Hivi kwa Takwimu hizi za ukweli Kocha wa Taifa Stars Etiene Ndayiragije akisema Simba SC ndiyo Timu pekee inayojua Kufunga Magoli mtamlaumu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,149
2,000
Mpaka sasa Mechi za Ligi Kuu ya Vodacom imefikia Michezo 11 haya ndiyo Magoli ya Jumla ambayo yamefungwa na Timu Tatu Kubwa hapa nchini

1. Simba imefunga jumla ya Magoli 24
2. Azam imefunga jumla ya Magoli 12
3. Yanga imefunga jumla ya Magoli 9

Na kabla hamjasahau mpaka hivi sasa Mchezaji anayeongoza kwa Kufunga Magoli mengi ni John Boko wa Simba Sports Club mwenye Jumla ya Magoli yake Saba (7) Kibindoni. Na kumbukeni Boko huyu huyu alikuwa Majeruhi na alikaa Benchi kwa muda mrefu, ila Mshambuliaji Tegemeo wa Yanga SC Michael Sarpong amecheza Mechi zote na mpaka leo ana Magoli Matatu ( 3 ) tu.
 
Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
23,689

We mikia unamuwaza baba yako Yanga tu.
 
Smt016

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
1,467
2,000
Mpaka sasa Mechi za Ligi Kuu ya Vodacom imefikia Michezo 11 haya ndiyo Magoli ya Jumla ambayo yamefungwa na Timu Tatu Kubwa hapa nchini

1. Simba imefunga jumla ya Magoli 24
2. Azam imefunga jumla ya Magoli 12
3. Yanga imefunga jumla ya Magoli 9

Na kabla hamjasahau mpaka hivi sasa Mchezaji anayeongoza kwa Kufunga Magoli mengi ni John Boko wa Simba Sports Club mwenye Jumla ya Magoli yake Saba (7) Kibindoni. Na kumbukeni Boko huyu huyu alikuwa Majeruhi na alikaa Benchi kwa muda mrefu, ila Mshambuliaji Tegemeo wa Yanga SC Michael Sarpong amecheza Mechi zote na mpaka leo ana Magoli Matatu ( 3 ) tu.
Ni ajabu kusifiwa kuwa mnauwezo wa kufunga halafu timu ya taifa wakiitwa hawawezi kuonesha huo uwezo wa kufunga zaidi ya kuruka ruka tu. Mr. Ebo anakwambia hizo ni sifa za kijinga.
 
homeless1

Member
Sep 24, 2020
59
125
Sio kweli simba hajafunga magoli 24 simba kafunga magoli 29 na kagungwa 5 hizo 24 tunaita tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,149
2,000
Wanatisha kama ukoma. Labda FIFA iamue ukifunga goli saba unapata point 6!
Bingwa atapatikane kwa idadi ya magoli sio point maana zimepitwa na wakati
Msimu wa Ligi ya VPL wa mwaka 2015 / 2016 Simba na Yanga zilimaliza na Alama sawa ila Yanga ikawa Bingwa kwa Magoli mengi. Mmeshasahau?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom