Naiona Tanzania iliyopoteza muelekeo. Kama ni bichwa la treni limepoteza uelekeo

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Kama ilivyo kwa treni kichwa kikipoteza uelekeo basi mabehewa yote yanakuwa yamepoteza uelekeo.

Ndivyo ilivyosasa ile hali ya taifa kutengemaa kidogo sasa inakwenda kupotea kabisa. Nidhamu kwa watumishi wa umma, nidhamu ya wananchi kutii sheria inakwenda kupotea. Ufisadi nao utarudi kwa kasi mithiri ya baruti imeripuka.

Jiulize kama jeshi la Polisi ni lilelile na makamanda ni walewale kwa nini wizi na mauaji yamerudi kwa kasi? Dar es salaam ni pa kutilia mfano tu lakini hata mikoani waharifu wanajiachia. Pitia vyombo vya habari utapata majibu.

Mbaya zaidi mkuu wa vyombo vya usalama analalama kuwa anasoma mitandao ya kijamii juu ya kuongezeka uhalifu.

Kwa ufupi kama taifa hatuna jinsi lakini tukubali kuwa sasa hatuna muelekeo thabiti.
 
Watendaji wanatakiwa kuwa serious kwenye nafasi zao, waamshwe, sasa inaonekana kuna hali fulani ya ku relax walishazoea kusukumwa.
 
Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji. Nyie endeleeni kupiga mayowe mama anapiga kazi na watanzania bila kujari itikadi za vyama vyetu tunamuunga mkono kwa 100%
 
Tatizo Sukuma Gang bado hawajaamini kilicho na kinachotokea hivyo wamejiunga kuonesha aliyepita japo hayupo ANAFAA kuliko aliyepo
 
Endeleeni kuunda magenge ya uhalifu ili kuutia doa huu uongozi wa sasa.

Ila nawaambia hamtafanikiwa hata kidogo
 
Kama ilivyo kwa treni kichwa kikipoteza uelekeo basi mabehewa yote yanakuwa yamepoteza uelekeo.

Ndivyo ilivyosasa ile hali ya taifa kutengemaa kidogo sasa inakwenda kupotea kabisa. Nidhamu kwa watumishi wa umma, nidhamu ya wananchi kutii sheria inakwenda kupotea. Ufisadi nao utarudi kwa kasi mithiri ya baruti imeripuka.

Jiulize kama jeshi la Polisi ni lilelile na makamanda ni walewale kwa nini wizi na mauaji yamerudi kwa kasi? Dar es salaam ni pa kutilia mfano tu lakini hata mikoani waharifu wanajiachia. Pitia vyombo vya habari utapata majibu.

Mbaya zaidi mkuu wa vyombo vya usalama analalama kuwa anasoma mitandao ya kijamii juu ya kuongezeka uhalifu.

Kwa ufupi kama taifa hatuna jinsi lakini tukubali kuwa sasa hatuna muelekeo thabiti.
Yaani wewe unapenda kulalamika kama Mwana Israel. Kila kitu unalalamika hakuna malaika hapa duniani wote ni wanadamu pambana bwana. Ukipewa nyama Mara Ohio nyama tu kila siku ukipewa samaki Mara samaki siwapendi ukipewa mayai Mara una alegi. Jamani tujifunze kuridhika. Hebu tushauri tufanyeje ili tusiwe kichwa cha treni. Tusiwe kama waisraeli walalamishi
 
Kama ilivyo kwa treni kichwa kikipoteza uelekeo basi mabehewa yote yanakuwa yamepoteza uelekeo.

Ndivyo ilivyosasa ile hali ya taifa kutengemaa kidogo sasa inakwenda kupotea kabisa. Nidhamu kwa watumishi wa umma, nidhamu ya wananchi kutii sheria inakwenda kupotea. Ufisadi nao utarudi kwa kasi mithiri ya baruti imeripuka.

Jiulize kama jeshi la Polisi ni lilelile na makamanda ni walewale kwa nini wizi na mauaji yamerudi kwa kasi? Dar es salaam ni pa kutilia mfano tu lakini hata mikoani waharifu wanajiachia. Pitia vyombo vya habari utapata majibu.

Mbaya zaidi mkuu wa vyombo vya usalama analalama kuwa anasoma mitandao ya kijamii juu ya kuongezeka uhalifu.

Kwa ufupi kama taifa hatuna jinsi lakini tukubali kuwa sasa hatuna muelekeo thabiti.
Kwiiiiiiishaaaaaaa habari zenu waramba miguuuuu
JamiiForums1992601550.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom