DMU za zamani Kenya kutoza nauli mara 4 ya Modern BRT ya Tanzania

Kenya ni nchi ya vituko na vitimbwi, mtu wa hali ya chini hana wa kumtetea kabisa, nauli ya Ksh 100 kwa train za zamani wakati BRT inatoza chini ya Ksh 35 ni aibu na fedheha kwa Kenya

Kwani ni lazima Kenya tutoze nauli sawa na yenu?
 
Subiri watalia kuchezwa pale watakapoona Tanzania ina-operate brand new EMUs kati ya Dar na Moro umbali wa 195 km kwa bei chini ya hiyo Kshs 100! Saa hii wana euphoria ya kupanda DMUs! hata hawaoni kama mtumba!
Nyie mnayo DMUs?
 
Kwani ni lazima Kenya tutoze nauli sawa na yenu?
Serikali yoyote yenye kujali wananchi wake na uchumi wowote wenye kuimarika lazima viweze kupunguza gharama za maisha kwa wananchi wake.

Wakenya kwakweli serikali yenu haina msaada wowote kwa wananchi wake, haijali kabisa maisha yao zaidi ya kuendelea kuwatoza kodi kubwa kila mwaka. Usafiri wa train na meli ndio "the cheapest". Iweje train iwe ghali kuliko buses?
 
Kenya ni nchi ya vituko na vitimbwi, mtu wa hali ya chini hana wa kumtetea kabisa, nauli ya Ksh 100 kwa train za zamani wakati BRT inatoza chini ya Ksh 35 ni aibu na fedheha kwa Kenya
Hzo DMU sio zimekuumiza sana
BRT na DMUs wapi na wapi we bwege..

Alafu 35 mbona hela ndogo sana, hyo hata kw matatu labda uonewe huruma..nchi maskini bana

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Subiri watalia kuchezwa pale watakapoona Tanzania ina-operate brand new EMUs kati ya Dar na Moro umbali wa 195 km kwa bei chini ya hiyo Kshs 100! Saa hii wana euphoria ya kupanda DMUs! hata hawaoni kama mtumba!
Hatuwezi shutushwa nchi maskini ikifanya hvo, watu wengi hawajiwezi..
Tz dar ukiweka fare 100 watu wataanza kutembea, manake km mzunguko wa pesa tz ni kidogo sana kuliko kenya

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom