Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Profesa Kabudi amesema Tanzania itapokea ugeni mkubwa kutoka China ukiongozwa na Waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo.
Ziara hiyo itakuwa na manufaa makubwa kwa nchi yetu ambayo ina mkataba wa urafiki na China uliosainiwa na Mwalimu Nyerere miaka 55 iliyopita, amesema Prof Kabudi.
Chanzo: Eatv...
Wasalaam wana jamvi.
Kiwanda cha muziki tanzania kimekuwa sana na ni wazi kabisa muziki wetu hasa bongo fleva umekuwa mgumu sana.
Lakini kwenye miondoko ya taratibu na kubembeleza ni wazi kabisa kumekuwa na ugumu wa wasanii wengi na ni wachache wanaweza kumantain.
Lakini ukifatilia trend ya...
Salaam Wana JF,
Naanza andiko hili fupi kwa kumshukru Mungu kwa wema wake wote kuendelea kutupenda sisi Watanzania na kutujalia kheri za kila namna katika shughuli zetu za kila siku.
Baada ya Salaam hizo niangazie kusudi la barua hii fupi, Andiko hili kimaudhui ni kutambua Mchango wa kipekee...
Kuna Matunda ambayo tokea nakua hadi hivi sasa nautafuta Uzee wangu yalikuwa yakidharaulika na hayapendwi kabisa Kuliwa na Watanzania ila cha Kushangaza Siku hizi baadhi ya Wajasiriamali ( Wafanyabiashara ) wakiyaandaa vyema, kuyaweka Sokoni na kusema ( kutangaza ) yanatibu au kuongeza Nguvu za...
Nilidhani baada ya aliyekuwa Kadinali wa Kanisa la Katoliki Tanzania ambaye pia ni Askofu Jimbo la Dar es Salaam, Muadhama Askofu Pengo kustaafu na kurithiwa na Askofu Yuda, kwamba mrithi wake angerithi vyeo vyote viwili.
Lakini nimeona sivyo kwani Baba Askofu Yuda anatambuliwa na kuitwa Askofu...
Mikoa mingi inayopatikana kusini mwa Tanzania iko nyuma kimaendeleo.
Ruvuma, Lindi, Mtwara hii mikoa ni imetengwa na kupuuzwa kwa miaka mingi.
Nitaelezea kwa Ruvuma, mkoa wa Ruvuma makao makuu Songea hakuna chuo cha elimu ya juu hata kimoja, vilivokuepo vyote vilifungiwa na ikawa mwisho wake...
Baada ya Serikali ya awamu ya tano kukwama kwenye sekta ya ajira kamekuja katabia ka watu kuwabeza wasomi waliorundikana mitaani kwa kukosa ajira, kwamba wameshindwa kutumia elimu waliyoipata ama kujiajiri au kuwa wabunifu ili waweze kujikwamua.
Kiuharisia suala la msomi kujiajiri baada ya...
Habari Wakuu. Kwa Wahenga na wale kizazi kipya kuna matukio yalitokea, kama si kumbukumbu za vyombo vya habari, basi anayekusimulia,utamuhisi amekopi sinema fulani na si uhalisia ulotokea Tanzania. Baadhi ya Matukio hayo ni pamoja na
1.Toleo la kwanza: Sarah Simbaulanga: Mwanamke wa kwanza...
Nakumbuka enzi zile ,nikimaliza lasaba natafuta meli ! Baharia ndio moja ya kazi za zama zile za geza ulole ,baada ya hapo ikaingia krosiboda na hata kuingia nchi za wazung baadae ndio ikafikia kujiripuwa ,ni kubakia ulaya na kuanza kujituma tukitumai maisha yatanoga na kweli yamenoga na wengi...
Ni mmoja wa Tanzania ambao siasa za Tanzania wanazijua A to Z.
Aliwahi kutoa siku saba kwa majambazi kusalimisha bunduki na majambazi wakasalimisha silaha, silaha zikachomwa kama kuni.
Alipoibua ufisadi wa Singasinga Chavda juu ya mashamba ya mkonge aliyoyapata kwa ufisadi, alijikuta anapewa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Dk. John Pombe Joseph Magufuli
I. UTANGULIZI
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2020 umekwisha, ukiwa unasindikizwa na ukosoaji mkali kutoka kwa vyama vikuu vya upinzani vya Chadema, ACT Wazalendo na CUF. CCM imepata wabunge 261...
Habari hii nakumbuka ilitolewa na hata JamiiForums twitter waliripoti hii habari ila mpaka leo December 27 mbona kimya?
Je,walitawahi tangaza kuahirisha?
Na hizi zilizopo, maendeleo yake yakoje?
Mwenye majibu tafadhali.
Wanadodi,
Leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikianzia kuibuka kwa fursa mpya kwenye reli ya SGR ya Tanzania, karibu.
Wakati Tanzania tukiendelea na ujenzi wa reli yetu ya SGR, shughuli nzito kwenye SGR sio ujenzi, bali ni kuiendesha kwa faida...
Sijui wengine labda ni mimi tu lkn mpaka namaliza Sekondari nilikuwa sijawahi kusikia chochote kuhusu William Shakespeare, yaani mtu kama angeniuliza kuhusu Shakespeare kipindi namaliza Sekondari nisingejua anaongelea nini, mimi nilifundishwa kuhusu Achebe, Ngugi wa Thiongo au labda Owino hao...
Asalaam Alaikum.
Ajira Ajira Ajira.
Mafundi Waashi (Masons) waume kwa wake wenye uzoefu wa kazi na wanaoweza kufanya kazi kwa kujituma bila kusimamiwa.Wawe na shauku na uwezo wa kujifunza na hatimae kufundisha ujenzi.
Malipo na marupurupu ni ya viwango vya juu kwa wazoefu wataokidhi vigezo...
Dar es Salaam. Tanzania imeokoa hadi $ 15.6 bilioni (kama Sh36 trilioni) kwa gharama za nishati kwa kubadili gesi asilia kama chanzo cha nishati kutoka Julai 2004 hadi Septemba 2020, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) linasema.
Nchi iliokoa kiasi hiki kwa kutumia gesi asilia...
Wakuu kwanini hiki kitu hakipo Tanzania. Ni biashara nzuri sana. Tena Tanzania kuna kazi nyingi sana za maigizo zimeandikwa.
Marekani kuna broadway, mkusanyiko wa theatre nyingi sana. Wanaingiza pesa nyingi sana.
Atokee mtu ajenge ukumbi na kuajiri maproducers, ma-director na waigizaji atapiga...
Merry Christmas
Kumekua na maneno ya kashfa Sana dhidi ya baadhi ya makabila hapa Tanzania.kuwa "wanawake wa kabila fulani Ni Malaya Sana,hawafai".
Mtazamo huu Mimi Lee sikubaliani nao.
Sikubaliani nao kwa sababu kila mtoa lawama hulaumu kutokana na wanawake wa kabila fulani aliokutana nao.
Na...
Habari wadau..!
Kiukweli wa Tz tuna mzigo wa mambo mengi yanayotafanya tukose furaha mpk mda mwingine unatamani utoweke hapa duniani.
Mfano siku kama ya leo au kipindi kama hiki unakuta kijana kamaliza chuo miaka inaenda hana mchongo ,kijana huyo huyo unakuta ni mshabiki wa mpira wa miguu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.