Kampuni ya Simu ya Xiaomi yafungua ofisi zake Tanzania?

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,265
9,884
Kampuni ya China inayotengeneza vifaa vya Electronic hasa simu janja ya Xiomi wamefungua ofisi zao Tanzania.

Ofisi hizo ninapatikana mtaa wa Uhuru, Jijini Dar es Salaam.

Hi ni kwamujibu wa page yao kwenye mtandao wa Facebook.

Screenshot_20210509-120910.png

Screenshot_20210509-115701.png
 
Kampuni ya China inayotengeneza vigaa vya Electronic hasa simu janja ya Xiomi wamefungua ofisi zao Tanzania.

Ofisi hizo ninapatikana mtaa wa Uhuru, Jijini Dar es Salaam.

Hi ni kwamuji wa page yao kwenye mtandao wa Facebook.

View attachment 1778519

View attachment 1778520
Mzee, sio kwamba Xiaomi wamefunga biashara Tanzania hapana,, bali wamefunga offisi zao kwa sku ya leo (jumapili) hawafanyi kazi. Huoni hapo mbele pameandikwa "opens on monday 09:00". Ukitaka kuamini maneno yangu basi kesho saa nne asubuh tembelea tena huo ukurasa kama utakutana na neno "closed"

Naona watu mnasapoti tuuuh!
 
Mkuu tuliza kichwa soma vizuri
 
Daaahh hizi SIM zinekuja kuuwa soko la I phone kama unapenda Gems zenye nguvu na speed Mi is the best choice na kwenye Being sio pasua kicwaa xana ila no Durable na reliable Mchina Oyeee...

Nilikuwa naiskiaskia tu Iphone, Iphone. Watu wanaisifia!

Juzi kati nikaletewa zawadi, Iphone 8+ safiiii!
Sasa kilichotokea hamuwezi amini...

Yaani hii simu ni kama jela fulani tu hivi ya kifahari!
 
Back
Top Bottom