Gazeti la Mzalendo: Prof. Mbwiliza, gwiji wa historia ya siasa amlilia Rawlings lakini ameshindwa kulilia demokraisia, haki na maendeleo ya Watanzania

T2020

Senior Member
Jul 15, 2020
131
328
Ninajua wasifu wa Prof. Joseph Mbwiliza kwa kina. Ni Muha wa Kasulu huko Kigoma na ni mmoja wa maprofesa wa mwanzo kabisa wa kutoka maeneo ya ziwa Tanganyika.

Mtoto wa mkulima aliyepata elimu yake huko Marekani. Alishika madaraka makubwa serikalini na kwenye siasa. Amewahi kuwa Mkuu wa Chuo cha CCM Kivukoni.

Cha ajabu ameshidwa kupaza sauti kutetea siasa safi Tanzania ameishia kulilia Rawlings bila hata kujadili na kutoa mtazamo wake kuhusu kubakwà kwa demokrasia Tanzania.

Hana masilahi kwenye serikali ya Magufuli kama akina Prof. Kabudi. Uoga wa kupaza sauti kwa wasomi hawa ni wa nini sasa?
 
  • Kunguru muoga, hukimbiza bawa lake
  • Kwa muoga kunaenda vicheko, kwa mwerevu kunaenda vilio
Tafakari...​
 
Ujasiri wa wasomi wetu uliishia awamu ya 4. Namkumbuka Prof. Mbwiliza akiwa mjumbe wa NEC akiwakilisha mkoa wa Kigoma alikataa kumdhamini Kikwete kuwa Rais huku wakihudumu wizara moja kipindi hicho akamdhamini Salim A. Salim.

Alidai kuwa JK hafai kuwa Rais wa nchi. Alipopata Urais baadae ndio bifu yao ilipoanza akatupwa nje ya system akarudi kufundisha na kufanya tafiti za kisiasa.
 
Mkuu, hivi unakumbuka yaliomkuta Prof Mbwikiza baada ya JK kuingia madarakani?

Je, kuna yeyote alie msaidia hata kumsemea baadha ya kutupwa nje ya jahazi?

Hivi unadhani yeye hana familia na wategemezi?

Mambo mengine ebu acheni kujifanya wajuaji na majabali nyuma ya keyboards aiseeee.
 
Unamuonea wewe umepiga kelele wapi?

Sio fair

Tatizo la Tanzania sio CCM, ni Watanzania ambao wako so relaxed. Ukilitambua hili halitakuumiza. Usipogundua hili utaishia kuwa kama Lissu.
 
Mkuu, hivi unakumbuka yaliomkuta Prof Mbwikiza baada ya JK kuingia madarakani?
Je kuna yeyote alie msaidia hata kumsemea baadha ya kutupwa nje ya jahazi?
Hivi unadhani yeye hana familia na wategemezi?
Mambo mengine ebu acheni kujifanya wajuaji na majabali nyuma ya keyboards aiseeee.

Mweleze huyo jamaa, anatajataja majina ya watu wakati anatumia ID fake

Watanzania milions juzi wamekaa kimya na matokea yao
 
Demokrasia hapa nchini si unalilia wewe na mamako inatosha .muache prof alilie anachopenda maisha ya kutaka kila mtu afuate unachotaka wewe unayatoa wapi na unajiita mwanademokrasia .funga mlango wewe na mmeo na watoto wenu mlilie hiyo demokrasia inatosha.
 
Bongo kuna maprofesa mkuu? waganga njaa tu hao
Unataka wao ndio wakakutetee wewe siyo?

Istoshe!! pale wewe unapodhani ni mahali pakutumia Nguvu, kumbe kwao ndio mahali pa kutumia akili!

Na pale wewe unapodhani pa kutumia akili, kumbe kwao ndipo pa kutumia Nguvu

Kwa hiyo unaweza kugundua ni Nani mjinga Kati yako wewe na wasomi!

Tafuta ugali wako dogo!!

Niambie ni wapi ambapo uliona wasomi kama hao wamepigwa lisasi na mapolisi wakiwa wanaandamana!

Tafadharini, wanyonge tumieni akili, na sio kuingizwa tu mabarabarani na wasomi huku Wao wakiendelea na maisha Yao na nyie mkipigwa marisasi mabarabarani
 
Mpuuzi wewe, wewe ndiyo msomi? hujui hata kiswahili
 
Mliambiwa muandamane mkakaa tu nyuma ya keyboard,mpaka Lissu mwenyewe amenukuliwa akisema bado watanzania hawako tayari kudai haki yao. Halafu mnataka Profesa mmoja ndio awatetee ? Akianza kubinywa mtamtetea au mtaandika tu kwenye mitandao na kwenda kulala ! Kila mtu ashinde mechi zake.
 
Usimtafutie mwenzio balaa.huyo jamaa wa chamwino Ni mtu wa visasi Sana.
Ukiwa unamkosea achelewi kukuletea uhamiaji,tra , polisi ili mradi tu akukomoe.
 
Wewe umepaza sauti au kwa kuropoka humu ndiyo unaona unapaza sauti,siyo kila mtu atakuunga mkono kwa upumbavu wako ili maisha yako yaendelee,wapi demokrasia imebakwa?

Tatizo mnataka muungwe mkono hata kwa vitu ambavyo haviko sahihi,kama wewe umeshindwa kuonesha jinsi demokrasia inabaka nani afanye hivyo?

Hapa mnatafuta mkate wenu wa kila siku ati hakuna cha demokrasia kubakwa kenge nyie
 
Mpuuzi wewe, wewe ndiyo msomi? hujui hata kiswahili
Matako yako weee ndiyo unaejua kiswahili eti?haya kimekusaidia nini hicho kiswahili?unaleta habari za kushikiana akili hapa tafuta domokrasia yako peke yako na famioia yako kenge wewe siyo kuwalazimisha watu
 
Mtoa mada juzi tu hapa kashindwa kutoka kuandamana kutetea haki ila anataka akina Mbwiliza wajitose.

It begins with you!
 
Ninajua wasifu wa Prof. Joseph Mbwiliza kwa kina. Ni Muha wa Kasulu huko Kigoma na ni mmoja wa maprofesa wa mwanzo kabisa wa kutoka maeneo ya ziwa Tanganyika.

Mtoto wa mkulima aliyepata elimu yake huko Marekani. Alishika madaraka makubwa serikalini na kwenye siasa. Amewahi kuwa Mkuu wa Chuo cha CCM Kivukoni.

Cha ajabu ameshidwa kupaza sauti kutetea siasa safi Tanzania ameishia kulilia Rawlings bila hata kujadili na kutoa mtazamo wake kuhusu kubakwà kwa demokrasia Tanzania.

Hana masilahi kwenye serikali ya Magufuli kama akina Prof. Kabudi. Uoga wa kupaza sauti kwa wasomi hawa ni wa nini sasa?
Hawezi kupaza sauti ya kutetea mashoga walioshindwa!
 
Mkuu, hivi unakumbuka yaliomkuta Prof Mbwikiza baada ya JK kuingia madarakani?

Je, kuna yeyote alie msaidia hata kumsemea baadha ya kutupwa nje ya jahazi?

Hivi unadhani yeye hana familia na wategemezi?

Mambo mengine ebu acheni kujifanya wajuaji na majabali nyuma ya keyboards aiseeee.
Ni kweli yamemkuta makubwa. Alitupwa nje ya box kutokana na kushauri tofauti na mtazamo wa JK. Kipindi cha nyuma magazeti makini kama Rai, Raia Mwema Mwanahalisi na Mawio yaliandika makala ya mahojiano nae kuhusu siasa za Tanzania. Ameangamizwa yeye na kizazi chake. Sijasikia mdogo wake wala mtoto wake. Jina maarufu Mbwiliza kule Kigoma halisikii tena katika nchi hii. Naunga mkono mwacheni atulie aendelee na tafiti zake za kisiasa za kimataifa.
 
Huyu aliyepita bila kupingwa, wakafanya mbinu maskini kijana akakatwa kugombea kisa kaandika Chama cha CHADEMA badala ya kuandika Chama cha Demokrasia na Maendeleo -

Kabudi Mungu anakuona dhurma ya wazi wazi hii.
 
Back
Top Bottom