taifa letu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Nguvu tunayotumia "kushadadia" Vita visivyotuhusu tungeitumia kukemea maasi kwenye Taifa letu

    Salam, Nimekua najiuliza mara nyingi sana kuwa hizi nguvu zinazotumika kushabikia vita au maasi kwenye nchi ambazo wala hazituhusu, si tungezitumia hapa kwetu kukemea maovu? Mfano ni haya yafuatayo 1. Ndani ya kipindi kisichozidi siku 10 yaani kati ya November 25 - December 2 Polisi...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Eng. Ulenge: Ifike Wakati Tuangalie Vipaumbele vya Taifa Letu Ili Tuweze Kusonga Mbele

    MBUNGE ENG. ULENGE: IFIKE WAKATI TUANGALIE VIPAUMBELE VYA TAIFA LETU ILI TUWEZE KUSONGA MLELE "Kamati ya Miundombinu tulikutana na Kamati ya Wizara ya Fedha, kiliniumiza ni kuwepo na miradi mingi ya maendeleo ambayo Fedha haziendi kwa wakati. Ifikie wakati tuangalie vipaumbele vya Taifa letu...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Lile fupa lililowashinda marais wanaume 4, rais mwanamke 1 aligegeda kama mlenda!. Miswada 3 ya ukombozi mpya wa taifa letu yatua bungeni asubuhi hii

    Wanabodi Bandiko hili ni utangulizi wa mabandiko haya Pongezi Rais Samia, Serikali, Kukubali Kubadili Sheria ya Uchaguzi, Tume Huru ya Uchaguzi!. Tuanze na Katiba Kwanza Ndipo Sheria Au?. Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tulipende Taifa letu na Rais wetu ili Taifa lipate Baraka za Mungu

    Leo nazungumzia upendo kwa Taifa pamoja Rais wetu. Nilazima Taifa letu kwanza ndio iwe ibada yetu sisi wa Tanzania na jambo la pili ni Rais wetu wa Jamuhuri ya Muungano na yule wa Zanzibar. Jamani tuwapende mambo mazuri yatatokea napenda kuwakumbusha tupunguze midomo na Tupunguze maneno mengi...
  5. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Miradi mikakati yote aliyoianzisha hayati Magufuli imekwama kutekelezeka. Taifa letu linakwamishwa na genge la watu wachache wasio na nia njema

    SGR kipande cha Dar mpaka Dodoma angekuwepo hayati JPM sasa hivi kingekuwa kimekamilika. Hali ya usafirishaji mizigo na abiria ingeimarika. Mradi wa JNHP kwa mwaka huu ungeanza kuzalisha umeme na bei ya umeme ingepungua. Mgao pia ungeisha kabisa. Hii ni mifano tu ya miradi ambayo imekwamishwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli usiowekwa wazi: Hayati Nyerere aliacha taifa letu likiwa masikini sana kiuchumi pamoja na kutoa msaada kwa nchi za jirani

    Alisaidia na kukomaa mataifa ya jirani yapate uhuru akasahau kabisa kuendeleza taifa letu. Kauli mbiu ya kuwa sisi kuwa huru huku majirani zetu hawako huru sio vyema ilifanya akasau kuendeleza taifa letu. Aliacha miundo mbinu iko hovyo, shule chache, hospitali chache na kila kitu kikiwa hovyo.
  7. Mkurugenzi Wa Mashirika

    JamiiForums Tanzania Matatizo yote ya taifa letu yanatokana na kutokujua kiingereza vizuri na msingi mbovu wa kiingereza

    Matatizo yote ya taifa letu yanatokana na kutokujua kiingereza vizuri na msingi mbovu wa kiingereza. Huo ndio ukweli lazima tuuseme. Ukiingalia mataifa yote yanayotumia kiingereza kama official language yanatuzidi sana kwenye maendeleo na kutekeleza mambo muhimu. Watu wao wako very seriously...
  8. comte

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo hali ya Nishati ya Umeme katika Taifa letu

    Top 10' ya mikoa iliyoongoza kwa matumizi makubwa ya umeme 2022: 1.Dar es Salaam-2,805.9 GWH 2.Pwani-635.7GWH 3.Arusha-413.9 GWH 4.Shinyanga-411.2 GWH 5.Tanga-408.7 GWH 6. Mwanza-344.5 GWH 7. Morogoro-307.5 GWH 8.Dodoma-249.3 GWH 9.Mbeya-231.5GWH 10.Mara-215.1 GWH
  9. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania 'Mzigo mzito mpe mnyamwezi'. Tumshauri mbinu gani za kulibeba hili zigo zito la nishati ya Taifa letu

    Nishati ndiyo roho ya taifa lo lote. Uchumi na ustawi wa nchi hutegemea upatikanaji wa kutosha na wa bei nafuu wa nishati. Uharibifu wa tabia nchi unatokana kwa kiasi kikubwa na ukataji miti kwa ajili ya kuni na mkaa kwa sababu ya ukosefu wa nishati mbadala ya bei nafuu. Suala la nishati na...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni chaguo la Mungu na aliandaliwa na Mungu kuongoza Taifa letu

    Ndugu zangu watanzania, Huo ndio ukweli, ndio uhalisia,ndio jibu kwa wale wote wanaojiuliza ujasiri mkubwa alio nao na alio uonyesha Rais samia katika kuongoza Taifa letu pamoja na mafanikio makubwa aliyoyapata ndani ya muda mfupi. Ni dhahiri katika ulimwengu wa kiroho Mwenyezi Mungu alikuwa...
  11. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Gharama ya Kutojali Elimu: Jinsi ‘Kucheza ’ na Kujifunza kunavyotishia mustakabali wa Taifa letu

    Gharama ya Kutojali Elimu: Jinsi ‘Kucheza ’ na Kujifunza Kunavyotishia Mustakabali wa Taifa Letu Mwandishi: MwlRCT 1. Utangulizi Je, unajua kuwa Tanzania ina kiwango cha chini cha uandikishaji wa elimu ya sekondari kuliko nchi nyingine za Afrika Mashariki? Hii inaonyesha kuwa kuna tatizo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uhai wa Taifa letu

    Uhai maana yake ni Yenye pumzi ,katika maisha ya Mwanadamu uhai upo ndani ya nafsi ambapo Kuna Akili ,hisia na roho ,na kwa namna ya nje Mwanadamu Amebeba mwili . Ili Mwanadamu awe na uhai ni muhimu nafsi yake Yaani Akili ,roho na hisia viweze kufanya kazi vizuri . Uhai wa Taifa ni jumla ya...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Suala la Simba kuzindua jezi katika kilele cha Mlima Kilimanjaro sio suala la kimichezo ila ni la kiroho litakaloathiri sana siasa za Taifa letu

    Wasalaam. Wanasema kila jambo fulani liwe zuri au liwe baya basi hutanguliza alama, dalili, viasharia na taarifa fulani za kimafumbo ambazo ni lazima watu wazima wakae chini, wapasue vichwa vyao kuweza kuzi uncode hizo secret codes. Mwaka 1961 Nyirenda alipandisha bendera ya Tanganyika na...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Somo la sheria kwa lazima kuanzia shule ya msingi halikwepeki katika taifa letu

    Ndugu watanzania katika jukwaa hili, Kwa mambo yanayo endelea sasa katika taifa letu ni wazi somo la sheria halinabudi kuanza kufundishwa kuanzia shule za msingi na iwe lazima. Mpaka muda huu nashindwa kutofautisha neno mkataba zidi ya neno makubaliano. Kila wanaoelezea kila mmoja anaelezea...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku: Watanzania hawajaridhika na uwekezaji wa bandari, serikali isione aibu kuachana nao

    Mzee Butiku anasema kwa namna kelele zilivyo nyingi kuhusu suala la bandari serikali Ina namna mbili tu.. 1. Kiheshimu hofu na maoni ya wananchi kwamba hawajaridhika na suala hili, au 2. Kuwapuuza wananchi na kuendeleza na suala hili. Lakini wapime madhara ya kila uamuzi watakaoifanya...
  16. Lidafo

    JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu wa Idara ya Usalama wa Taifa kuwa na Tovuti yake Itayosaidia Utoaji na Upatikanaji wa Taarifa kwa ulinzi wa Taifa letu

    Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania (TISS) Ni Idara ambayo inamajukumu ya kukusanya, kuchunguza na kuchambua Taarifa na shughuli zote zinazohusiana na Usalama wa Taifa. Ikiwa ni pamoja na kubaini matishio yote dhidi ya Tanzania lakini pia kushauri wizara zote juu maswala ya ulinzi na Usalama...
  17. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Think Tank ya taifa letu ndiyo akina Nape?

    Naombeni kujua kama aina hii ya watu ndiyo tunao wategemea kama taifa kufikiri kuhusiana na kesho yetu. Mtu ambaye ameshindwa kutatua changamoto ndogo ndogo za wananchi katika jimbo lake anawezaje kuwa na solution sahihi kwa taifa? Mtu mwenye viashiria vya unafiki uliotukuka anawezaje...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Tulitegemea Muswada mpya wa Sheria ya Usalama wa Taifa uwe na tija katika maswala ya kiuchumi ya Taifa

    Tulitegemea muswada mpya wa Sheria za TISS uwe na tija katika maswala ya kiuchumi kama taifa letu. Kwa mtizamo wangu muswada huo umegusia zaidi katika kuwaongezea ulinzi viongozi wa Juu, tunaomba sheria ziwe chachu ya kulikomboa taifa letu kama vijana bado tunasafari ndefu sana ya kulijenga...
  19. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania CLOUDS: Mishahara ya walimu inadhalilisha utu wao

    Mpaka vyombo vya Habari vimeliona hili, walimu mjitathimini vinginevyo mtadharaulika mpaka kufa kwenu. Mnachekwa mpaka na watoto wanadai mmekuwa ombaomba kwa kuwaomba wanafunzi wawanunulie Chai muda wa break na wakisema pesa hawana mnawachapa. Walimu wengi mnawalazimisha wanafunzi wanunue...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuombea uchaguzi wa 2025 katika Taifa letu: Somo toka Ukraine

    Gia aliyoingia nayo Zelensky kwenye kampeni ya uchaguzi huko Ukraine ni KUAHIDI KULETA AMANI kwenye majimbo mawili ya Donbass yaliyojitenga. Aliahidi kuwa atayaruhusu kuwa na uhuru wa ndani lakini yakiwa ndani ya nchi ya ukraine kama ilivyo Hongkong iliyo huru lakini chini ya himaya ya China...
Back
Top Bottom