tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hatufundishwi kuhusu 'ma-genius' maarufu wa Kizungu?

    Sijui wengine labda ni mimi tu lkn mpaka namaliza Sekondari nilikuwa sijawahi kusikia chochote kuhusu William Shakespeare, yaani mtu kama angeniuliza kuhusu Shakespeare kipindi namaliza Sekondari nisingejua anaongelea nini, mimi nilifundishwa kuhusu Achebe, Ngugi wa Thiongo au labda Owino hao...
  2. JamiiForums Tanzania Tuijenge Tanzania yetu. Ajira za Mafundi Uashi

    Asalaam Alaikum. Ajira Ajira Ajira. Mafundi Waashi (Masons) waume kwa wake wenye uzoefu wa kazi na wanaoweza kufanya kazi kwa kujituma bila kusimamiwa.Wawe na shauku na uwezo wa kujifunza na hatimae kufundisha ujenzi. Malipo na marupurupu ni ya viwango vya juu kwa wazoefu wataokidhi vigezo...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania yaokoa zaidi yaTsh trilion 36 kutokana na matumizi ya gesi asilia

    Dar es Salaam. Tanzania imeokoa hadi $ 15.6 bilioni (kama Sh36 trilioni) kwa gharama za nishati kwa kubadili gesi asilia kama chanzo cha nishati kutoka Julai 2004 hadi Septemba 2020, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) linasema. Nchi iliokoa kiasi hiki kwa kutumia gesi asilia...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hakuna kumbi(theatre) za kuonyesha sanaa za maigizo jukwaani?

    Wakuu kwanini hiki kitu hakipo Tanzania. Ni biashara nzuri sana. Tena Tanzania kuna kazi nyingi sana za maigizo zimeandikwa. Marekani kuna broadway, mkusanyiko wa theatre nyingi sana. Wanaingiza pesa nyingi sana. Atokee mtu ajenge ukumbi na kuajiri maproducers, ma-director na waigizaji atapiga...
  5. JamiiForums Tanzania Hakuna kabila Malaya Tanzania

    Merry Christmas Kumekua na maneno ya kashfa Sana dhidi ya baadhi ya makabila hapa Tanzania.kuwa "wanawake wa kabila fulani Ni Malaya Sana,hawafai". Mtazamo huu Mimi Lee sikubaliani nao. Sikubaliani nao kwa sababu kila mtoa lawama hulaumu kutokana na wanawake wa kabila fulani aliokutana nao. Na...
  6. JamiiForums Tanzania Haya ndio mambo yanayofanya Tanzania hiwe kinara nchi za wasio na furaha

    Habari wadau..! Kiukweli wa Tz tuna mzigo wa mambo mengi yanayotafanya tukose furaha mpk mda mwingine unatamani utoweke hapa duniani. Mfano siku kama ya leo au kipindi kama hiki unakuta kijana kamaliza chuo miaka inaenda hana mchongo ,kijana huyo huyo unakuta ni mshabiki wa mpira wa miguu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Spika wa bunge siyo mwanasheria na Waziri wa Katiba na Sheria siyo mwanasheria lakini inaongoza kwa Utawala Bora Afrika Mashariki!

    Ni jambo la kujivunia kwamba tunapokuwa na viongozi waliojawa uzalendo mioyoni mwao basi yoyote anaweza kuongoza popote bila kujali au kuzingatia taaluma yake. Tanzania ni nchi inayopigiwa mfano kwa utawala bora Afrika ya mashariki lakini mkuu wa chombo cha kutunga sheria ( bunge) siyo...
  8. JamiiForums Tanzania Makampuni Binafsi Tanzania Yananyima haki ya ongezeko la mishahara kwa mwaka na wanaondoa motisha ya mwaka kwa wafanyakazi!!!

    Wakuu, Hili ni bandiko la mshangao na masikitiko kwa sauti za wafanyakazi kutoka sekta binafsi zimeiga seriklali kutoongeza mishahara kwa asilimia 6%-10% kwa zaidi ya miaka mitano sasa, lakini hata motisha ya jumla kwa mwaka kwa wafanyakazi imeondolewa bila maadalizi ya kisaikolojia kwa watenda...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania 'using Twitter's copyright policy to silence activists'

    Tanzania 'using Twitter's copyright policy to silence activists' Twitter accounts of several activists were targeted by the copyright attack Twitter's policy that deals with the infringement of copyright is increasingly being used to maliciously target accounts run by Tanzanian human rights...
  10. JamiiForums Tanzania Tujuzane historia ya Tanzania toka uhuru hadi sasa.

    Najua historia ina mambo mengi na mtu mmoja hawezi elezea yote. Tuelezee sehemu unayoifahamu. Mkusanyiko ukiwa mkubwa tutapata mwanga. Tujuzane kuhusu historia ya elimu, siasa, uchumi, ulinzi, biashara, kilimo, dini, bunge, mahakama, habari, teknolojia, haki, ufugaji, uvuvi, uhalifu, madini...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mlioko Tanzania tutupieni jamvini picha za sayari ya Jupiter na Saturn

    Inakuwaje wanajamvi? Usiku wa kuamkia leo Sayari ya Jupiter na Saturn zitaonekana kwa macho ya kawaida. Mlioko nyumbani bongo ama Africa kwa jumla mna bahati kwasababu anga liko wazi sky is clear. Tokeni nje sasa hivi mpige picha hata na simu mshare. Huku Skendinevia tulipo hatuna iyo bahati...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini hela ya Kenya ina thamani zaidi, tena mbali kuliko ya Tanzania wakati tumebarikiwa kila kitu?

    Jambo moja linalonipa shida kuliko hata kuibiwa kura ni hili la hawa wakenya jirani zetu, hela yao ipo na thamani kubwa sana sana kuliko za kwetu -- tatizo ni nini? Na kila siku tunajilabu tuna utajiri uliotukuka, naikumbuka ile sentensi ya Mwalimu Nyerere. Watanzania Uchumi mnao... Tufanye...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali yangu: Tanzania itakuwa na mabilionea wa kisiasa au kiuchumi?

    Serikali yangu, Salaam! Dhamira yenu kuhusu katika utawala wenu kuongeza mabilionea wapya ni nzuri, endelevu, zenye baraka. Lakini huenda dhamira na nia zenu zisilete matokeo chanya pale tutakapojilinganisha au kulinganishwa na nchi majirani zetu. Nimeandika haya ili tujitathmini na kuwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania mercantile exchange: jambo zuri sana limeanzishwa

    Habari wakuu. Mimi si mtaalamu wa business lakini Tanzania tumeanzisha commodity exchange na nimesoma kuwa imeanza kazi mwaka jana mwezi wa kumi. Jambo zuri sana. Commodity exchange ni eneo au kampuni ambapo mauziano yanafanyika. Ni kama soko. Faida yake ni kuna kitu kinaitwa future contracts...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania na Uganda zatajwa kushiriki majaribio ya chanjo ya HIV

    Tanzania na Uganda zimetajwa kuwa kati ya nchi nne za Afrika kushiriki kwenye majaribio ya chanjo ya virusi ya UKIMWI, ikiwa ni sehemu ya jaribio la kwanza barani Afrika kujaribu chanjo mbili mpya dhidi ya VVU. Imearifiwa kuwa tayari majaribio yameanza wiki hii nchini Uganda na Afrika Kusini...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Je Tanzania kuna Chama cha Wakemia

    Habarini za leo wakuu. Nahitaji kujua kama kuna chama cha wakemia Tanzania. Na kama kipo kazi zake ni zipi hapa nchini. Na kama hakipo kwanini hakipo wakati field ya kemia ipo hadi Kwenye katiba. Sote tunajua kuna mkemia mkuu wa serikali Tanzania. Je, yeye kama mkemia mkuu hana jukumu...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini China imeanza kutajwa kwenye ufadhili miradi mikubwa na kimkakati ya Tanzania wakati walitaka kutuingiza chaka bandari ya Bagamoyo?

    China imejizolea umaarufu Kama Taifa lenye mahusiano makubwa na mazuri na Tanzania. Limeonekana kuwa moja ya Taifa lenye nia nzuri na Tanzania kiasi kwamba Rais wake alipewa fursa ya mazungumzo ya lisaa limoja na Rais Wetu. Ila Taifa la China lilipewa kujenga bandari ya Bagamoyo baadaye...
  18. J

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Nimeamini Tanzania tuna utawala wa sheria, kule Uganda Rais Museveni amesema ataongea na Jaji Mkuu dhamana kwa waandamanaji ifutwe!

    Kiukweli nimeamini na nimekubali kuwa katika ulimwengu wa siasa Tanzania inafuata utawala wa sheria. Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema ataongea na Jaji mkuu wa nchi hiyo ili kufuta dhamana kwa washtakiwa wote waliotenda kosa la kuandamana bila kibali. Museveni amesisitiza kuwa kama Jaji...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi Air Tanzania ni kweli ndege zenu zote za kuelekea Kilimanjaro zimejaa, au ni usanii tu?

    Wakuu, Toka last week nahaha kutafuta usafiri wa kunifikisha JRO ,lakini kila nikijaribu kufanya booking,naambiwa tarehe zote flight zimejaa. Hii ni kweli au kuna usanii unafanyika?
  20. JamiiForums Tanzania Watawala wa Tanzania, labda siku moja mtapenda mpewe haki ya kusikilizwa Mahakamani pia!

    Walioweka mfumo wa Mihimili 3 yaani Serikali, Mahakama na Bunge hawakuwa wajinga, walijua wanafanya nini na walikuwa na nguvu za Umungu lkn bado waliona umuhimu wa kuwa na Mahakama na Sheria kwamba kila Binadamu ana haki ya kusikilizwa na ndo maana hata wauwaji wanafikishwa Mahakamani na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…