Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
Baada ya Serikali kupunguza kulipia umeme Hadi 27,000 tanesco kwenye baadhi ya mikoa ,limeibuka tatizo la kukoseka kwa watumishi wanaojulikana kama ' surveyor, mfano kule Kilimanjaro ofisi ya tanesco mkoa ,kuna surveyor wawili, anaohudumia ofisi ya mkoa . Hii imechangia kuongezeka kwa...
Rudisheni Token ama fedha za watu mlizokata wakati mna tatizo la mfumo wa LUKU, ni muda sasa hela hamrudishi Token hamtoi, hamuoni kama huu ni wizi kama wizi mwingine?
Kwenye mitandao ya simu mtu akipata shida ya miamala ndani ya saa 24 hela zake zinarudi nyinyi mna tatizo gani , watu walinunua...
Nashukuru bei ya kuingiza umeme imeshuka hadi elfu 27000/= mijini na vijijini kwa sasa. Kesho naenda kuomba luku 10 kwa mpigo kila mpangaji awe na yake.
Lakini inasimuliwa wako watu waliolipia bei ya laki tatu ambao hawajawekewa Luku hadi sasa.
Kutokana na ongezeko la mahitaji kwa wateja wapya...
Nipo kwenye rekodi hapa ya kumtetea waziri Kalemani huko nyuma lakini leo naomba Rais Samia amfukuze tena ikibidi haraka Sana huyu waziri.
Kwa mujibu wa maagizo aliyowapa TANESCO waziri Kalemani anataka sasa karibu watu wote Tanzania nzima wakitaka kuunganishiwa Umeme walipe Elfu 27 tu bila...
Sisi wananchi wa wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara kuanzia jana umeme umekuwa unakatika kila baada ya dakika 10 na kuleta madhara makubwa kwa sisi wananchi ambao tunautumia kwani tunaunguliwa na vifaa ambavyo vinatumia umeme.
Pia majokofu yanashindwa kufanya kazi kwa ufanisi kutokana na kero ya...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Licha ya waziri wa nishati kuelekeza kuwa wananchi waunganishiwe umeme kwa 27,000 tanesco Dodoma bado wamekaidi agizo hili. Wameamua kuwaunganisha wateja wenye nguzo karibu na nyumba zao huku wengine wakiambiwa walipie gharama za kuwasogezea nguzo karibu...
Waziri wa nishati mh Kalemani amesema mradi wa umeme bwawa la Nyerere kuanza kujazwa maji November 15.
Kalemani amesema hayo alipotembelea mradi huo akiwa ameongozana na waziri wa nishati wa Misri ambaye amesema bwawa litakuwa limejaa 13/04/2022 na majaribio ya mitambo ya kuzalisha umeme...
Hivi karibuni kulikuwa na changamoto iliyojitokeza na kukwamisha shughuli za Watu wengi kwa kukosa umeme.
Shirika la Umeme na Kampuni za Simu/Watoa huduma za Luku, waanzishe Bima ya token/unit ambapo Wateja watakuwa wananunua unit(token) za akiba zitakazohifahiwa kwenye akaunti zao na pindi...
Wizara ya Nishati umeshindwa kutatua kero za kuunga umeme kwa wananchi na badala yake imezidisha ugumu wa kupata huduma ya umeme hasa kwa wateja Wanahitaji nguzo 1,2,3,4,5,6,7,8,9, Hadi kumi.
Wizara ilitoa sharti gumu kwa TANESCO inayojiendesha kihasara kupunguza gharama za umeme wa nguzo na...
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nikiwa kama muwakilishi wa wanakijiji wenzangu wenye uchungu,majonzi na masikitiko.Moja kwa moja nafikisha malalamiko kwenu shirika letu la umeme Tanzania TANESCO juu ya RUSHWA kubwa iliyotawala katika usimamizi wa mradi wa umeme wa rea...
Hongera Mh. Kalemani kwa kuwawajibisha watumishi ambao aidha wamehisika kusababisha usumbufu au vyovyote vile.
Pia Mh. Kalemani amekua muungwana kwa kuwaomba radhi Watanzania kwa usumbufu uliojitokeza.
Wakati huohuo waziri mkuu ameenda mbali zaidi kwa kutoa maagizo kwamba wakae pembeni wapishe...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amemuagiza Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani asiishie kuwasimamisha kwa siku kumi tu Meneja wa TEHAMA wa TANESCO na Wasaidizi wake, bali wakae pembeni hadi hapo uchunguzi zaidi utakapokamilika.
Habari wakuu kutokana na kuwepo kwa tatizo la ununuzi wa umeme kwa njia ya Luku lililo tokea kuanzia tarehe 17/05/2021.
Shirika la umeme TANESCO limesema sasa huduma ya ununuzi wa umeme kwa njia ya Luku imerejea Tanzania nzima hivyo kwa sasa unaweza Nunua umeme kwa njia zote za awali yaani...
Waziri wa Nishati, Medard Kalemani amewasimamisha kazi kwa siku 10 Meneja wa TEHAMA na Huduma za Biashara wa TANESCO, Lonus Feruzi na wasaidizi wake Frank Mushi na Idda Nja.
Ametaka watoe maelezo ya tatizo la mifumo ya LUKU, na kuagiza maelezo yao yasipojitosheleza waondolewe kazini.
==
Waziri...
TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA MANUNUZI YA LUKU KWA BAADHI YA WATEJA
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi wateja wake kutokana na hitilafu iliyotokea kwenye mfumo wa manunuzi ya umeme wa LUKU siku ya Jumatatu, Mei 17, 2021 na kusababisha baadhi ya wateja kushindwa kununua...
binafsi
ccm
hujuma
ikulu
kutumia
luku
mabadiliko
madeni
msaada
mtandao
njia
palestina
rais samia
siku
tanesco
tatizo la umeme
umeme
upinzani
watanzania
zanzibar
Wanajamvi habari poleni na hongereni kwa majukumu,
Bila kupoteza muda nielekeze hoja yangu ya msingi kulituhumu ili shirika la umeme kutokana na shirika hili kutokua na umakini hasa kwa wateja.
Yapo matatizo mengi ila ntaelekeza hoja katika manunuzi na mfumo mzima wa luku mfano tokea jumatatu...
Fedha za fidia ya wananchi wanaopisha ujenzi wa njia ya mradi wa umeme kutoka bwawa la Mwl Nyerere za kwama Tanesco fedha hizi zilidhinishwa na bunge la bajeti la 2015/2016 kwa ajili ya malipo ya fidia kwa kusimamiwa na Tanesco mpaka leo 2021hakuna taarifa yoyote rasimi kwamba fedha hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.