The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.
Sikiliza Video fupi ya Mchango wa Mbunge wa Jimbo la Igunga kwenye kuchangia Mpango wa Maendeleo wa Taifa Bungeni
=======
Akizungumzia suala la Ushirikishwaji katika Utumishi Umma, Mbunge wa Igunga, Nicholaus Ngassa amesema:
"Kuna changamoto kwenye Utumishi wa Umma. Tuna Sheria ya Utumishi wa...
Kupitia forum hii ya JF naomba kuwasilisha ushauri wangu.
kwa mjibu wa katiba yetu Rais wa JMT ndio mfariji mkuu, na kwa msingi huo naomba kumshauri raia namba moja Mh. John P. Magufuli.
Rais wetu licha ya kuwa msukuma mwenzangu , yeye pia ni mwana Chato mwenzangu na jirani yangu hivyo kwa...
Leo Februari 11 Mwaka huu kuanzia mchana Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Watoto, Daktari Godwin Mollel atazungumza na vyombo habari na matangazo hayo kurushwa mubashara na TBC Taifa kuzungumzia hali ya Afya hapa Nchini kwa ujumla wake.
Mfahamishe ambaye hana taarifa.
Tulipoanza awamu ya tano nakukusanya wasomi wote mashauri nakuwaingiza wizarani na mashirika ya umma niliamini taasisi wanazoongoza zinakwenda kupiga hatua hasa yakimkakati endapo tu wasomi hao wataacha mentality za lecturers kwenye biashara na uchumi.
Miaka michache baadaye walioteuliwa hasa...
DENI la Taifa limefikia Sh. trilioni 59 hadi kufikia Disemba mwaka jana, ikilinganishwa na Sh. trilioni 54.8 kwa kipindi kama hicho mwaka 2019, sawa na ongezeko la asilimia 7.6, huku Bunge likitoa ushauri liwe himilivu.
Kati ya kiasi hicho, deni la ndani limefikia Sh. trilioni 16.2 na deni la...
SERIKALI imesema katika mwaka wa fedha 2021/22 inatarajiwa kukusanya na kutumia Sh. trilioni 36.26, sawa na ongezeko la asilimia 4.0 ya bajeti ya mwaka 2020/21 ya Sh. trilioni 34.88.
Maeneo ya kipaumbele mwaka huu ni kuchochea uchumi shindani na shirikishi, kuimarisha uwezo wa uzalishaji...
Vijana wengi tumeaminiwa na kupewa madaraka makubwa sana lakini Madaraka hulevya mno, ukuu tunaopewa unatulewesha na kudhani wengine wasio na madaraka si chochote wala si lolote!
Je, kama nchi tufanyeje ili kuondoa hali hii?
Moja ya mambo yanayoleta utofauti kati ya Donald Trump na huyu American presida wa sasa Joseph Biden ni msimamo katika baadhi ya mambo.
Twende kwa mada;
Masaa machache yaliyopita makamu wa Rais wa marekani mwanamama Kamala Harris, amemwapisha waziri wa usafirishaji na miundombinu nchini humo...
Mabibi na mabwana heshima kwenu.
Siku baada siku tumekuwa watu wa kupokea taarifa za tanzia za watu wazito wazito. Jana huyu, yule nk na leo hivyo hivyo.
Si kuwa wale kina wenzangu na miye hawamo kwenye hiki kitim timi. Ama kwa hakika hao ndiyo wanaokufa kwa wingi zaidi kuliko hata hao vigogo...
Nimepitia humu sijaona chochote na pia 'website' ya TFF kimya tena hii haina taarifa ya kitu kinachoitwa CHAN 2021.
Nimetafuta hii kutaka kufahamu kama TFF wameamua chochote kuhusu kocha wa timu hiyo kutokana na matokeo mabaya tokea kuteuliwa kwa kocha huyo licha ya haya ya CHAN 2021.
Watupe...
Ili taifa liwe na mwelekeo thabiti lazima kile kilicho ndani ya katiba kiheshimiwe. Ndio maana misingi ya utawala na hata utungaji wa sheria za nchi zetu lazima zirandane na katiba ya JMT. Kile kilichotamkwa na katiba ya JMT ndio mwanzo na mwisho juu ya mustakabali wa suala lolote.
Leo hii...
Ni wazi kwamba kwasasa Rais Magufuli anaogopwa Sana kuliko mtanzania yeyote aliyewahi kuwako mpaka Sasa. Nadhani Rais magufuli anaogopwa kuliko alivyoogopwa Nyerere aka mchonga Mwinyi, Mkapa na Kikwete.
Hivyo basi nadhani hata atakapostaafu kivuli chake kitakuwa na nguvu sana ndani ya taifa...
Leo Rais wetu wa JMT amehudhuria sherehe za kuadhimisha miaka 100 ya mahakama kuu hapa nchini. Kauli mbiu ya kudhimisha miaka 100 ni kujenga nchi inayozingatia haki, udugu na amani katika kuleta ustawi wa jamii.
Mimi binafsi nilitarajia kama mkuu wa nchi ulienda kwenye haya maadhimisho, je...
Maendeleo yote ya binadamu yametokana na gunduzi alizofanya, kwahiyo tunapozungumzia maendeleo ya binadamu hatuwezi kuepuka kuongelea gunduzi alizofanya na ukuaji wa kiakili wa jamii husika.
Huu ugunduzi na uzalishaji mali ndio ulikuwa chimbuko la maendeleo na biashara katika jamii nyingi...
Kwa kifupi Ndailagije kamkosea heshima Juma Kaseja.
Kwa umri na uzoefu wake, hapakuwa na sababu kumwita T Stars ili akasugue benchi kwenye CHAN.
Kama alishaona Manula atakuwa keeper number 1, basi ni vyema angetafuta understudy mwingine.
Ukikaa chini na kufikiri sana, unashanga kwa namna ambavyo tumekuwa ni taifa la ovyo, linaloruhusu mambo ya ovyo kufanywa ovyoovyo na watu wa ovyo.
Tunalo jeshi la Polisi, tunao Usalama wa Taifa, tunao watu wa makosa ya mtandao, tunao TCRA, lakini ETI hawaoni ujinga huu, ni mambo ya ovyo sana...
Awali ya yote kwanza nilipongeze Gazeti la Mwananchi kwa kazi nzuri sana juu ya uchunguzi wa kina katika kujua chanzo cha kifo cha Shirika la Chuma nchini , binafsi nimesoma matoleo yote mawili yaani toleo la Jumatano , Januari 27 na toleo la pili Januari 28 , 2021. Shirika la Chuma...
Pamoja kuwa wewe ndio Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya taifa letu. Huna budi kukumbuka miiko ya kiti chako, nakukumbuka kauli zako iwe ni kwa uzalendo au ni kwa upendo mkubwa kwa watanzania basi huna budi kuzichambua na kuzitafakari kwa kina kabla ya kuzitamka.
Mh Rais unaliumiza taifa...
Mabibi na mabwana sisi ni taifa na kama taifa cheo ni dhamana tu.
Kiongozi yeyote kwa uongozi wake ni muhimu akazingatia ukweli kuwa kwa dhamana aliyo nayo si kuwa sasa eti ndiyo anayo fursa kamili ya kufanya au hata kusema lolote kwa kuwa tu eti dhamira yake itakuwa imemtuma huko.
Rais wetu...
Wakuu,
Mjadala unawekwa mezani kuhusu fursa za kiuchumi kutokana na rasilimali asili zilizoko Singida
1. Safu za mlima Sekenke hadi Makutupora ina mkanda wa madini ya Dhahabu. Wajerumani walivuna sana madini hayo na jinsi ya usafirishaji wake ilikuwa wanatumia mitaro ya zege.
2. Zao la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.