Kuna jambo (tukio) gani la kisiasa Kawe mpaka Wananchi wamekatazwa 'Kuzurura' hovyo Tanganyika Packers?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,920
Kuanzia Wiki iliyopita hadi leo hii nimekuwa nikiyaona yafuatayo katika Jimbo la Uchaguzi la 'Cow Way' Jijini Dar es Salaam.....

1. Usafi unafanyika wa hali ya juu
2. Barabara zinatengenezwa
3. Kuna Sura nyingi mpya mpya
4. Ukiwa tu Mwenzako ukianza Kuzungumzia Siasa ghafla unaona Umati umeongezeka
5. Kuna Watu wanahoji Maswali ya Kimitegomitego sana
6. Uwanja wa Tanganyika Packers kuanzia leo uko chini ya Vijana wa Kazi wakiulinda
7. Askari Polisi na Mgambo bila kuwasahau Ulinzi Shirikishi wapo 'busy' mno Tanganyika Packers.

Wengine tupo mbali sana na Vyombo vya Habari nchini hivyo kwa yoyote anayejua nini Kinaendelea hapo 'Cow Way' atuhabarishe tu sote tafadhali.
 
Atakuja Rais anaesubiri kuapishwa kufanya kampeni ndani ya wiki hii. Kutokana na yeye kuwa nje ya ugombea ni Rais wa nchi hivyo usalama wake ni usalama wa nchi yetu hivyo maandalizi lazima yawepo.
Usalama wake wa nini tena wakati 24/7 anatuaminisha na tunaaminishwa kuwa Yeye ni Mcha Mungu hivyo anatakiwa amtegemee Yeye Kiulinzi?
 
Wewe ndugu huwa nafurahi sana kusoma post zako- Ubarikiwe kwa kufurahisha nafsi na moyo wangu kwa uandishi wako...kikombe cha divai kwako siku moja ingawaje hatujuani humu kwa majina... mwisho, kumbuka- hata yesu alipokuwa anaenda kule Yelusalem , watu walimtandikia matawi ya mizeituni... labda ndio maana wanamfanyia maandalizi hayo JPM...
 
Kutakuwa na ugeni Mkubwa wa kula Ubwaba kama ule wa Hashimu Rungwe. Watu watabebwa na malori toka Wilaya zote 4 kuja ya 5.
 
Kuanzia Wiki iliyopita hadi leo hii nimekuwa nikiyaona yafuatayo katika Jimbo la Uchaguzi la 'Cow Way' Jijini Dar es Salaam.....

1. Usafi unafanyika wa hali ya juu
2. Barabara zinatengenezwa
3. Kuna Sura nyingi mpya mpya
4. Ukiwa tu Mwenzako ukianza Kuzungumzia Siasa ghafla unaona Umati umeongezeka
5. Kuna Watu wanahoji Maswali ya Kimitegomitego sana
6. Uwanja wa Tanganyika Packers kuanzia leo uko chini ya Vijana wa Kazi wakiulinda
7. Askari Polisi na Mgambo bila kuwasahau Ulinzi Shirikishi wapo 'busy' mno Tanganyika Packers.

Wengine tupo mbali sana na Vyombo vya Habari nchini hivyo kwa yoyote anayejua nini Kinaendelea hapo 'Cow Way' atuhabarishe tu sote tafadhali.
Stupid and nonsensical post,unadhani JPM ni kama baba yako.
 
Wewe ndugu huwa nafurahi sana kusoma post zako- Ubarikiwe kwa kufurahisha nafsi na moyo wangu kwa uandishi wako...kikombe cha divai kwako siku moja ingawaje hatujuani humu kwa majina... mwisho, kumbuka- hata yesu alipokuwa anaenda kule Yelusalem , watu walimtandikia matawi ya mizeituni... labda ndio maana wanamfanyia maandalizi hayo JPM...
Asante na tupo pamoja Mkuu.
 
Kuanzia Wiki iliyopita hadi leo hii nimekuwa nikiyaona yafuatayo katika Jimbo la Uchaguzi la 'Cow Way' Jijini Dar es Salaam.....

1. Usafi unafanyika wa hali ya juu
2. Barabara zinatengenezwa
3. Kuna Sura nyingi mpya mpya
4. Ukiwa tu Mwenzako ukianza Kuzungumzia Siasa ghafla unaona Umati umeongezeka
5. Kuna Watu wanahoji Maswali ya Kimitegomitego sana
6. Uwanja wa Tanganyika Packers kuanzia leo uko chini ya Vijana wa Kazi wakiulinda
7. Askari Polisi na Mgambo bila kuwasahau Ulinzi Shirikishi wapo 'busy' mno Tanganyika Packers.

Wengine tupo mbali sana na Vyombo vya Habari nchini hivyo kwa yoyote anayejua nini Kinaendelea hapo 'Cow Way' atuhabarishe tu sote tafadhali.
Watu wamezuiwa kudhurura! Nonsense.
 
Back
Top Bottom