Buou ni kweli Tanzania imefikia uchumi wa kati kama mtu anabisha aangalie hii video ya nchi ya Cameroon

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
11,554
2,000
20 Dec 2018

Barabara kuu Rusumo, Kabanga Lusahunga Biharamulo Tanzania


Baadhi ya madereva wa magari ya mizigo wanaotumia barabara ya Lusahunga wilayani Biharamulo hadi Rusumo na Kabanga wilayani Ngara mkoani Kagera wameiomba serikali kukarabati barabara hiyo kupunguza uharibifu wa magari yao.
 

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
11,554
2,000
Barabara kuu Mloka wilayani Rufiji mkoani Pwani, Tanzania


22 Mar 2020
Mawasiliano kati ya wananchi wa kijiji cha kipo na Mloka wilayani Rufiji mkoani Pwani ambavyo ni kitovu kikuu cha njia ya magari makubwa ya kusafirisha vifaa kuelekea kwenye mradi wa umeme bwawa la Mwalimu Nyerere NHPP almaaruf Stiegler's Gorge yamekosekana kwa zaidi ya siku kumi sasa baada ya barabara kuharibika vibaya kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha nchi nzima na kusababisha mafuriko ya mto Rufiji.
 

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
27,467
2,000
Kwa watu wanaoishia mijini tu watakuwa upande wako.

Vijijini barabara za lami zipo maeneo mengi hata kama sio lami lakini nzuri kila eneo zinapita na umeme upo vijiji vingi na magari wanayotumia kwa usafiri ni mazuri huwezi linganisha na hayo ya Cameroon.
 

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
11,554
2,000
Kibondo, Kigoma
Tanzania

MKOA WA KIGOMA WALILIA BARABARA


Hakuna uhakika njia hiyo kuimarishwa siku za karibuni. Kwani miaka 7 barabara haijaisha kuiunganisha Kigoma na mikoa mingine ya Tanzania
 

paul sylvester

JF-Expert Member
Mar 18, 2020
3,480
2,000
20 Dec 2018

Barabara kuu Rusumo, Kabanga Lusahunga Biharamulo Tanzania

Baadhi ya madereva wa magari ya mizigo wanaotumia barabara ya Lusahunga wilayani Biharamulo hadi Rusumo na Kabanga wilayani Ngara mkoani Kagera wameiomba serikali kukarabati barabara hiyo kupunguza uharibifu wa magari yao

Kumbuka kuna Uchumi wa nchi masikini kabis, Uchumi wa Kati na mkubwa, Sisi tuko Uchumi wa Kati, kama tungelikuwa tushamaliza kero zote hizo tusingelikuwa Uchumi wa Kati pekee

Kero hizo ndio zinazotuonyesha kuwa tupo Uchumi wa Kati na zisingalikuwepo hizo, tungelizungumza mengine hapa
 

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
27,467
2,000
Barabara kuu Mloka wilayani Rufiji mkoani Pwani, Tanzania

22 Mar 2020
Mawasiliano kati ya wananchi wa kijiji cha kipo na Mloka wilayani Rufiji mkoani Pwani ambavyo ni kitovu kikuu cha njia ya magari makubwa ya kusafirisha vifaa kuelekea kwenye mradi wa umeme bwawa la Mwalimu Nyerere yamekosekana kwa zaidi ya siku kumi sasa baada ya barabara kuharibika vibaya kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha nchi nzima na kusababisha mafuriko ya mto Rufiji.
hiyo ilikuwa machi mvua kubwa iliponyesha ni tukio lisilo la kawaida hata marekani kulipotokea mvua isiyo ya kawaida hali ilikuwa mbaya kuliko hiyo


 

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
11,554
2,000
22 Juni 2020

MWENGEI KILWA TANZANIA WALILIA BARABARA

Tatizo hakuna bajeti ya kutosha toka serikalini
 

Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
12,324
2,000
Kwa hiyo hiyo video ndio itatuonyesha uchumi wa kati? Hiv sisi ni nchi ya kujilanganisha na cameroon?
Takwimu zipo tovuti ya bank ya dunia.
 

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
11,554
2,000

Matiri Mbinga Ruvuma, Tanzania walia na ubovu wa barabara.


wananchi wadai wamesahaulika na kuomba mamlaka zinazohusika watafute mbinu kumaliza tatizo hili linalowasumbua kila mara
 

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
11,554
2,000
Songea, Ruvuma
Tanzania

Barabara ya Songea-Mkenda


Barabara yenye urefu wa kilometa 124 toka Songea hadi Mkenda mpakani mwa Tanzania. Mkuu wa wilaya alilia serikali kuiangalia barabara hii muhimu.
 

FOCAL

JF-Expert Member
Jun 25, 2019
1,117
2,000
Dreaming? Sema ni wapi barabara ya kutoka mkoa kwenda mkoa au wilaya na wilaya ipo vile.
Nyie wa mjini mko mnafikiri nchi nzima iko kama huko, mvua zinaanza tunawaza adha ya usafiri na mateso yake. Serikali wamejithidi kujenga barabra za kuunganisha mikoa, ila huko ndani ndani ni balaa sana . Ni kama mfumo wa damu mwilini unakuwa na mishipa mikubwa (Veins na Arteries) na ile midogo capillaries inapeleka damu sehemu za pembezoni kama vidoleni, mapafu n.k. Mfumo wetu hatujajenga capillaries kabisa, na hii ni shida kwelikweli
 

Kitombise

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
7,819
2,000
hao cameroon wenyewe pesa yao iko chini sana.. kiufupi tumewazidi siyo wakuwalinganisha na sisi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom