The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.
Leo hii mtu aliyedhania hana madhara anatusumbua kila kona, Mgombea wetu anashindwa kulala Kwa amani kutwa anatafuta point za kumjibu Lissu, Leo hii kila kona ukipita Lissu ,Lissu.
Tunakuambia Jaji Kwa kuwa wewe ndio hukusikiliza mawazo ya chama kilicho kuweka hapo, ukaamua kufuata yako ndio...
Wagombea wa CCM wa nafasi ya urais huwa wanalindwa na Usalama wa taifa.Nazungumzia mgombea mpya sio yule ambaye tayari ni raisi anaegombea kwa awamu ya pili.Mfano jiwe kwenye kampeni 2015 alikuwa tayari ana kampani ya Usalama wa taifa.Je CCM huwa wanajua kwamba Mgombea wao ni lazima atashinda...
Kwakweli katika mambo ambayo naona ni doa kubwa katika Nchi yetu kwa mwaka huu wa 2020 na pengine miaka hii mitano yote ya utawala wa Rais Magufuli ni namna viongozi wa dini walivyoufyata mkia mbele ya dola kandamizi. Ukiwatoa viongozi wachache Kama MWAMAKULA na BAGONZA pengine na wachache...
Habari wadau,
Nawaza hii tabia ya koo za viongozi kushikilia wenyewe nafasi za ubunge kwenye majimbo mengi, mfano familia ya Kikwete.
Mzee Kikwete amekuwa mbunge Chalinze miaka zaidi ya 15 na Uwaziri na Urais juu. Ukoo wa Kikwete umeshapata nafasi yao hapa ya kula cake ya taifa.
Mtoto wake...
Ndugu mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),
Ninachukua fursa hii kukupongeza wewe na timu yako kwa kazi ngumu mnayoifanya. Mnafanya kazi zenu kwa weledi na kwa mujibu wa sheria. Hongereni sana.
Kama inavyofahamika, nchi yetu hufanya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani kila...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza kutoa matokeo ya rufaa za udiwani na ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 28 Oktoba 2020.
Leo tume imetoa matokeo ya rufaa 55 kama ifuatavyo:
1. Imekubali rufaa 15 na kuwarejesha wagombea katika kinyang'anyiro cha uchaguzi.
2. Imekataa...
Dkt. Magufuli asubuhi hii amefanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Misungwi jijini Mwanza na kuwataka Watanzania tupendane.
Dkt. Magufuli amewasihi wananchi kutobaguana kwa misingi ya chama cha siasa, dini au kabila kwa mustakabali mwema wa taifa letu.
Kadhalika Dkt. Magufuli amewataka...
Hivi Tundu lissu NI mkweli kweli!?
Kama wafanyakazi tena wa serikali wakibinywa wanashindwa kujitetea Basi hakuna kundi lolote kwenye jamii linalowezaweza kufurukuta kujitetea linapokandamizwa au Kuonewa. Kuonewa wafanyakazi NI hatua ya juu kabisa ya uonevu katika utawala. Usitegemee...
Kila siku ipitayo kwa Mungu historia mpya ya nchi hii inaandikwa. Historia hii ina jambo la kijifunza ili kusaidia kujenga taifa kutokana na experience inayopata.
Napenda kuchukua nafasi hii kama Mtanzania kuwasifu na kuwashukuru ITV kwa kutuandalia mahojiano muhimu sana na mazuri sana ya Mh...
Habari,
Kwa mawazo yangu, upinzani ni upande wenye fikra, sera, mawazo na maoni mbadala wa chama kilichopo madarakani. Hivyo basi, katika nchi nyingine watu hufikiri kwenda na upinzani kwa sababu ya sera mbadala ilizonazo katika uongozi.
Hali hii ni tofauti na hapa kwetu Tanzania, watu...
Wengi hatufahamu sheria inayotumika katika kuilinda bendera ya taifa na kuiheshimu.
Wakati wa ushushwaji wa bendera watu hutakiwa kusimama lakini pia wengi hawafahamu kuhusu hilo wala sababu ya uwepo wake.
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania ni kweli mtu anatakiwa kusimama wakati wa ushushaji na...
Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana licha ya kuwa sehemu ya waajiriwa ambao tumekuzwa na mfumo wa hatari sana uliotuandaa kujenga imani ya kusoma kwa bidii ili kupata ajira nzuri badala ya kusoma kwa bidii ili kuzalisha ajira nzuri.
Nakiri kwa dhati kabisa kuwa mfumo huu umeua ubunifu kwa...
Ndugu zetu wakenya nadhani mna kitu cha kujifuza kutoka kwa kaka yenu Tanzania.
Ukiachana na mambo ya corona, this is Dar es salam young Africans the giant football club in east and Central Africa, tafasiri halisi ya timu iliyo kwenye nchi ya uchumi wa Kati.
Kwa unyenyekevu mkubwa na hofu ya Mungu naomba niwaulize viongozi wa Dini zote Tanzania je? Wanalionaje Shirika la Utangazaji la Taifa TBC katika utendaji wake?
1. Dawa muhimu kwa wazee wameziondoa eti ni bei ghali
2. Wazee wanalipa hela kubwa wakati wakijua fika kuw wazee wamestaafu, hawana nguvu za kufanya kazi etc.
Mfano mdogo ni huu:
Fastum gel ya maumivu ya mgongo kwa wazee, a very effect dawa kwa sababu with aging maumivu ya mgongo inakuwa...
Uchaguzi ni suala nyeti.
Lazima Tume ihakikishe yenyewe inawashauri wanaokosea kurekebisha.
Kwa Lugha nyingine udhaifu wa form usiwe kosa la Mgombea bali TUME.
Hivi inguwaje kama nchi ingemkosa JPM na LISSU kwenye uchaguzi kisa eti wino, au Picha au sahihi au muandiko kwa mfano.
Tusibobee...
CCM OYEEEEEEE!
Kwa mara ya kwanza tangu Taifa letu liwe huru tunaenda kushuhudia chama tawala kikienda kuweka historia mpya kama ilivyo hulka yake kwa kuzindua kampeni za uchaguzi kwa namna ya kipekee katika makao makuu ya nchi DODOMA.
Haijawahi kutokea kwa Chama chochote kufanya kampeni ya...
CCM inazindua rasmi kampeni za uchaguzi ujao siku ya Jumamosi katika viwanja vya jamhuri mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Magufuli anatarajiwa kutikisa kitovu hicho cha nchi mji wa Dodoma na vitongoji vyake kwa hotuba yake ilopangwa maalum...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.