taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. Msingida

    JamiiForums Tanzania CWT taifa tunaomba ufafanuzi

    Kuna tangazo la nafasi za ukatibu cwt wilaya,mmetoa majina ya walimu walioomba nafasi hizo kwa usaili tarehe 11th Novemba. Kuna walioomba ambao majina yao hayapo kwenye hiyo list yenu. Kuna mchujo ulifanyika kwenye ngazi ya wilaya/Mkoa? Msaada katibu cwt Taifa.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watanzania Wenzangu Tuliombee Taifa letu watu wabaya wametukatili

    Ndugu zangu watanzania naandika thread hii Kwa uchungu Sana na Kwa nasikitika makubwa Ila Sito penda andika Kwa undani kutokana na unyeti wa hili Jambo na Kwa bahati mbaya uwenda Kwa uchungu serikali imeupata Jambo hili limekuwa Siri Sana hakuna chombo cha ndani kimetoa taarifa isipokuwa chombo...
  3. Arafat

    JamiiForums Tanzania Je, Taifa litaokolewa na wakina Mama?

    Ukiangalia kwa makini toka JPM kuingia madarakani na hasa baada ya bahari ya siasa kuwa na mawimbi makali na dhoruba za kuhogofya, wanaume waliokuwa kwenye siasa za kukosoa CCM na kumkosoa JPM wengi walinywea na wengine walirudi CCM. Kwa upande wa wanaume, mtu pekee aliyebaki moto kama moto...
  4. JET SALLI

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Taifa ambalo lina amani ila limekosa haki

    Taifa letu linasifika kote duniani kwa kuwa taifa lenye amani. Watu wanasema ukiuliza popote africa na nje ya Africa kuhusu tanzania utaambiwa ni taifa lililojipatia na kujizolea heshima kubwa duniani kupitia Mwl. Julius Kambarage Nyerere kwa kuwa taifa lenye amani na haki kwa watu wote kwa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli anailea familia yake kama Baba wa Taifa alivyoilea yake?

    Wadau, Huu ni uzi wa swali. Nimefuatilia kwa karibu kuona jinsi Rais Magufuli anavyoilea familia yake na nikaona kuna mfanano fulani na jinsi hayati baba wa taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere alivyoilea familia yake. Kwanza sijaona mama yetu Janet Magufuli akiwa na taasisi yake Kama wake...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Miaka 21 baada ya kifo cha Baba wa Taifa, mgombea yupi anabeba maono ya Mwl. Nyerere?

    Leo ni takribani miaka 21 tangia kifo cha muasisi wa Taifa letu, Mwl. Julius Kambarage Nyerere. Tangia kifo cha Baba wa Taifa mnamo Oktoba 14, 1999, Swali kubwa kwa watanzania lilikuwa ni 'Nani atabeba maono ya Baba wa Taifa katika kuiendeleza Tanzania?.' Huu ni mwaka wa uchaguzi na watanzania...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Taifa kubwa Marekani linapohubiri unafiki ni aibu. Msitupangie cha kufanya

    Nimeona heading ya salamu kutoka ubalozi wa marekani Tanzania eti maendeleo siyo ya vitu bali ya watu. Kwanza ni waulize.je ni kazi yenu kujiendesha kapeni ya urais katika nchi mnayowakirisha? Pili tangia lini mnatupangia cha kufanya? Mlipowateka babu zetu mkawapeleka kwenu mliyushirikisha...
  8. BAK

    JamiiForums Tanzania GE2020 Taarifa kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi itazuia Mawakala wa Vyama kuingia na simu zao katika vituo vya kupigia kura imetushtua

    SUALA LA SIMU KWA MAWAKALA: TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI MSIHARIBU UCHAGUZI WA WATANZANIA! Taarifa kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi itazuia Mawakala wa Vyama kuingia na simu zao katika vituo vya kupigia kura imetushtua hata sisi viongozi wa Kanisa! Simu ina mambo mengi sana katika ulimwengu wa sasa...
  9. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025

    CHAMA CHA MAPINDUZI MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020 Imetolewa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Agosti, 2020 CHAMA CHA MAPINDUZI MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI WA MWAKA 2020-2025 UTANGULIZI 1. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa vyama vya TANU na ASP na...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Je, ni lazima nahodha wa Taifa Stars awe ni Mbwana Samatta?

    Mchango wa Mbwana kwenye timu ya Taifa lazima uvae miwani ili kuuona, Nini kinamfanya awe ndiye captain wake siku zote na Mara zote?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kubezwa kwa haki na uhuru hugharimu taifa

    Mabibi na mabwana heshima kwenu. Umoja na utaifa ni tunu zitokanazo na kuzingatiwa kwa haki na uhuru wa watu. Hizi huakisiwa kimatokeo na hali ya amani na utilivu katika nchi husika. Kutatizwa kwa umoja na utaifa ndicho adui akihitajicho kupenyeza chochote dhidi yetu. Halahala na uchaguzi huu...
  12. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Barua yangu na wito wangu kwa IGP, Tume ya Uchaguzi na wenyeviti wa Vyama vya Siasa Taifa

    1. Tusimamie haki, tutende haki na tuhamasishe watu wetu kutotumia nguvu inayo dhuru mtu, ua watu , kupoteza watu na kuharibu uchaguzi. Toka tulipoanza na tulipofikia kuna matukio mengi tayari (kwa mujibu wa picha na malalamiko). Tunakokwenda na baada ya uchaguzi matukio hayo yasiwepo kamwe. 2...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Poleni sana Taifa Stars

    Poleni sana Taifa Stars kwa kufungwa na timu ya Taifa ya Burundi lakini haingii akilini kweli Tanzania yenye takriban watu 55 miilioni kushindwa na nchi yenye watu 6 millioni?. Kweli timu yetu imekuwa kichwa cha mwenda wazimu.
  14. The Humble Dreamer

    JamiiForums Tanzania Neno moja kwa Kocha wa Taifa Stars baada ya mechi ya leo dhidi ya Burundi

    Wakuu Salaam: Mechi kati ya Tanzania na Burundi imeisha kwa Tanzania kufumuliwa bila huruma goli 1 kwa mtungi. Goli hilo limefungwa dk ya 85 na Saidi Ntigamasabo. Wakuu kuna kocha kweli pale Stars? Mi nafikiri hii timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars itolewe kwenye shirikisho la FIFA...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwa manufaa ya Taifa na Usalama wao, Baraza la Maaskofu TEC na The Free Pentecostal Church of Tanzania, FPCT wahame Kurasini

    TEC na FPCT Ni vituo vya kidini ya kikristu vilivyoko eneo la Kurasini, Dar es Salaam. Kwasasa vituo hivi vimezunguukwa na shughuli mbalimbali za kiuchumi wa bandari kuu ya Tanzania. Viko katikati ya matenki ya mafuta na makontena. Uwepo wa taasisi hizi katikati ya shughuli za kiuchumi...
  16. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania NEC lihurumieni taifa hili tusijenge historia mbaya

    NEC hihirumieni taifa hili lisijenge historia mbaya. Ninasema hili nikiwa namaanisha kwamba mazingira tuliyonayo NEC kama chombo huru kisichoegemea popote kwa mujibu wa sheria ikifikia mahali kikajisahau kikaingizwa mkenge na CCM kwakuwa tu Chama hiki kina serikali inayo Dola na kitawalinda...
  17. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Video: WanaCCM wakiwa wamebebwa kwenye gari wakipelekwa kwenye mkutano

    Hakika wanaCCM wameendelea kujionesha kuwa wao ni bora liende. Haiwezekani mwanadamu unampakia kwenye usafiri wa kuhatarisha maisha yake kiasi hiki.
  18. Mtini

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Kiongozi wa CCM asema Mungu apende au asipende wao kushinda ni lazima

    Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu? Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa
  19. Q

    JamiiForums Tanzania 2015 CHADEMA waliomba kutumia Uwanja wa Taifa walimyimwa waliambiwa uwanja huo ni kwa ajili ya michezo tu

    Aug. 2015. Akizungumza na vyombo vya habari jijini, Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Assah Mwambene alisema Serikali hakitatoa ruhusa kwa chama chochote cha siasa kuutumia Uwanja wa Taifa kwa ajili ya shughuli za kisiasa. "Tulipata barua ya CHADEMA kuomba kutumia Uwanja wa Taifa kwa ajili ya...
  20. UKWELIYAKINIFU

    JamiiForums Tanzania Turudishe ustawi wa jamii katika taifa letu, wakati ni sasa

    Kwa upande wa CCM, huduma za afya zinachukuliwa kama huduma za msingi zinazolenga kupatikana kwa urahisi, gharama nafuu na kuweza kujenga taifa la wachapa kazi. Na mifano ya awali ya kilichofanyika kama kuongeza vituo vya afya kutoka 718 hadi 1,205; zahanati kutoka 6,044 hadi 7,242; hospitali za...
Back
Top Bottom