Video: Tundu A. Lissu apewa tuzo ya Bush - Thatcher Award (BTA) ya kupigania Uhuru, Haki na Utawala bora toka IDU

The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,008
2,000

Video hiyo hapo juu ni David McAllister - Deputy Chairperson of International Democratic Union (IDU) & Member of European Parliament akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkabidhi tuzo hiyo Mh. Tundu Lissu.

Na katika video hii hapa chini Tundu Lissu akitoa neno la shukrani baada ya kupokea tuzo hiyo.

Hongera sana Mh. Tundu A. Lissu. Binafsi nakutakia kila la kheri.

 

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,369
2,000
Baada ya kumtumia mabeberu yameamua kumpoza mwenzao.. To hell Lisu msaliti
Kuna muda yakupasa utumie akili zako binafsi

Ngonjera, Mipasho na taarabu nenda jukwaa la Mapenzi

Jadili kuhusu hiyo tuzo

Kama hufahamu ni kitu gani na kwanini inatolewa na ilianza lini kaa kimya

Wewe ni jitu zima, Fikiri kwa kutumia akili na ubongo sio kwa kutumia mashavu
 

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,369
2,000
Mwambieni atazoa 'Tuzo' sana tu za hao 'Mabeberu' wake wanaomtuma ila Tanzania 'Rais' ni Dk. Magufuli na Chama Tawala ni cha 'CCM' tu pekee.
Hizi ndio degree za St Augustine na Mzumbe

Yule mwezako wa vyuo vya kata ameshindwa kusoma kiapo lakini tungesema asifie angeimba na kujigaraza chini

Ahaaa dunia ina mambo mengi sana

Huwezi kufikiri nje ya aliyokudanganya mwalimu wako

Unachojua wewe ni kupiga taarabu na mapambio

Mimi ni mwana CCM lakini sikubaliani na watu mnaojitoa ufahamu

Hamuwezi kujenga hoja kazi ni kusifu na kusifia huku hamjui mtakula kitu gani kesho
 

The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,008
2,000
Hivi huyu ndugu hafai kuwa Rais wa JMT just because he's from Opposition Party - CHADEMA, hana uwezo wala sifa za kuwa Rais na mkuu wa nchi au tatizo lake ni nini hasa?

Na kama tatizo ni kwa sababu yuko chama cha upinzani, I suggest ajiunge haraka sana CCM na John Pombe Magufuli immediately ampishe jamaa kwenye kiti chake maana huyu ndiye mshindi wa kiti cha Uraia ktk sanduku la kura kwenye uchaguzi uliopita!

Jamani eeeh, we don't care anatoka chama gani. Sisi tunamhitaji mtu na mtu wa kufaa kuwa Rais wa nchi hii ni huyu haijalishi ni mCCM au mCHADEMA or whatsoever.

Hundiye Mr President Tundu Antipas Mughway Lissu aliyechaguliwa na watu whether some people like to hear it or they don't!
 

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,369
2,000
Wazungu wanajua kucheza na akili za wajinga! Wahenga walisema, ''wajinga ndio waliwao''.
Ni kweli wanacheza na akili hata za kwako

Leo mnasubiria chanjo ya corona toka kwa mzungu

Mzungu anawatengenezea mpaka simu

Unatumia magari ya mzungu

Wewe unachojua maishani mwako ni kulala na kuamka basi

Mchana unapiga pambio za kusifu, Hufikirii uvumbuzi na ugunduzi

Ahaaa unawaza mabeberu wamsaidie dawa za presha Baba yako huko kijijini kwa kushusha bei ili NHIF waingize kwenye dawa za msingi.

Kuna muda mwanangu akichoka kuangalia katuni huwa nampa simu asome vichekesho vya kwako unavyoandika hapa JF.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom