Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
1.1 JOB TITLE: LAND SURVEYOR TRAINEE - (3 POSTS)
1.1.1 DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. To assist in carrying out surveying and mapping studies for the company’s activities;
ii. To assist in coordinating survey findings with work of engineering and other technical personnel, clients, and others...
Ripoti ya CAG inatanabaisha sintofahamu kuhusu UTARATIBU wa ujenzi wa Bwawa la umeme la Nyerere mto Rufiji.. mfano,
1. Ujenzi wa bwawa ULISIMAMA KWA MIEZI MI(5) Baada ya kuta za bwawa kugharikishwa na maji. Sababu iliyobainishwa na CAG ni kuwa plan ya ujenzi ya 2017 ilitaka mikondo miwili ya...
Pole na pongezi kwako, naomba nikufikishie hili la TANESCO kuweka umeme kwenye nyumba imekuwa balaa, baada ya kufanya wiring ili kumpata surveyor inabidi usubiri hata miezi sita ila ukitoa chochote wanakuja kwa haraka, wakikuambia kwamba watakuletea umeme bila nguzo gharama yake ni laki tatu...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali inayoongozwa na Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan itaendelea kutoa fedha za kugharamia mradi wa umeme wa maji ya Mto Rufiji (JNHPP) ili ukamilike kwa wakati.
Ameyasema hayo leo (Jumamosi, Aprili 10, 2021) baada ya kukagua...
bwawa la nyerere
bwawa la umeme
bwawa la umeme rufiji
kassim majaliwa
kassim majaliwa rufiji
majaliwa rufiji
tanesco
ujenzi bwawa la umeme
ujenzi bwawa la umeme rufiji
umeme tanzania
Tangu niliposikia kauli ya Mbunge Sospiere Mukweli akisema kwamba ujenzi wa mabwawa ya kufua umeme kwa sasa yamepitwa na wakati, akili yangu imevurugika kabisa nisielewe nini kinaendelea kichwani mwa wabunge wetu, nimeogopa sana.
Na hii imekuja baada ya ile kauli ya hayati Rais John Joseph...
Ni miaka nenda rudi haya matatizo ya umeme yanasumbua kwakweli.
Nahitaji walau nikae mwaka mzima bila kuijua shida ya umeme.
Je, ni bajeti kiasi gani inahitajika.
Transistor
Wilayani Kyela, Katika kata ya Serengeti siku ya jumamosi 27-02-2021 ilipata kuanguka nguzo mojawapo ya umeme wa Tanesco Hata kukapelekea kukosekana kwa umeme katika katika kata hiyo. Ikumbukwe leo ni Ijumaa ya tarehe 05-03-2021.
Wana-Serengeti wakafanya jitihada ya kuwasiliana na mamlaka za...
TANESCO Morogoro kwa kukatika huku umeme kila siku kwa masaa mengi mjitafakari. Nadhani Mh. Rais Magufuli hajagundua upuuzi huu ila soon atagundua na mtalia na kusaga meno pale mtakapotumbuliwa!
Kila siku umeme lazima ukatike na hakuna taarifa yoyote inayotolewa kwa umma. Wananchi wanateseka...
Ni takribani miezi kadhaa sasa, Mkoa wa Mbeya imekuwa kero, Umeme Unakatika Zaidi ya mara 4 kwa Siku.
Na hili tatizo lipo zaidi ya Miezi 3 hivi.
Tunaambiwa Bwawa la Mtera Maji yamejaa mpaka wanayafungulia yatoke lakini Umeme katika Siku nzima unawaka si zaidi ya Saa 6 hivi.
Tafadhalini acheni...
Serikali imewahakikishia Watanzania kuwa Treni ya Kisasa (SGR) haitakuwa na tatizo la umeme, kwa sababu mabehewa yatakuwa na uwezo wa kuhifadhi umeme wa ziada kwa saa moja hadi mbili.
Waziri wa Nishati, Dk Medard Kalemani, alibainisha hayo mwishoni mwa wiki mjini Morogoro wakati akifungua kikao...
Shirika la Umeme nchini (Tanesco) mkoa Mwanza limesitisha huduma ya umeme kwenye chanzo cha maji cha Nyamazugo kinachosambaza maji wilayani ya Sengerema mkoani hapa.
Meneja wa shirika hilo wilayani Sengerema, James Kabasa amesema wamesitisha huduma hiyo kutokana na Mamlaka ya Maji Safi ya Mji wa...
Kwa siku tano mfululizo maeneo haya umeme ifikapo jioni unakatwana bila taarifa kwa sisi wateja labda Kama tangazo Hilo sijalisikia.
Maeneo ya ubungo Mandela Rd kuanzia external, maziwa, hadi darajani unaotazamana na rivaside.
Pamoja na kuwa jirani kabisa na mitambo ya umeme ya ubungo...
Karibia miezi 6 sasa Tanesco Arusha wamekuwa wakikata umeme kila siku. Imefikia mahali sasa suala la kukatika umeme limekuwa la kawaida, yan wanaturudisha nyuma kipindi kile cha Lowassa ambapo kila kona ilikuwa giza.
Mi ninachoomba kama kuna mgao tangazeni rasmi, kuliko kutukatia umeme kila...
Aliyekuwa Meneja wa Tanesco Mkoa wa Tabora, Mohamed Abdallah D’Souza na aliyekuwa Mhandisi Mwandamizi wa Tanesco, Melkiad Msigwa wamepandishwa kizimbani kwa makosa saba, likiwemo la ujuhumu uchumi na kuisababishia serikali hasara ya Sh 60,066,382.40.
Wamefikishwa mahakamani na Taasisi ya Kuzuia...
Baada ya kupata ahadi ya ufadhili wa kifedha wa mradi wa bwawa la kufua umeme mto Malagarasi, shirika la umeme nchini limetangaza tenda ya kumtafuta mshauri kukamisha mradi huo.
Mradi huu wenye thamani ya zaidi ya dola za kimarekani milioni 144 utajengwa kwenye maporomoko ya Igamba kwenye mto...
Pendezesha Nyumba yako kwa rangi Nzur ambazo azchosh, pia naweka wallpaper za Aina zote kwa ufanis wa Hali ya juu napatkana Dar nafanya kaz seem yyte, mawasliano 0656 535646
Habari Wadau.
Imenibidi niseme tena maana najua imeshasemwa sehemu kibao. Kwa serikali yetu hii ilivyo kasi katika kutuletea maendeleo naona suala la mtandao wa internet limekuwa tatizo kubwa hata katika awamu hii.
Mfano unaenda TANESCO kujaza fomu ili uwekewe umeme lakini inamaliza hadi wiki...
Tangu tarehe 1 mwezi wa 1, wana Nchi walisherekea sikukuu ya mwaka mpya bila umeme. Umeme ulikata kuanzia saa saa 12 jioni, mpaka saa 4 usiku ndiyo mkarudisha.
Tangu tarehe moja mwezi huu, mpaka leo hii tarehe 7, mmekuwa mnakata umeme kila siku. Mna kata umeme saa 2 asubuhi au saa 8 mchana...
Meneja Uhusiano wa TANESCO Johari Kachwamba, amesema kuwa uwepo wa Kunguru ndiyo chanzo kikubwa cha umeme kukatika mara kwa mara katika wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, kwani Kunguru hao wanachangia kuharibu miundombinu hususani nyaya za umeme.
Kauli hiyo ameitoa hii leo Januari 5...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.