tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. C

    JamiiForums Tanzania TANESCO tutangazieni kama kuna mgao wa umeme nchini

    Kwa siku tano mfululizo maeneo haya umeme ifikapo jioni unakatwana bila taarifa kwa sisi wateja labda Kama tangazo Hilo sijalisikia. Maeneo ya ubungo Mandela Rd kuanzia external, maziwa, hadi darajani unaotazamana na rivaside. Pamoja na kuwa jirani kabisa na mitambo ya umeme ya ubungo...
  2. Last emperor

    JamiiForums Tanzania TANESCO Arusha tangazeni kama kuna mgao wa umeme

    Karibia miezi 6 sasa Tanesco Arusha wamekuwa wakikata umeme kila siku. Imefikia mahali sasa suala la kukatika umeme limekuwa la kawaida, yan wanaturudisha nyuma kipindi kile cha Lowassa ambapo kila kona ilikuwa giza. Mi ninachoomba kama kuna mgao tangazeni rasmi, kuliko kutukatia umeme kila...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tabora: Wafanyakazi wa TANESCO wafikishwa Mahakamani kwa uhujumu Uchumi

    Aliyekuwa Meneja wa Tanesco Mkoa wa Tabora, Mohamed Abdallah D’Souza na aliyekuwa Mhandisi Mwandamizi wa Tanesco, Melkiad Msigwa wamepandishwa kizimbani kwa makosa saba, likiwemo la ujuhumu uchumi na kuisababishia serikali hasara ya Sh 60,066,382.40. Wamefikishwa mahakamani na Taasisi ya Kuzuia...
  4. Replica

    JamiiForums Tanzania TANESCO kujenga bwawa la kufua umeme mto Malagarasi litakaogharimu bilioni 330 kwa ufadhili wa Benki ya Afrika

    Baada ya kupata ahadi ya ufadhili wa kifedha wa mradi wa bwawa la kufua umeme mto Malagarasi, shirika la umeme nchini limetangaza tenda ya kumtafuta mshauri kukamisha mradi huo. Mradi huu wenye thamani ya zaidi ya dola za kimarekani milioni 144 utajengwa kwenye maporomoko ya Igamba kwenye mto...
  5. Lucas strongman

    JamiiForums Tanzania Fundi rangi & design

    Pendezesha Nyumba yako kwa rangi Nzur ambazo azchosh, pia naweka wallpaper za Aina zote kwa ufanis wa Hali ya juu napatkana Dar nafanya kaz seem yyte, mawasliano 0656 535646
  6. Ta Muganyizi

    JamiiForums Tanzania Mtandao - Jini linalosumbua ofisi za Serikali Tanzania, TANESCO hawakosi

    Habari Wadau. Imenibidi niseme tena maana najua imeshasemwa sehemu kibao. Kwa serikali yetu hii ilivyo kasi katika kutuletea maendeleo naona suala la mtandao wa internet limekuwa tatizo kubwa hata katika awamu hii. Mfano unaenda TANESCO kujaza fomu ili uwekewe umeme lakini inamaliza hadi wiki...
  7. Kamotee

    JamiiForums Tanzania TANESCO mkoa wa Iringa mna shida gani? Kwanini kila siku kata ya Ifunda inakosa umeme?

    Tangu tarehe 1 mwezi wa 1, wana Nchi walisherekea sikukuu ya mwaka mpya bila umeme. Umeme ulikata kuanzia saa saa 12 jioni, mpaka saa 4 usiku ndiyo mkarudisha. Tangu tarehe moja mwezi huu, mpaka leo hii tarehe 7, mmekuwa mnakata umeme kila siku. Mna kata umeme saa 2 asubuhi au saa 8 mchana...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Uwepo wa Kunguru ndiyo chanzo kikubwa cha umeme kukatika mara kwa mara katika wilaya ya Kinondoni

    Meneja Uhusiano wa TANESCO Johari Kachwamba, amesema kuwa uwepo wa Kunguru ndiyo chanzo kikubwa cha umeme kukatika mara kwa mara katika wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, kwani Kunguru hao wanachangia kuharibu miundombinu hususani nyaya za umeme. Kauli hiyo ameitoa hii leo Januari 5...
  9. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Hivi TANESCO hawawezi kuunda app ya kununua umeme na kuingiza?

    Ununue na kuingiza kupitia simu, hutu tududu twao twa kuingizia umeme huwa tunanikera sana. Inawezekana?
  10. mgt software

    JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani tuokoe na hujuma zinazofanywa na TANESCO Tegeta

    Wanna Jf, Tanesco Tegeta wanafanya hujuma na ukatili wa hali ya juu, lengo kuzikataa mita za Baobab zinazotengenezwa Tanzania. Nimesema hivyo baada ya kufanya tafiti zifuatazo. 1. Tanesco iliondoa mita za digital ambazo zilikuwa zinaingizwa toka nje, baadae zikangolewa site na kuweka Mpya...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kama siyo TANESCO Basi Waziri mwenye dhamana ya umeme acha kupuuza kelele za mitandao ya kijamii

    Nadhani lipo tatizo lakukatika umeme mara kwa mara hasa Dar, hii ni kwa mujibu wa wananchi wanaotumia social media. Mliopo dar mnaweza kusaidia kama Kuna ukweli ndani ya hizi habari. Lakini nichukue fursa hii kuwakumbusha Tanesco au Wizara kuchukua hatua. Kama kelele hizi zina ukweli watafute...
  12. F

    JamiiForums Tanzania TANESCO Kibaha badilikeni

    Merry Christmas wana jamvi, Niende moja kwa moja kwenye mada Tanesco Kibaha ambayo ndo inawakilisha Tenesco mkoa wa pwani, imejaa ubabaishaji na kuendekeza rushwa. Nasema HILI kwa sababu moja. Mkoa wa Pwani ni mojawapo ya mikoa ambayo inakuwa kwa kasi sana, lakini pia ni mojawapo ya mikoa...
  13. Mbahili

    JamiiForums Tanzania Rushwa na Tanesco

    WanaJF habari za asubuhi Baada ya Serikali awamu ya tano kutoa offer ya umeme wanayodai ni sg 27,000/- maeneo mbalimbali, hawa wanaotumwa kuja unganisha huwa wanataka uwape na pesa pia, wanadai si rushwa ila ni wajibu wa kazi yao hasa Maeneo ya Arusha kabla ya kuunganishiwa umeme wamehalalisha...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Kaleman ifumue TANESCO Kyela ni kero na aibu kwa nchi

    Mheshimiwa waziri kyela hakuna umeme ni mwezi sasa, wanakata saa 12 asubuhi kila siku na kurudisha saa 3 usiku, watu wanahamasishwa wanunue generator na sola power, hii ni hujuma fumua uongozi wa Tanesco kyela,tunakuomba mheshimiwa waziri tunajua wewe ni mchapa kazi ila hawa watu wanakuangusha
  15. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO Mbezi Shule tunaomba mtutendee haki wateja wapya

    Nianze kwa kupongeza juhudi kubwa zinazofanywa na watumishi wote wa TANESCO nchini kote bila kuwasahau watumishi wanaotuhakikishia huduma hii ya umeme ipo kwa watumiaji muda mwingi KATIKA ENEO la Mbezi na viunga vyake vyote pokeeni pongezi hizi. Naendelea kutambua na kuheshimu kazi inayofanyika...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini biashara ya kuzalisha na kusambaza umeme isiwe biashara huria ili TANESCO ishindane na makampuni binafsi?

    Wadau, hivi kuna ugumu gani sisi kama nchi tukawa na sera ya kuruhusu makampuni binafsi kusambaza na kuuza umeme kwa wateja badala ya makampuni haya kuruhusiwa kuzalisha umeme tu na kisha kulazimika kuwauzia TANESCO ambao ndio wenye haki pekee ya kusambaza na kuuza umeme hapa nchi? Faida ya...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Siasa za Umeme: Kwa vile Umeme wa Stigler's utatosha na ziada kuuza nje. Je, TANESCO kusaini PPA mpya 6 toka kwa 6 IPPs, sio ufisadi mpya wa kisasa?

    Wanabodi, Kwa vile hii ni mada technical, yaani ni mada ya kitaalam, naomba kuanza bandiko hili kwa elimu kidogo kwa members wenzangu ambao sio wataalam wa mambo ya power na energy. Watu wanadhani siasa ni kusimama tuu majukwaani na kupiga domo, issues yoyote yenye impact kubwa kwa taifa ni...
  18. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Hivi TANESCO siku hizi kuna mgao wa kimya kimya?

    Yani siku hizi umeme hautabiliki huku Bunju, ikipita siku haujakatika basi ni ajabu. Wataka asubuhi warudishe saa 8 au 11, au watakata saa tano warudishe saa 10. Hii Tanzania ya Viwanda itapatikana kwa umeme wa namna hii? Miezi kadhaa nyuma mlikuwa mkikata umeme mkiulizwa mnasema eti...
  19. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania TANESCO nini shida, umeme sasa ni highly unpredictable, yaani kwa siku unakatika hata mara nne, tano, tutafiki kwel?

    TANESCO imenikumbusha the terrible times we had in 2015.Baadaye ikagundulika hata hivyo kwamba it was sabotage. Mimi sitaki kuamini kwamba hii situation ya sasa ni sabotage, ingawa kwa jinsi hali ilivyo,it can well be,kwa hiyo kuna haja ya "the state machinery" too look into it.Huu uchomwaji wa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania TANESCO Wilaya ya Geita mnawezaje kufikisha siku tatu bila kutengeneza transfoma huku mitini dawa?

    TANESCO GEITA badilikeni, mteja ni mfalme. Mmetukosea sana sisi wakazi wa mitini dawa hapa Makelemo bar na maeneo jirani. Tangu Jumanne, Jumatano hadi leo hakuna umeme. Au ndo mnawahujumu CCM tuwanyime kura? Tumeshindwa kuwasha mashine wala kunyoosha nguo. Vyakula kwenye majokofu vinaharibika...
Back
Top Bottom