Nani aliyemvua Makonda nafasi ya Mhamasishaji Mkuu wa Taifa Stars, na kwanini?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,594
217,983
Mhamasishaji Mkuu Mstaafu wa Taifa Stars Mh Makonda hajasikika akihamasisha lolote kwenye mechi ya Tunisia na Stars, kulikoni? Ni nani alimvua uhamasishaji huu na ni lini na Kwanini?

Mwanamichezo Makonda pia alikuwa Mshauri Mkuu wa MO kwenye masuala ya Simba, je bado cheo hiki anaendelea nacho?
 
Mwacheni kaka Paulo.
Alistaafu kwa hiyari na sasa yuko busy analea watoto wake
 
Mshauri wa MO huyo aliyetekwa na bashite au MO yupi?
 
Mhamasishaji Mkuu Mstaafu wa Taifa Stars Mh Makonda hajasikika akihamasisha lolote kwenye mechi ya Tunisia na Stars, kulikoni? Ni nani alimvua uhamasishaji huu na ni lini na Kwanini?

Mwanamichezo Makonda pia alikuwa Mshauri Mkuu wa MO kwenye masuala ya Simba, je bado cheo hiki anaendelea nacho?

!
!
Waliyempa Cheo Ndio Wamemvua Cheo.
 
Mhamasishaji Mkuu Mstaafu wa Taifa Stars Mh Makonda hajasikika akihamasisha lolote kwenye mechi ya Tunisia na Stars, kulikoni? Ni nani alimvua uhamasishaji huu na ni lini na Kwanini?

Mwanamichezo Makonda pia alikuwa Mshauri Mkuu wa MO kwenye masuala ya Simba, je bado cheo hiki anaendelea nacho?
Walikujibu?
 
Mwacheni kaka Paulo.
Alistaafu kwa hiyari na sasa yuko busy analea watoto wake
Watu wengine mna mioyo sana, yaani Bashite unamwita kaka?? Nyie ndiyo mnamwita jiwe Shujaa wenu wa Afrika
 
Back
Top Bottom