tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. TANESCO

    JamiiForums Tanzania Lipigie kura Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuweza kushinda kipengele cha ‘Best Government Page of the Year 2020’

    Lipigie kura Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuweza kushinda kipengele cha *Best Government page of the year* kwa mwaka 2020. Cha kufanya; 1. Fungua hiyo link utakutana na neno Vote chini kabisa ya ukurasa 2. Utakutana na Vipengele vitatu yani *Award Category*, *Sub Category * na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji TANESCO aelezea hali ya maji Mtera na Kidatu

    February 10, 2020 Bwawa la Mtera lenye uwezo wa kufua umeme megawatts 80 linazidi kujaa maji na hivyo TANESCO huenda wakalazimika kufungulia maji, hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco. Maji yakitoka hapo pia huenda kituo cha Kidatu na kufua umeme mwingine wa Megawatts 204. Hii...
  3. Sijijui

    JamiiForums Tanzania Jengo la Tanesco Ubungo

    Wadau Hivi Magufuli huwa haoni aibu anapopita pale ubungo hasa akiangalia ile interchange ilivyo na lile jengo la Tanesco aliliolibomoa
  4. mshamba mchangamfu

    JamiiForums Tanzania Meneja TANESCO Mlandizi unahujumu juhudi za Rais wetu mpendwa

    Ndugu ama kwa kujua au kwa kuto kujua wewe na wasaidizi wako mna hujumu juhudi za Mhe.rais wetu za kutaka Tanzania kuwa nchi ya viwanda na uchumi wa kati na hasa mnatuumiza sisi watanzania wakawaida tulioitikia kwa vitendo juhudi za rais wetu.Tanesco Mlandizi mna matatzo makuu matatu. 1.KUKATA...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Nimeomba huduma Tanesco na hili ndio jibu nililopewa

    Kipindi hiki cha mvua nimewasiliana na Tanesco nikiomba msaada wa huduma. Kila wakati jibu ninalopewa ni kwamba mvua zimeharibu sehemu nyingi. Kuna wateja kibao wanahitaji huduma yetu, vumilia. Naamini bado hawajifahamu, bado hawajui wako katika biashara na raia. Majibu ya ofisini wakisubiri...
  6. funaku

    JamiiForums Tanzania TANESCO yaokoa zaidi ya bilioni 23

    January 22, 2020 by Global Publishers Shilingi Bilioni 23.5 zinaokolewa kila mwaka baada ya Serikali kupitia Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) kuzima mitambo ya kuzalisha umeme kwa kutumia mafuta mazito. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Jijini Dodoma kuhusu mafanikio ya Shirika hilo...
  7. Influenza

    JamiiForums Tanzania TANESCO yatakiwa kutafuta vyanzo vipya vya nishati

    Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani ameiagiza Bodi na Menejimenti ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha kuwa wanafanya tafiti kubaini vyanzo vipya vya uzalishaji umeme ili kuongeza kiasi cha nishati hiyo nchini na kuweza kufikia lengo la kuwa na megawati 10,000 ifikapo mwaka...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani aitaka TANESCO kubaini vyanzo vipya vya umeme

    Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani ameiagiza Bodi na Menejimenti ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha kuwa wanafanya tafiti kubaini vyanzo vipya vya uzalishaji umeme ili kuongeza kiasi cha nishati hiyo nchini na kuweza kufikia lengo la kuwa na megawati 10,000 ifikapo mwaka...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Tanesco kununua magari 106 ya kuwafuata wateja

    Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) linapanga kununua magari 106 kwa ajili ya uboreshaji wa utoaji wa huduma kwa wateja ikiwamo kitengo cha dharura kwa ajili ya kuwahudumia wateja baada ya kupata kibali cha ununuzi. Aidha, shirika hilo limesema uboreshaji wa mfumo wa umeme katika kituo cha...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tanesco Tegeta lazima kuna jipu. Mnakata umeme zaidi ya saa 20 mara kwa mara

    Jamani mpaka inaboa, umeme wanakata masaa 20 ukipiga nguzo imeanguka, haya mara kuna tatizo linashughulikiwa . Haiwezekani maeneo hayohayo yakapata matatizo ndani ya wiki moja. Vitu vyetu vinaharibika. Lazma kuna uzembe. Tunaomba meneja wa kituo cha TANESCO Tegeta ajitafakari. Miundombinu ya...
  11. P

    JamiiForums Tanzania TANESCO mbona aibu

    Kwa muda wa siku kadhaa ifikapo majira ya jioni tunakosa umeme maeneo ya External hadi Ubungo Darajani. Sijaona tangazo au taarifa iliyotolewa ili sisi wadau tufahamu tatizo. Taa za barabarani pia haziwaki na kuzingatia Ubungo ni lango kuu la kuingia jijini na kunakuwa na msongamano wa watu ni...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kungekuwa na makampuni mengine ya umeme Tanesco ingezidisha ufanisi

    Enzi za Tanesco kuwa monopoly msambazaji wa umeme zimepitwa na wakati. Huu ulikuwa mfumo wa Ujamaa, enzi za collectiveness. Hakukuwa na ushindani wa kibiashara. Makampuni mengine yakaribishwe na kupewa zabuni ya kusambaza umeme. Wananchi wapewe uhuru wa kuhama kwa supplier mwenye huduma...
  13. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Kalemani: Yeyote atakayebainika anatoza fedha kubwa kwenye uunganishaji umeme wananchi atafukuzwa kazi

    SERIKALI imewaonya watumishi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuwa yeyote atakayebainika anatoza fedha kubwa kwenye uunganishaji umeme wananchi atafukuzwa kazi. Onyo hilo lilitolewa jana bungeni na Waziri wa Nishati, Dk Merdard Kalemani, wakati akijibu mwongozo wa Mbunge wa Ulanga...
  14. maroon7

    JamiiForums Tanzania TANESCO mnakata umeme Mbezi mara 4 kila siku

    Nyie TANESCO haya mambo ndiyo maana mnatumbuliwa haiwezekani kwa mwezi mzima kila siku mnakata umeme mara nne na hata zaidi na tena hamna taarifa yoyote iliyotolewa kuashiria tatizo maeneo ya Mbezi makabe. Najua mnapita humu na hata Mawaziri husika wanapita humu. Kuweni waungwana kama kuna...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye TANESCO wameweza

    Hadi kufikia oktoba 2019 TANESCO imeweza kuunganisha umeme vijiji 8,102 kutoka vijiji 2,018 mwaka 2015, hili ni ongezeko la vijiji 6,084 sawa na asilimia 301 ndani ya miaka minne pekee. Tunawapongeza TANESCO na Serikali kwa kuweza kufanikisha hili maana umeme ni chachu ya maendeleo. Tanzania...
  16. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania SADC yamuunga mkono Rais Dkt Magufuli ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme Rufiji

    Ujenzi wa mradi wa umeme katika Mto Rufiji umetajwa kuwa wa mfano katika nchi za SADC na nchi wanachama wa Afrika Mashariki wa EAC, kutokana na namna Serikali ilivyoamua kuusimamia. Akizungumza katika kituo cha mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar leo na Wanahabari ...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi Mradi wa Umeme, mto Rufiji: Rais Magufuli aagiza sehemu ya Selous kuwa Hifadhi ya Taifa. Fedha zilizorudishwa kutoka Kenya kujenga barabara

    Leo Julai 26, 2019 Mhe. Rais Magufuli atakuwa mgeni rasmi kwenye uwekaji jiwe la msingi la mradi wa kuzalisha umeme katika mto Rufiji Rais Magufuli aliwasili Rufiji akitokea Dar es Salaam akitumia treni ya reli ya TAZARA kwa kupitia Fuga na Kisaki UPDATE: Waziri wa Nishati, Medard Kalemani...
  18. mamayoyo1

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuzindua mradi wa umeme Mto Rufiji Julai 26, 2019

    Waziri wa Nishati nchini Tanzania, Dk Medard Kalemani amesema Rais wa Tanzania, John Magufuli keshokutwa Ijumaa Julai 26, 2019 ataweka jiwe la msingi katika Mradi wa kufua umeme wa megawati 2115 wa Rufiji ‘Stigler's Gorge’ uliopo mikoani ya Pwani na Morogoro. Akizungumza na waandishi wa habari...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtaalam: Watanzania mnadanganywa Stiglers Gorge haiwezekani kwani Kina cha Maji Mto Rufiji kinapungua mno

    " Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu...
  20. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya bajeti Nishati; Miradi ya Rufiji na gesi itaumiza nchi: Mnyika aonya

    HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA NISHATI, MHESHIMIWA JOHN JOHN MNYIKA (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI KUHUSU MAPITIO YA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2018/2019 PAMOJA NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KATIKA WIZARA HIYO...
Back
Top Bottom