Ili Taifa Stars leo 'ishinde' yule 'Mtaalam' wangu wa Pemba ambaye 99.9% huwa Mkweli kasema 'Kikosi' kiwe hiki...

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,516
108,795
1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Bakari Mwamnyeto
5. Erasto Nyoni
6. Jonas Mkude
7. Simon Msuva
8. Feisal Salum
9. Ditram Nchimbi
10. John Boko
11. Farid Musa

Na John Boko aambiwe upesi kuwa atakuwa tu 'Ceremonial Captain' kwa Kuvaa 'Kitambaa' ila 'Maelekezo' yote ya Uwanjani atakuwa anayatoa Erasto Nyoni pekee. Kama ikitokea Mchezaji wa Taifa Stars atatakiwa Kubebesha 'Hirizi' ya 'Ushindi' leo basi 'avalishwe' Faisal Salum kwani 'Kinyota' leo yuko vizuri na huenda hata ushindi ukatokea Kwake au akautengeneza Yeye pia.

Kama Mazingira yataruhusu kabla ya Mechi Kuanza Chumvi pamoja na Ndimu zinatakiwa 'Kumwagwa' katika Pembe Nne za Uwanja ili 'Kuwamaliza' vizuri hawa Waarabu Wazungu (Watunisia) leo. Haya yakifanyika 'Kiumakini' basi leo Taifa Stars inaweza Kushinda Goli 2 kwa 0 au 3 kwa 1. Watunisia 'wakitutangulia' tu Kipindi cha Kwanza basi leo 'tutafungwa' mengi kwa BWM.

Kikosi kisipopangwa kama nilivyokiweka hapa basi GENTAMYCINE nitakuwa wa Kwanza kuwahi Kulala nchini leo ili nisisikie Magoli tutakayofungwa.
 
Hii lineup ina wachezaji waliopita azam fc 7 balaa sana, tushukuru azam fc kwa kuandaa wachezaji wa taifa stars
 
Kuna watu watakukejeli hapa ila mimi nilishakuheshimu sasa wewe GENTAMYCINE na yule mwenzako @PDiddy .Tangia ile mechi ya Simba vs Nkana, ile ya Yanga 2 - 2 Simba, ile ya 4G, na hii ya juzi ya Yanga 1 - 1 Simba ,nilishaamini kuwa NYIE NI BALAA.

Ni yule tu ambaye hajawahi kukufatilia vizuri ndo anaweza kukubishia. Maana hata zile game za Prison 1 - 0 Simba, na Simba 0 - 1 Ruvu uliongea kila kitu (pamoja na kwamba wewe ni Mwanamsimbazi damu kabisa!) na matokeo yakawa vile vile.

Kwenye soka nakubaliana na wewe 97% , ila kule kwenye siasa sikubaliani nawe hata kidogo.
 
Back
Top Bottom