tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya Oysterbay - Dar yemekumbwa na kukatikakatika kwa umeme mara kwa mara bila taarifa

    Maeneo ya Oysterbay - Dar yemekumbwa na kukatikakatika kwa umeme mara kwa mara bila taarifa kwa takriban wiki ya 2 sasa. Si asubuhi, si mchana wala si usiku. Leo tarehe 18 /10/2020 umekatika kuanzia saa 1.30 usiku mpaka mpaka saa hizi saa 7 kasorobo usiku kuamkia tarehe 19/10/2020 ni giza...
  2. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania TANESCO mnaogopa nini? Tangazeni kuwepo kwa mgao au tatizo kubwa la umeme Dar es Salaam

    Habari wana JF, Naomba kutumia platform hii kulitaka Shirika la Umeme nchini TANESCO kwa uwazi kabisa watutangazie mgao wa umeme au tatizo kubwa sana la umeme kwa wakazi wa Dar es Salaam. Maana kila siku lazima wakate umeme mara 2 hadi 3 bila taarifa yoyote. Huku Kimara leo hata siku...
  3. JF Member

    JamiiForums Tanzania Lissu: Serikali na benki hazina uwezo wa kujenga bwawa la Umeme Rufiji

    Kwa hikaka nimeamini Magufuli atabaki historia ya hii nchi kwa miaka mingi sana ijayo. Katika Mahojiano ya Lissu na Dotto Bulendu, Mgombea Urais wa CHADEMA, Lissu ameonesha kutoelewa namna gani Serikali ya Magufuli inawezajenga bwawa la Umeme kubwa Kama lile. Haelewi Kama serikali na Bank...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Interview ya Customer Service Officers TANESCO

    Habari za asubuhi wadau. Ninaomba msaada kwa waliowahi kuhudhuria interview Utumishi kwa nafasi ya CUSTOMER SERVICE OFFICERS. Ni maswali gani wanapendelea kutoa? Asanteni sana.
  5. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Artisan - Mechanics at TANESCO (7 Posts)

    POST: ARTISAN – MECHANICS – 7 POST POST CATEGORY(S): ENGINEERING AND CONSTRUCTION EMPLOYER: TANZANIA ELECTRIC SUPPLY COMPANY LIMITED (TANESCO) APPLICATION TIMELINE: 2020-09-01 - 2020-09-14 JOB SUMMARY: N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES: Servicing and repairing power generation machines under the...
  6. Mwamba1961

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi: Mechanic at TANESCO

    POSTARTISAN - MECHANICS - 7 POST POST CATEGORY(S)ENGINEERING AND CONSTRUCTION EMPLOYERTANZANIA ELECTRIC SUPPLY COMPANY LIMITED (TANESCO) APPLICATION TIMELINE:2020-09-01 2020-09-14 JOB SUMMARYNA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.Servicing and repairing power generation machines under the...
  7. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Mita ya TANESCO na ununuaji wa Luku

    Ukifunga mita ya TANESCO hii ya Luku kwa mfano mita nimefunga mbezi, alafu nikahama Mbezi na mita yangu nikahamia labda magomeni na hiyo mita, nimesikie eti ni hadi nikahamishe location ya mita ili niweze kununulia umeme sehemu niliohamia bila hivyo siwezi pata hiyo huduma kwa hapo...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Historia|Wasifu: Je, Benjamin William Mkapa ni nani hasa?

    Benjamin William Mkapa alizaliwa mnamo 12 November 1938 huko Ndanda Wilayani Masasi Mkoani Mtwara. Alimaliza Shahada ya kwanza ya Lugha ya Kiingereza kutoka Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda mwaka 1962 Mwaka 1963 alihitimu shahada ya Uzamili katika Mahusiano ya Kimataifa kutoka katika Chuo...
  9. BIN BOR

    JamiiForums Tanzania TANESCO Bagamoyo imulikwe - ni hujuma au magendo?

    Kuna tabia imezuka kwa muda sasa, ikifika saa moja au mbili usiku wanakata umeme. Hakuna mvua au radi (ambavyo huwa visingizio vyao) au maelezo yoyote yanayotolewa na kisha baada ya lisaa hivi ndipo wanarudisha. Wiki imetokea hivi kila siku. Wakazi wa huku tunajiuliza kuna nini? Zamani za...
  10. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO watupatie App

    Katika ulimwengu wa leo nawaza kuhusu application ambayo unaweza ukaunganishwa na meter yako kiasi ambacho unaweza ukawa na unaongeza salio lako na kujua unit zilizobaki bila kutumia remote. Hii itasaidia wale amaboa wapo mbali na nyumbani. Wadau wa teknolojia inawezeakana?
  11. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Magufuli kupambana na mafisadi TANESCO, sasa umeme sio kero tena na haukatiki muda mrefu

    Tanesco iligeuzwa chombo cha kisiasa ambacho mafisadi waliitumia Tanesco kuifanya serikali ya CCM ichukiwe na wananchi ili upinzani ushinde 2015 karibu na uchaguzi mkuu nilikuwa Arusha mjini umeme ulikuwa unazimwa siku nzima unawashwa saa saba usiku na kuzimwa saa tisa usiku. watu vyakula...
  12. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Kufua Umeme Rufiji (MW 2115) uchimbaji kina cha lango la kuingilia maji kwenye mitambo wakamilika

    Ujenzi wa eneo la lango (Water Intake) la kuingilia maji kwenda kwenye mitambo ya kufua umeme katika Mradi wa Julius Nyerere (Mw 2115) unatarajiwa kukamilika Februari 2022. Mhandisi Dismas Mbote, Mhandisi wa ujenzi njia za maji pamoja na Bwawa kwenye Mradi wa Julius Nyerere amesema utekelezaji...
  13. Witmak255

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dkt. Kalemani alipokuwa ofisi za TANESCO - Geita alivaa barakoa na alipoenda kanisani kujumuika na Rais Magufuli akaivua?

    Hili Jambo limenishangaza kidogo.! Dr. Kaleman leo akiwa Ofisi za TANESCO-GEITA alivaa Barakoa pamoja na wote waliokuwa nae lakini ameenda Kanisani kujumuika na Raisi akavua na kuonesha hali ni shwari na wale wote waliokuwa Kanisani leo hawakuwa na Wala hawakuvaa Barakoa, kuna kitu kilipangwa au?
  14. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Hatma ya mradi Stiegler’s Gorge: Hatakama hatukubaliana kiitikadi, tukubaliane katika Ushauri wa kitaalam

    Mimi sio nabii, lakini angalau nikisema jambo nakuwa nimeona kijacho mbeleni, Naomba nikukumbushe jambo muhimu ambalo niliandika 13 March 2019 katika makala hii chini. Katika makala hii nilianza kwakusema, "Vita vya Kiuchumi Tanzania chini ya mradi mtambuka wa maporomoko ya Rufiji, siasa ya...
  15. k29

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya ElSewedy Electric Co inayotengeneza bwawa la umeme Rufiji imewekewa vikwazo, haitaweza kukopesheka nje

    Hii ni habari mbaya kwa siku nyengine baada ya Sweden kusitisha ku fund kampuni ya Egypt, ambayo ndio walikua constructor wa mradi huu. ElSewedy Electric Co The Council on Ethics recommends that Elsewedy Electric Co be excluded from...
  16. Kankra

    JamiiForums Tanzania TANESCO Muleba mnamuangusha Rais Magufuli

    *TANESCO NA REA WILAYA YA MULEBA MKOANI KAGERA MNAMUANGUSHA MH.RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI*. . TRANSFORMER ILIYOPIGWA NA RADI MIEZI KARIBU MIWILI KATA KAGOMA ILITAKIWA KUWA IMEREJESHWA. Ni miezi takriban miwili sasa Wananchi wa Kata Kikuku na Kagoma wapo Gizani kwa kukosa huduma ya UMEME na...
  17. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania TANESCO Mwanza, kuna mgao rasmi unaendelea?

    Meneja wa Tanesco Mkoa wa Mwanza, acha mambo yako, hii ni wiki ya pili sasa kila ilifika saa moja jioni umeme unakatika. Tatizo hili sasa limekuwa ni "sugu" kwa muda wa wiki mbili na pindi mnapokata umeme taarifa rasmi haitolewi. Idara ya Mawasiliano na uhusiano inafanya kazi gani? Kwanini...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Shirika la umeme Zanzibar lagoma kuilipa TANESCO

    Shirika la umeme la Zanzibar limekiri kudaiwa na shirika la umeme TANESCO deni la shilingi bilioni kumi lakini limesema halitalipa bali deni hilo litalipwa na Serikali ya muungano. Limesema Serikali ya muungano inadaiwa na Serikali ya Zanzibar kwa hiyo watakatana hukohuko. Kwanza haijulikani...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania TANESCO achana na Solar Energy, ni wizi na hasara kwa Taifa

    Wengi tukisikia solar energy tunajawa na hisia kwamba ni jambo la maana sana! Ni umeme mzuri kwa mwanakijiji anayetaka mwanga wa kufukuza wanyama watembeao gizani tu! Kwani nchi zetu hizi maskini hatuhitaji miradi mikubwa kiasi hicho kinacholengwa na Tanesco. Ni uharibifu wa pesa kwa kujidai...
  20. diana chumbikino

    JamiiForums Tanzania TANESCO yakarabati vituo 9 kupoza umeme

    SHIRIKA la Umeme Tanzania(Tanesco) limepata Euro milioni 139 kwa ajili ya mradi wa ukarabati wa vituo tisa vya kupoza umeme sambamba na kujenga mfumo wa kisasa wa kudhibiti umeme, ambao utakuwa na uwezo wa kutambua tatizo la kukatika umeme lilipoanzia na kufanyiwa kazi mapema. Hayo...
Back
Top Bottom