Tetesi: Mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya aondolewa kikosini baada ya kugundulika kuwana COVID 19 akitokea Tanzania

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
10,744
2,000
Joash Onyango mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya leo muda mfupi kabla ya mechi ya kimataifa aneondolewa kikosi cha timu yake ya taifa baada ya kugundulika kuwa na COVID 19 baada ya vipimo akiwa ametokea Tanzania ambapo anaichezea timu ya soka ya Simba.
 
mugah di mathew

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
3,721
2,000
Vyombo vya habari vya nchini Kenya vinadai TFF inaficha kuwa joash Onyango anaumwa Covid19

Lakini CEO wa simba bi Barbara Ganzelez kupitia ukurasa wa twitter amekanusha na kudai joash Onyango anainjar kwenye goti
 
Cvez

JF-Expert Member
May 19, 2018
1,539
2,000
Believe it or not Wakenya bado inawauma sana kuona Corona haija athiri Tanzania kama kwao. Yule jamaa anadai Federation wameamua kufanya siri. Siri! Wakenya wafanye siri kwa manufaa ya nani?

Ya kwao wenyewe hawafanyi siri sembuse mchezaji alietokea Tanzania? Kwa upendo gani waliokua nao dhidi yetu na kuamua kulinda image yetu!

Nitaamini endapo Federation ya Kenya itatangaza ila sio source uchwara.
 
Shehullohi

JF-Expert Member
Jul 21, 2020
942
1,000
Kenya ule mchezo wao wa kuwabagua madereva wa malori ya masafa wa Tanzania sasa wameuhamishia kwa Anyango kwa vile ni Mjaluo na si Mkikuyu. Waambie wameshindwa kabla hawajaanza.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,149
2,000
Joash Onyango mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya leo muda mfupi kabla ya mechi ya kimataifa aneondolewa kikosi cha timu yake ya taifa baada ya kugundulika kuwa na COVID 19 baada ya vipimo akiwa ametokea Tanzania ambapo anaichezea timu ya soka ya Simba.
Mkiwa mnapata Habari zenu za 'Vichochoroni Media' msiwe 'mnakurupuka' nazo humu 'Mitandaoni' kabla ya 'Kuzihakiki' kwani zitawafanyeni nanyi pia muanze kuonekana ni wa 'hovyo hovyo' tu.

Mchezaji wa Simba SC na Timu ya Taifa ya Kenya ( Harambee Stars ) Joash Onyango hana CORONA (COVID-19) kama 'ilivyozushiwa' bali aliumia Mguu akiwa Mazoezini na Kathibitisha mwenyewe kwa CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom