Tanzania ni “kichwa cha mwendawazimu”, kila mwenyekiti wa CCM Taifa hujifunzia hapo!

Ni afadhali hao wengi wao, kama siyo wote, wamekuwa tested and proven kwa kupitia uwaziri serikalini kabla ya kuwa marais; kuna mmoja alikuja na sera za ushoga, hajawahi kuwa tested popote, hata ubalozi wa nyumba 10 tu hajapitia, eti naye akataka tumpe nchi 😂😂😂
 
Mkuu wacha uongo. Hauna aliyekuja na sera za ushoga. Endeleeni kuwadanganya vijana. Kwa propaganda nyie ni hatari kama “gestapo”.

Hivi kuna mgombea ambaye hamkumpa kashfa chafu? Mrema mwenyewe pamoja na kuwa pandikizi, muliwadanganya vijana kuwa jamaa ni kichaa! Vijana wengine waliamini kabisa, na hivyo pamoja na mapenzi yao kwa Mrema, propaganda kama hizo hata baada ya uchaguzi ziliendelea.

Sasa hivi mnawadanganya vijana. Lakini pia mnatumia sana nguvu nyingi kuwafanyia figisu ili kuweza kuwadhibiti. Nafahamu jinsi Taifa limeendelea kuwa kama “a police state”.

Lakini pia vijana wengi sana mumewaajiri polisi, huku mkifahamu kuwa hamuwapi kitu zaidi ya mwenyekiti wenu kuwaruhusu kutaka wananchi wawapatie pesa ya kiwi! Kwa akili yako wananchi wanazo hizo pesa bila kujazwa huko polisi na jela? Ndivyo mlivyo miaka nenda rudi kwa nchi yetu ya Tanzania.
 
Mwalimu J.K Nyerere aliwahi kisema

"Katika taifa Tunahitaji kuwa na vijana jeuri, Vijana waasi chini ya mifumo kandamizi inayokiuka misingi ya jamii, SIYO VIJANA WANAOJIPENDEKEZA AKINA NDIYO MZEE".

Tena aliendelea kusema ni Aibu kuwa na jeshi kubwa lenye silaha nzito pasipokuwa na vijana katika taifa.

CCM INATENGENEZA VIJANA WAJINGA NA WAPUMBAVU MAKUSUDI ILI WATOTO WAO WAENDELEE KUTUYAWALA.

VIJANA KAMA.
1.crimea.
2. kawe Almni.
3 wakudadavua.
4 Magonjwa mtambuka.
5 USSR.
6 Yehodaya.

HAWA NI MFANO WA VIJANA WAJINGA WENGI WANAOLIZUNGUKA TAIFA.
 
Ni afadhali hao wengi wao, kama siyo wote, wamekuwa tested and proven kwa kupitia uwaziri serikalini kabla ya kuwa marais; kuna mmoja alikuja na sera za ushoga, hajawahi kuwa tested popote, hata ubalozi wa nyumba 10 tu hajapitia, eti naye akataka tumpe nchi
No offense, lakin sikuwahi kusikia mtu kaja na sera za ushoga. Hizo ni propaganda ambazo hazina misingi. Lakin huenda ukawa una ushahid wa hizo sera.. ungeueeka ku support hoja yako.
 
Vijana wa Tz tuna tabu sana yaani tumegeuzwa gunia la lawama

Tukikosa kazi tunaitwa wazembe,wavivu, wazururaji, watu wasiojua kuchangamkia fursa,wahuni, watu wanaochagua kazi na maneno mengine ya kutushutumu.

Tukipata hizo kazi tutaambiwa hatujitumi,hatuna ubunifu,hatujiongezi,tumebweteka,wazembe na mengine mengi.

Tupumzisheni kidogo bhana maana hata nyie wakongwe mliwahi kuwa vijana na kama mlikuwa hodari kuliko sisi hili taifa lingekuwa nchi ya kipato cha juu.
 
Ndiyo akili za viongozi wa CCM
 
Hapa ndipo wanapokimbia mada. Ushahidi hawana. Ila akileta nitag
Nitafanya hivyo mkuu. Lakini ni uongo mtupu, hivyo usiweke matumaini yoyote ya kusikia ukweli kutoka kwa huyo. Tusubiri. Msiba kawalisha sumu za kutosha. Na wenyewe wanabugia tu maskini ya Mungu. Bila hata kutaka kufahamu ladha!🤦🏾‍♂️
 
Vijana wa Tz tuna tabu sana yaani tumegeuzwa gunia la lawama

Tukikosa kazi tunaitwa wazembe,wavivu, wazururaji, watu wasiojua kuchangamkia fursa,wahuni, watu wanaochagua kazi na maneno mengine ya kutushutumu.

Tukipata hizo kazi tutaambiwa hatujitumi,hatuna ubunifu,hatujiongezi,tumebweteka,wazembe na mengine mengi.

Tupumzisheni kidogo bhana maana hata nyie wakongwe mliwahi kuwa vijana na kama mlikuwa hodari kuliko sisi hili taifa lingekuwa nchi ya kipato cha juu.
Wananchi wengi wakishatoka kwenye ujana, uhalisia wa maisha unaingia hapo hapo na majukumu! Wale vijana wa kipindi cha Mrema, hawa vijana wa sasa hivi ndo watoto wao! Sasa ni Taifa gani linajengwa unadhani? Hao nao kwasasa wanaunga mkono juhudi hawana ujanja.
 
Mwalimu J.K Nyerere aliwahi kisema

"Katika taifa Tunahitaji kuwa na vijana jeuri, Vijana waasi chini ya mifumo kandamizi inayokiuka misingi ya jamii, SIYO VIJANA WANAOJIPENDEKEZA AKINA NDIYO MZEE".

Tena aliendelea kusema ni Aibu kuwa na jeshi kubwa lenye silaha nzito pasipokuwa na vijana katika taifa.

CCM INATENGENEZA VIJANA WAJINGA NA WAPUMBAVU MAKUSUDI ILI WATOTO WAO WAENDELEE KUTUYAWALA.

VIJANA KAMA.
1.crimea.
2. kawe Almni.
3 wakudadavua.
4 Magonjwa mtambuka.
5 USSR.
6 Yehodaya.

HAWA NI MFANO WA VIJANA WAJINGA WENGI WANAOLIZUNGUKA TAIFA.
Mkuu yani umegonga penyewe haswa! Ni matunda ya ccm na ni makusudi ili wasijitambuwe! Waendelee kunyonya nchi wao na watoto wao.
 
Mkuu wacha uongo. Hauna aliyekuja na sera za ushoga. Endeleeni kuwadanganya vijana. Kwa propaganda nyie ni hatari kama “gestapo”.

Hivi kuna mgombea ambaye hamkumpa kashfa chafu? Mrema mwenyewe pamoja na kuwa pandikizi, muliwadanganya vijana kuwa jamaa ni kichaa! Vijana wengine waliamini kabisa, na hivyo pamoja na mapenzi yao kwa Mrema, propaganda kama hizo hata baada ya uchaguzi ziliendelea.

Sasa hivi mnawadanganya vijana. Lakini pia mnatumia sana nguvu nyingi kuwafanyia figisu ili kuweza kuwadhibiti. Nafahamu jinsi Taifa limeendelea kuwa kama “a police state”.

Lakini pia vijana wengi sana mumewaajiri polisi, huku mkifahamu kuwa hamuwapi kitu zaidi ya mwenyekiti wenu kuwaruhusu kutaka wananchi wawapatie pesa ya kiwi! Kwa akili yako wananchi wanazo hizo pesa bila kujazwa huko polisi na jela? Ndivyo mlivyo miaka nenda rudi kwa nchi yetu ya Tanzania.
Huyo uliyemjibu ni hitimisho kamili kuhusu vijana wa Tanzania. Ona CCM wanavyoja na hoja za kijinga kwa sababu wanajua vijana wengi hawajiulizi mara mbili mbili wanaposikia chochote. Mkuu kwangu mimi nadhani tatizo ni elimu yetu. Watu wamehitimu kwa kukariri na hawajalimika. Sijawahi kuona nchi yenye watu hopeless kama yetu.
 
Back
Top Bottom