Kuelekea mabadiliko ya kweli: Naomba kulifahamu Jeshi la Polisi Tanzania

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,335
Habari za saizi,

Wanajukwaa naombeni mnijulishe mambo kadhaa juu ya @tanpoltz kwa kulinganisha na majeshi mengne ya Polisi huko katika dunia ya kwanza

Tuanze na mambo yafuatayo:

1. Nini maana ya jeshi la Polisi?
2. Yapi majukum ya Polisi?
3. Upi ni wajibu wa Polisi?
4. Mgawanyo wa majukumu au division za Polisi
5. Ukomo /limitations za Polisi kwa wananchi (miiko ya kazi)

NB: Hivi kuna tofauti ya askari Polisi na afisa wa Polisi?
 
Ha haaa umekwepa kosa kijanja mkuu. Ulipo andika nadhani ulikusudia CCP lakini ukaandika CPP ulipobanwa ukatoa tafsiri yako kimtindo maaba hata hiyo CCP unaweza sema Chuma Cha Pua
Mkuu CPP nilimaanisha 'Clarification from Particular Person' kutokea Moshi. Nikimaanisha kuna watu watakaokupa maana halisi maana hizo ni ofisi zao.
Mkuu au nilikosea kucoment kwenye uzi huu??
 
Mkuu hapo ulipanic tu
Ila mi sikuwa na maana hiyo uliyotaka nikwambie
Mkuu ukiweka uzi usiwe na majibu mfukoni. We uweke tulia watu wauchakate.
Humu siku hizi mtu anaweza uzi anataka mpaka wachangiaji wachangie kama anavyotaka
Tutakuwa Great Sinkers sasa
Hata hahusian na Uzi

Najua ulikuwa una maanisha "chuo cha mafunzo ya Polisi moshi"
 
Hata hahusian na Uzi

Najua ulikuwa una maanisha "chuo cha mafunzo ya Polisi moshi"
Mkuu sasa wewe unaweza kuwa PS wangu
Mimi sikumaanisha hivyo
We umejuaje kama nilimaanisha hayo yako?
Ulianzaje kujua maana mimi PS sina mkuu
 
Habari za saizi,

Wanajukwaa naombeni mnijulishe mambo kadhaa juu ya @tanpoltz kwa kulinganisha na majeshi mengne ya Polisi huko katika dunia ya kwanza

Tuanze na mambo yafuatayo:

1. Nini maana ya jeshi la Polisi?
2. Yapi majukum ya Polisi?
3. Upi ni wajibu wa Polisi?
4. Mgawanyo wa majukumu au division za Polisi
5. Ukomo /limitations za Polisi kwa wananchi (miiko ya kazi)

NB: Hivi kuna tofauti ya askari Polisi na afisa wa Polisi?
Nitajibu randomly ili kukufungua ufahamu na kukupa Lango la kuingilia kulielewa "geshi" la polisi, likely swali no.1 tuanze

1. PT ni chombo cha Muungano wa Tanzania kilichoundwa ili kuwahakikishia wananchi usalama wao na mali zao, kudumisha amani na utulivu katika jamii,pia kuzuia, Kubaini na kupambana na uhalifu. Ni chombo cha serikali kilichopewa mamalaka na wajibu wa kuajiri na kuwapangia polisi vituo vya kufanyia kazi na kuratibu maswala yote ya amani na utulivu ndani ya nchi.
 
Shukran aisee
Lakini kuna mambo ma wili ya nyongeza
Mipaka ya Polisi /ukomo katika ufanyaji kazi zao ni upi?

Je tuwaite askari Polisi au afisa wa Polisi?
 
Police Tanzania
Ni moja Kati ya taasisi dhaifu na legelege, inaendeshwa kisiasa bila kufwata sheria, police kuvamia , kuteka, kubambika kesi, kuuwa kwa amri za wanasiasa ni kawaida kabisa kwa jeshi letu, wakuu wa mapolice kuwa makada wa chama tawala , hiyo ni moja Kati ya vitu vinavyotia aibu mno jeshi letu la polisi,
Hakuna wa kumuwajibisha police ,
Tunataka jeshi la polisi la kisasa.
Lenye wataalamu , Kama maswala ya forensic, it na siyo walio feli form 4
 
"Tunataka jeshi la kisasa"

Jeshi la kisasa lipoje?(linasifa zipi ambazo siro na wenzake wanazikosa?)
 
Back
Top Bottom