Ebu wataalam tuelimisheni!
Ipi siri ya ubovu wa barabara zilizochini ya umiliki wa TAZAMA na GESI ASILIA?
Ina maana huwa haziingizwi kwenye bajeti ya TARURA/TANROAD?
Nani anawajibika kuzifanyia matengenezo?
Zitakaa na uchakavu wa namla ile hadi lini?
Ipi haswa sababu ya msingi kuwa chakavu barabara zao wakati TAZAMA wanamiliki mgodi wa pesa?
Au hadi rais aseme?