music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 500
- 888
Leta DJs wote bongo, ila ikija kwenye mixxin za Amapiano hakuna kama DJ Baffy.
Kifupi ndio DJ namba moja wa kutwanga amapiano.
Dondosha amapiano yako uliyoielewa baada ya kuisikia kwa Dj Baffy.