Kwanini israel inaiyogopa hezbullah kuliko taifa lolote lile duniani

Morogoro kaskazini

JF-Expert Member
Jul 5, 2020
543
1,000
Naombe msaada wa kujua hili

Kwanini israel inaiyogopa hezbullah kuliko taifa lolote lile duniani​

120px-Fateh-110_missiles_and_launchers.jpg.jpeg
 
Proved

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,372
2,000
Hezbollah hawaogopi kufa. Ukipigana na watu kama hawa lazima uwe na hofu kubwa sana. Kwanza hawaoni aibu kupigwa, wao wanajitahidi kukutia hasara na kukudharirisha. Unaweza kuwaua 200 nawe ukapoteza 35 ila wakashangilia sana wamekuweza.
Uko sahihi mkuu, hawa jamaa hawana cha kupoteza (rejea Vita vya mwaka 2006) japo walipoteza wapiganaji wengi kuliko Israel ila ilionekana kama vile IDF ilishindwa kufikia malengo yake.

Ila Vita ya Syria vimeufanya mpaka wa Israel na Lebanon upumue kidogo maana Hizboullah ilienda kumuokoa Assad hivyo chokochoko zilipungua kiasi (japo haziwezi kumalizika).
 
Bambushka

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
2,739
2,000
Hezbollah! Yaani jamaa wanalipuka kwelikweli wakiamua, wao shughuli yao ni kuiabisha tu Israel...hawaogopi kufa wala kufariki!
Pia inaonekana wana intellijensia kali sana, haijawa infiltrated na Mossad.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
RTI

JF-Expert Member
Dec 20, 2018
1,543
2,000
Uko sahihi mkuu, hawa jamaa hawana cha kupoteza (rejea Vita vya mwaka 2006) japo walipoteza wapiganaji wengi kuliko Israel ila ilionekana kama vile IDF ilishindwa kufikia malengo yake.

Ila Vita ya Syria vimeufanya mpaka wa Israel na Lebanon upumue kidogo maana Hizboullah ilienda kumuokoa Assad hivyo chokochoko zilipungua kiasi (japo haziwezi kumalizika).
Daah hawa jamaa wame msaidia sana Asad.
 
RTI

JF-Expert Member
Dec 20, 2018
1,543
2,000
Hezbollah ana support mpaka ya Iran nyuma yake. Ila shida kubwa ni kubwa ni kuwa, Hezbollah ni kikundi cha kihalifu ndani ya Lebanon na hakiundi serikali. Hivyo ukiamua kupigana nao ni unashambulia serikali ambayo haijakuchokoza, hii inapaswa iwe kwa uchokozi uliozidi mipaka.
Ukitaka kujadili kitu hakikisha unakuwa na ufahamu nacho na sio kukurupuka utaonekana kituko.
 
Loftins

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
8,549
2,000
Uko sahihi mkuu, hawa jamaa hawana cha kupoteza (rejea Vita vya mwaka 2006) japo walipoteza wapiganaji wengi kuliko Israel ila ilionekana kama vile IDF ilishindwa kufikia malengo yake...
Huu sasa ndio ule unaoitwa ujuaji!
 
Loftins

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
8,549
2,000
Hezbollah hawaogopi kufa. Ukipigana na watu kama hawa lazima uwe na hofu kubwa sana. Kwanza hawaoni aibu kupigwa, wao wanajitahidi kukutia hasara na kukudharirisha. Unaweza kuwaua 200 nawe ukapoteza 35 ila wakashangilia sana wamekuweza.
Ila Israel yenye waislamu takribani 1.4 million wanaogopa kufa?
 
Fursa Pesa

JF-Expert Member
May 30, 2012
4,033
2,000
Hezbollah ana support mpaka ya Iran nyuma yake. Ila shida kubwa ni kubwa ni kuwa, Hezbollah ni kikundi cha kihalifu ndani ya Lebanon na hakiundi serikali. Hivyo ukiamua kupigana nao ni unashambulia serikali ambayo haijakuchokoza, hii inapaswa iwe kwa uchokozi uliozidi mipaka.
Hata hivyo sio lazima ya nchi husika kujihusisha moja kwa moja, pengine kundi hili lina mkono wa nchi za kiarabu maasimu wa Israel.
Hivyo kutengenezwa kwake ni kwa kihuni/kihalifu halifu ili kuficha yaliyomo.
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
37,489
2,000
Hawaigopi kivile,kwani lengo la hizbullah ni kuhakikisha tu lebanon haikaliwi na israel,

Israel inatumia mbinu ya give a dog a bad name, then kill it,

Tatizo sasa jumuia ya kimataifa asilimia kubwa walung'amua janua hiyo,kasoro US
 
Muuza viatu

JF-Expert Member
May 14, 2020
1,921
2,000
Hezbollah ana support mpaka ya Iran nyuma yake. Ila shida kubwa ni kubwa ni kuwa, Hezbollah ni kikundi cha kihalifu ndani ya Lebanon na hakiundi serikali. Hivyo ukiamua kupigana nao ni unashambulia serikali ambayo haijakuchokoza, hii inapaswa iwe kwa uchokozi uliozidi mipaka.
Hezbollah ndani ya Lebanon Ni chama cha siasa chenye ushawish mkubwa na hata spika wa bunge la sasa la Lebanon anatokea hizbullah
 
Citizen B

JF-Expert Member
May 13, 2019
5,444
2,000
Hezbollah hawaogopi kufa. Ukipigana na watu kama hawa lazima uwe na hofu kubwa sana. Kwanza hawaoni aibu kupigwa, wao wanajitahidi kukutia hasara na kukudharirisha. Unaweza kuwaua 200 nawe ukapoteza 35 ila wakashangilia sana wamekuweza.
Kama wa vietnam na rambo
 
permanides

JF-Expert Member
May 18, 2013
6,116
2,000
Hezbollah ndani ya Lebanon Ni chama cha siasa chenye ushawish mkubwa na hata spika wa bunge la sasa la Lebanon anatokea hizbullah
Ni kikundi cha vuguvugu na ambacho hakiundi serikali, kwa maneno mengine, vitendo vya Hezbollah siyo vya kiserikali.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom