata elimu yake huko Marekani. Alishika madaraka makubwa serikalini na kwenye siasa. Amewahi kuwa Mkuu wa Chuo cha...
Hata hatujafika mbali sana, tayari wanaanza kusema waziwazi wenyewe mbinu haramu na za wizi wa kura walizotumia kushinda uchaguzi huu.
Katika video hii inayomwonesha mbunge mpya wa CCM - Jimbo la Kawe - DSM, Mch. Josephat Gwajima kuanzia dakika ya 8:50 ukitazama na kumsikiliza bila kujua ana...
WanaJF, Salaam!
Nimeandika machache tu kuhusu nchi zenye rekodi ya ukosoaji na ufuatiliaji wa masuala ya uchaguzi na matokeo yake barani Africa ikiwemo Tanzania.
Jumuiya za kimataifa zinapaswa kuheshimu matokeo ya uchaguzi mkuu uliowaweka wagombea wengi wa CCM madarakani kwa kuwa utashi wa...
Habari za saizi,
Wanajukwaa naombeni mnijulishe mambo kadhaa juu ya @tanpoltz kwa kulinganisha na majeshi mengne ya Polisi huko katika dunia ya kwanza
Tuanze na mambo yafuatayo:
1. Nini maana ya jeshi la Polisi?
2. Yapi majukum ya Polisi?
3. Upi ni wajibu wa Polisi?
4. Mgawanyo wa majukumu au...
Kwa miaka mingi taifa kubwa la Marekani, linaposimama kutoa misimamo yake juu ya mijadala mbalimbali hasa ya nje ya nchi yao, wamekuwa wanaongelea jinsi mijadala hiyo inavyohusu 'maslahi ya taifa' au, 'national interest' ya taifa lao. Hii ni dhana pana ambayo wengi huwa wanashindwa kuielewa...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Kwani hakuna namna tunaweza kumualika na kumshawishi Rais huyu mrembo na mchangamfu (Kolinda Grabar-Kitarović) kutoka katika nchi ndogo ya Croatia akaja kutung'arishia vivutio vya Tanzania yetu...
Amani iwe nanyi!
Sasa ni rasmi, ICC imeitaarifu dunia kuhusu kupokea rasmi maombi ya uchunguzi dhidi ya Magufuli na serikali ya Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu na makosa dhidi ya binadamu! Maombi haya yametumwa na ACT Wazalendo, Chama cha siasa, Maria Sarungi, mwanaharakati huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.