Tanganyika was a sovereign state, comprising the mainland part of present-day Tanzania, that existed from 1961 until 1964. It first gained independence from the United Kingdom on 9 December 1961 as a state headed by Queen Elizabeth II before becoming a republic within the Commonwealth of Nations a year later. After signing the Articles of Union on 22 April 1964 and passing an Act of Union on 25 April, Tanganyika officially joined with the People's Republic of Zanzibar and Pemba to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on Union Day, 26 April 1964. The new state changed its name to the United Republic of Tanzania within a year.
si utani ama kwa hakika hii ni ligi ya 8 kwa ubora africa naomba sana simba na yanga zikutane hiyo fainali halafu siku hiyo makocha wa kigeni wakashuhudie kapeti la lake tanganyika watajua hawajui
Taarifa hii imetolewa leo na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh Othman Masoud akiwa ziarani kujitambulisha kwa wanachama wa chama chake cha ACT Wazalendo.
Ambapo amedai mpaka leo hakuna nchi nyingine itakayopewa code hiyo kwa vile ni mali ya Zanzibar
Nitajaribu kuweka video kama itakubali...
Mama Samia leo asubuhi aliamkia Soko la Karikaoo kuangalia biashara inavyokwenda na kuzumgumza na viongozi wa soko.
Allah ana rehma zake na hutukumbusha mengi kwa njia ambazo mtu huwezi kutegemea.
Hapo aliposimama kwenye gari Rais Mama yetu Samia Soko la Kariakoo alikoelekeza sura yake ni Mtaa...
Tanganyika ilikuwa na majimbo 8 wakati inapata uhuru 1961.
1. Jimbo la Kati
2. Mashariki
3. Ziwa
4.Kaskazini
5. Nyanda za juu kusini.
6. Jimbo la Tanga.
7. Nyanda.
MWAKA 1966 NYERERE aliunda mikoa 15 nayo ni:-
1. Kilimanjaro
2. Arusha
3. Pwani .
4. Dodoma
5.Tanga
6. Kigoma
7. Mara
8. Mbeya
9...
TUSOME HISTORIA YA TANU NA UHURU WA TANGANYIKA
Hawa vijana wamevutiwa sana na historia ya Abdulwahid Sykes wameagiza vitabu hivyo kutoka Dar es Salaam.
Hawa vijana wako Shinyanga.
Wana nakala pia ya kitabu cha Rajabu Ibrahim Kirama.
Tangu Tanganyika ilipoungana na Zanzibar mwaka 1964 tumekuwa tunatawaliwa na Watanganyika na kupangiwa nani awe Rais wa Zanzibar kwa kupitia vikao vya CCM Dodoma, hata huyo Mzee Mwinyi hakuwa mzanzibar mwenzetu ila ni mlowezi toka kisawawe pwani huko Tanganyika.
Kwa kudra za Mwenyezi Mungu...
Moderators wa JF mnazingua sana. Mmebadilisha kichwa cha thread na kutoka nje kabisa ya topic. Lengo haikuwa kusema kuna dalili za mafuta, bali kuweka mkazo kwamba lazima tuharakishe ku-utilize hii resource kwa kuwa kuna kasi ya kuacha kutumia mafuta duniani. Kwa nini mnafix vitu ambavyo havina...
Zitto Kabwe amesema wanaoibeza ACT wazalendo kushiriki uchaguzi mdogo Kigoma ni Washamba.
Mimi nadhani Zitto Kabwe ndio mshamba kwa sababu anadhani ACT wazalendo ya Zanzibar ndio hii ya Tanganyika.
Chadema ni bora zaidi mara 10 kuliko ACT wazalendo kwa siasa za Tanganyika.
Zitto Kabwe ana...
Sisi wengine tunaishi na kusomea huku Zanzibar, ili kwenye hizi ajira za afya wameweka kigezo cha leseni ya Tanganyika hivyo ukiwa na leseni ya Zanzibar system inakukataa, cha ajabu mfumo wao wa kuomba leseni ya Tanganyika Online wameufunga hivyo kuwanyima wale wasiokuwa na leseni wasiweze...
Rais Mwinyi anasema alijutia namna alivyoliachia bunge hadi likafikia hatua ya kupiga kura na kuwaunga mkono kundi la wabunge waliojulikana kama G55 waliodai Serikali ya Tanganyika.
Lakini hatimaye jambo hili lilienda kukwamishwa na vikao vikuu vya CCM na kutupiliwa mbali.
Kadhalika Mwinyi...
Yaani kama haki itachukua Mkondo wake, basi Matanganyika watakuwa hawana hata ufukwe, mnatakiwa muwaheshimu sana watu wa Zanzibar.
Na ndio sababu wanasema wataulinda Muungano, Sasa Rais Samia akiridhia kuirudishia Zanzibar ukanda wake, mtamfanya nini,yeye ndio Mkuu wa majeshi, yeye ndio Rais...
TAA HAKIKUWA CHAMA CHA KUSHUGHULIKA NA MASLAHI YA WAFANYAKAZI WAAFRIKA WA TANGANYIKA
Abdul Sykes alikuwa na fikra ya kuunda chama cha siasa toka yuko Burma wakati wa Vita Vya Pili Vya Dunia (1939 – 1945) na alipoingia katika uongozi wa TAA mwaka wa 1950 na kuwa mjumbe katika TAA Political...
MAY DAY TUWAKUMBUKE WAFANYAKAZI WA TANGANYIKA YA MKOLONI
Toka jana nilikuwa nawaza niandike nini kuhusu May Day na Wafanyakazi.
Ikawa nimekwama.
Siku hizi kuna Kiswahili vijana wanasema, ''mara paa,'' nikaona video ya Paul Makonda anasema kama katika maandamano ya May Day angeona bango la...
Baada ya Ikulu zote nchini Kisiwandui, Magogoni na Chamwino kukaliwa na Watanzania visiwani ndiyo nikaona umuhimu wa kuwa na serikali tatu au moja tu. Serikali tatu itasaidia kutunza siri na nyaraka za serikali ya Zanzibar na siri na nyaraka za serikali ya Tanganyika.
Serikali moja inasaidia...
KENNETH DAVID KAUNDA NA ALLY KLEIST 1953
Leo Kenneth Kaunda katimiza miaka 97.
Nimeangalia picha ya Kenneth David Kaunda na picha hii ikanikumbusha uhusiano wa Kaunda na Ally Kleist Sykes wakati Afrika ilipokuwa katika harakati ya kupigania uhuru wake.
Usiku umekuwa mwingi In Shaa Allah kesho...
Faida ya kupata sehemu ya bahari, yaani exclusive economic zone(EEZ). Kisheria mile 200 kutoka pwani ya nchi ni eneo la kiuchumi la nchi husika. Hapo inamaana kilomita kama 320 kutoka pwani ya Tanzania bara kuingia bahari ya Hindi ni eneo letu la kiuchumi. Mafuta na uvuvi wa eneo hilo ni wetu...
A. UTANGULIZI
Napenda kuweka wazi kwamba nimeanzisha mjadala huu, ili kuondoa mkanganyiko na mkwamo ninao uona wazi wazi katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania. Kwa mara nyingine katiba yetu imejaribiwa (imekuwa tested), hivyo ni busara kuwepo kwa mjadala wa kuondoa shaka na hoja...
Mambo vp JamiiForums
Sasa tunalo kombe la mapinduzi kwa vilabu kutoka Tanganyika na Zanzibar, kwanini tushindwe kuwa na kombe la muungano (April 26) mechi moja tu kwa timu za taifa za bara (Tanganyika) na visiwani (Zanzibar) kwa wachezaji wa ligi za ndani tu? Lilianza mwaka 1982 na kufa mwaka...
Katika issue ya maendeleo wazanzibar waliwahi tena ni " wajanja" kuliko Watanganyika.
Wakati sisi tunasimuliwa mambo na wanasiasa wa zama zile Wazanzibar walikuwa wanayashuhudia kwa macho Runingani.
Kadhalika katika swala la kujiamini wazanzibar wanajiamini zaidi kuliko watanganyika ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.