Tanganyika was a sovereign state, comprising the mainland part of present-day Tanzania, that existed from 1961 until 1964. It first gained independence from the United Kingdom on 9 December 1961 as a state headed by Queen Elizabeth II before becoming a republic within the Commonwealth of Nations a year later. After signing the Articles of Union on 22 April 1964 and passing an Act of Union on 25 April, Tanganyika officially joined with the People's Republic of Zanzibar and Pemba to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on Union Day, 26 April 1964. The new state changed its name to the United Republic of Tanzania within a year.
Halafu tunapiga miaka kumi mingine kwa Magufuli ili kujipanga kufanya Uchaguzi tukiwa kama Tanganyika. Wapinzani mtafanya nini ,tumewapima Uchaguzi uliofanyika hamna kitu.
Yaani yale majigambo yenu wapinzani nikaona mara hii Tanzania hapatakalika, huku CHADEMA inawaka moto akiongoza yule...
Ninawaslimu wote kwa Jina lipitalo majina yote.
Awali ya yote niseme tu kuwa
1. Taarifa yangu ipo katika mfumo wa Swali.
2. Sina lengo la kuchafua Taasisi au mtu yeyote katika taarifa hii.
3. Nitakacho andika hapa nimekifanyia uchunguzi binafsi.
Leo naomba niwasilishe uchunguzi mdogo...
Dar es Salaam ya Tanganyika ilikuwa na fursa nyingi sana za kazi kwa vijana. Vijana wakitoka mikoani na walipata ajira na kuendesha maisha yao. Ajira nyingi zilikuwa Bandarini kazi ya ukuli, hii ilikuwa ni nguvu yako tu, wengi walikua ni vibarua wa siku. Kulikua na kazi za Reli, kung’oa...
Mtanzania, ungana nami kusherehekea mafanikio katika sekta ya usafiririshaji ambayo haya ni maendeleo ya vitu yanayochochea maendeleo ya watu.
Serikali ya awamu ya tano inaleta meli kubwa ya kisasa iitwayo Mv Amani ambayo itafanya safari zake katika ziwa Tanganyika na hivyo kuwa msaada mkubwa...
Jua linachomoza, madimbwi yamekauka kwa Upendo wa Mungu na watu kwa maelfu wanaelekea viwanja vya Kawe Tanganyika packers kumsindikiza kipenzi cha watanzania Dr Magufuli.
Karibuni nyote.
Rip Mwalimu Nyerere
Up dates;
DKT. BASHIRU: SIFA YA MAENDELEO YA WATU NI KUJITAWALA WENYEWE
Katibu Mkuu...
Kuanzia Wiki iliyopita hadi leo hii nimekuwa nikiyaona yafuatayo katika Jimbo la Uchaguzi la 'Cow Way' Jijini Dar es Salaam.....
1. Usafi unafanyika wa hali ya juu
2. Barabara zinatengenezwa
3. Kuna Sura nyingi mpya mpya
4. Ukiwa tu Mwenzako ukianza Kuzungumzia Siasa ghafla unaona Umati...
TAARIFA KWA UMMA
TAMKO LA TANGANYIKA LAW SOCIETY (TLS) JUU YA UAMUZI WA KAMATI YA MAWAKILI KUMUONDOA BI. FATMA AMANI KARUME KATIKA REJISTA YA MAWAKILI TANZANIA BARA NA UAMUZI WA WAKILI FATMA AMANI KARUME KUKATA RUFANI
Mnamo tarehe 2 Oktoba 2020 Baraza la Uongozi la Tanganyika Law Society (TLS)...
Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho.
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
ajira
asante
basi
body
ccm
chadema
chato
haki
haki za binadamu
hana
healthcare
hotuba
jpm
kagera
kampeni
kanda ya ziwa
kazi
kununua
kuomba
leader
lissu
lisu
maadili
mabeberu
madaraka
maendeleo
matokeo
mbunge
media
mji
morogoro
mpango
mwanza
nchi
ndege
nyumbani
party
picha
polisi
reggae
sayansi
serikali
sgr
sheria
siasa
siku
siri
song
tanga
tanganyika
tanzania
tarime
tundu lissu
ubunge
uchaguzi
uchaguzi mkuu
ukweli
ulinzi
upinzani
urais
ushindi
video
vijana
vitu
wananchi
wasanii
watanzania
wote
Leo ndio Halima Mdee atajua kuwa hajui.
Ni kampeni za kishindo katika viwanja vya Tanganyika packers Kawe ambazo zitatanguliwa na maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu vyote vya Dsm ya kumuunga mkono Dr Magufuli.
Halima Mdee lazima akae Dr Magufuli 5 tena!
Maendeleo hayana vyama!
Leo Rais wa Burundi, Evarist Nditiye amewasili nchini kwa ziara ya kiserikali na anapokelewa punde na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma.
3:30 Asubuhi: Rais Magufuli ameshaingia uwanjani, kwa sasa wasanii kadhaa wanatoa burudani...
Ni wazi wazee na waasisi wa Tanganyika wanapukutika
TANGANYIKA ilipokea uhuru wake kutoka kwa mkoloni wa kiingereza hata hivyo uhuru huu haukuwa ni ule wa kushika mtutu pamoja nakuwa nyuma kidogo wakati wa kuingia mjerumani kulipiganwa vita kati ya wazee wetu na wamisionari waliokuja na lemba la...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mhe. Tundu Lissu mgombea urais mwenye hoja nzito na asiyewatisha wananchi , leo atanadi sera zake Zanzibar kwenye viwanja vya Kibandamaiti.
Ikumbukwe kwamba hii Septemba 7 ndio kumbukumbu ya kushambuliwa kwake , ambapo watu waliotumwa na Shetani walimmiminia...
Ni wazi uchaguzi umeshavurugwa, hili halina shaka kitakachojiri anakijua Mwenyezi Mungu. Tunavyoona na inavyoonekana CCM inachuchukua ushindi kwa kuengua wagombea ikiwa ni zoezi la mwanzo, zoezi la pili ni kuengua wapiga kura, zoezi la tatu ni kubadili matokeo ya kura ikifuatiwa na zoezi la...
Kwa hali inavyoendelea na mapokezi aliyopata Maalim Seif Zanzibar uchanguzi kwa upande wa Zanzibar unaonekana utakuwa mugumu kwa CCM na Hussein Mwinyi.
Kwa siasa za Zanzibar Kuna uwezekano mkubwa ACT wakashida. Hapa ndo penye shida je CCM wako tayari kukabidhi Zanzibar kwa ACT ?
Je, hatma ya...
Mfano mzuri ni kona ya Barabara ya Bibi Titi Mohamed na Mtaa wa Maktaba ukiwa unatokea Mwenge. Mfano mwingine ni TAZARA kama unatoka mjini kukata kona ya kushoto kuingia Barabara ya Mandela. Utakuta madereva wanaogopa kukata kushoto kwa vile watakamatwa.
Pana sababu zipi wakamatwe?
Watu Kumi wamefariki dunia na wengine 87 wameokolewa baada ya boti waliokuwa wakisafiria kupigwa na dhoruba na kuzama katika ziwa Tanganyika.
Mkuu wa mkoa Kigoma Thobias Andengenye Amethibitisha.
Taarifa zaidi zinakuja....
Wakati Tanganyika inafanya figisufigisu ya kile ambacho kwa sasa tunakiita muungano, Nchi ya Tanganyika na Zanzibar zote zilikuwa huru na kila moja na mamlaka yake kamili ndani ya mipaka yake.
Muda mfupi tu baada ya Muungano taratibu tanganyika ikajiona sasa ni Baba mwenye nyumba kuanza kuweka...
Tanzania na DR Congo wamekubaliana kuanza ujenzi wa bandari upande zote mbili ndani ya ziwa Tanganyika ili kurahisisha usafirishaji wa mizigo ya DRC. Hakika hii itapunguza zile fujo za wale mataifa ya kati pale (yanajijua).
====
Tanzania Yazindua Bandari ya Kabwe iliyoko Mkoani Rukwa...
Bendera ya Tanganyika
Kabla ya Uchaguzi wa Mwaka 2015, CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Zanzibar, kilieleza nia yake ya kutaka kuachiwa mamlaka ya kumchagua mgombea Urais wa Visiwa hivyo, badala ya utaratibu wa sasa unaoshirikisha wenzao wa Tanzania Bara.
Pamoja na hatua hiyo, chama hicho pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.