taifa letu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Taifa linaangamia: Afya zetu za akili ni jukumu letu sote

    UTANGULIZI Uchungu wa kumpoteza mtu unayempenda, kazi unayoipenda au kitu unachokipenda kinaweza kuleta athari kubwa zisizoelezeka. Changamoto hazikwepeki maishani na wahenga walisema shida tumeumbiwa binadamu. Lakini ni jinsi gani tunaweza kuzikabili hizi changamoto wakati zinapotukuta? Kila...
  2. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania SoC03 Siku ya Nyerere (Oktoba 14) iwe kielelezo cha uchapaji kazi wa Baba wa Taifa letu na sio alama ya uvivu (Kukaa Nyumbani) wa Mtanzania

    Habari za wakati huu ndugu zangu wote. Kufanya kazi kwa bidii ni jambo muhimu sana ambalo sote tunahitaji maishani mwetu. Haiwezekani kufikia malengo fulani makuu bila kufanya kazi kwa bidii. (Picha kwa hisani ya mtandao wa Google) Kwa maneno mengine ninaweza kusema ya kwamba, mtu asiyefanya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa namna Shujaa Magufuli alivyotumika taifa letu ujengwe mnara mkubwa Chato eneo la mataa Muungano ili iwe kumbukumbu shadidi

    Akiwa waziri alipambana kulinda rasilimali za umma. Akazuia wizi wa pesa za umma na barabara zikajengwa. Alipokuwa rais ni kwa miaka mitano tu aliweza kufanya makubwa . Ili kuenzi makubwa aliyofanya hasa kudhibiti wizi wa mali za umma. Basi ijengwe sanamu mjini chato kulinda heshima na...
  4. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Sababu gani zinafanya Taifa letu lisiwe na Uraia Pacha?

    Kwa wenye uelewa kuhusu uraia pacha naomba ufafanuzi kidogo. Maana Tanzania uraia pacha hatuna hii imekaaje, au ndo maana tunafeli kisoka? Maana baadhi ya nchi yenye uraia pacha kwenye soka zinatamba mfano Morroco.
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Taifa letu limekosa upinzani halisi. WanaCCM wawe wapinzani wa kweli na kumkosoa rais Samia anapokosea

    Hayati Julius Nyerere alipotabiri kuwa upinzani wa kweli utatokea ndani ya CCM alitatabiri vyema kabisa maana mpaka sasa hakuna upinzani dhidi ya CCM pamoja na multiparty system kuanzishwa hapa nchini. Leo hii wapinzani waliopo wapo kwa ajiri ya kujaza matumbo na kulamba asali huku raia...
  6. EBENEZER S MATHEW

    JamiiForums Tanzania Tunakwenda wapi? Tujiangalie vijana

    Ni usiku sana ninapoandika ujumbe huu. Usingizi umepaa, amani nimekosa, moyo umekataa kutulia. NINAOGOPA. Napata uoga kila ninapotaza hali ya vijana wa leo. Vijana wenzangu. Nguvu kazi, watu wa muhimu kuelekea maendeleo ya taifa. Napata mashaka ninapofikiri kuwa vijana hawa ndio wanaopaswa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Taifa Letu lina nuksi

    “Ukitaka kuona taifa letu lina nuksi wakati tunalilia wazawa wawe katika ubora wao, rafiki yetu Fei Toto amegoma kuichezea timu yake. Katikati ya msimu ameanzisha vurugu za mkataba matokeo yake tuliyaona katika mechi za Taifa Stars. Hakuonyesha ubora wowote ule.” Edo Kumwembe.
  8. Babyloni

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi ni hazina kwa taifa letu akiweka siasa za uchawa pembeni

    Taifa letu limejaliwa kuwa na wabobezi wengi katika nyanja mbali mbali kama siasa, uchumi n.k. Nikiri kuwa siasa za nchi hii zinawaharibu wataalamu wetu wengi kwa ambao tumebahatika kumfahamu prof Kabudi kabla ya kuingia katika siasa za CCM watakubaliana na mimi kuwa huyu prof ni smart sana na...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Watu wa Tanzania tuna uwezo wa kulifanya taifa letu liwe kubwa?

    Taifa lolote duniani linajengwa na watu wenye Historia, maono, tamaduni zenye nguvu na lugha inayowaunganisha pamoja. Tangu taifa letu lizaliwe umaarufu wetu ni nini kama taifa, watu wetu wana uwezo wa kulifanya taifa kuwa na nguvu ya kisiasa, kiuchumii, kisanaa na kijamii. Watu wetu wanaheshimu...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania TISS mnatuangusha tunaowaamini kwa kutomsaidia Rais na Mali za Taifa letu

    TISS inawezekana vipi Mtu anakopa au anaiba Pesa za Watanzania na Kukimbia nchi halafu hamjui? TISS kuna Matukio mengi sana yanaendelea nchini ambayo mna Dhamana nayo Kiusalama ila huwa hakuna hatua mnazochukua Kukabiliana nazo. Hivi TISS mnajua kuwa mnaaminika n kuheshimika sana na Watanzania...
  11. Titho Dyakiye Philemon

    JamiiForums Tanzania Siasa safi itatokana na uzalendo wa kitaifa wa wanachama na siyo matakwa ya wenye Chama

    Licha ya uhuru wa kisiasa uliopo nchini kwa sasa ni mapema sana kusema kwamba hali ya siasa imeshakuwa shwari. Siasa inayoendelea hivi sasa ni ile ya kuvuta utayari na kuwaaminisha watu kuwa kuna kile walichokimis ambacho kimsingi kwa sasa wanapaswa kukitarajia. Hii hali ni hatari katika siasa...
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hivi viongozi wetu mnajiskiaje kwa kutomteua Pascal Mayalla kulitumikia taifa letu

    Sito andika sana katika uzi huu bali nitatoa swali tu. Hivi viongozi wetu mnajiskiaje kwa kuto mteua Pascal Mayalla kulitumikia taifa letu? Yaani hapa lazima kieleweke. Kwa kuanzia Bwana Pascal Mayalla anafaa kuwa mkuu wa mkoa au wilaya au mkurugenzi au mbunge wa kuteuliwa. Kati ya hizo...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tukipunguza wivu na kupendana taifa letu litaenda mbele zaidi

    Leo naomba niseme tu ya moyoni bila kuweka siasa. Jamii zetu sisi kama Watanzania kwa kuishi kwangu nje ya nchi kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Lakini nimekaa na jamii tofauti, nimetembea nchi tofauti na kuona jamii zao lakini vilevile nimeishi na watu wa jamii karibia za aina zote hapa Duniani...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa kuliokoa Taifa letu la sasa lenye Vijana 'Nyoro Nyoro' wengi naomba Mafunzo ya JKT yawe ni ya Lazima

    Utakuwaje na Taifa lenye Watu Shupavu ( tena kwa Vijana ) kama unakutana na Kijana wa Kiume kapanda DalaDala kutoka Makonde Mbezi Beach na anashukia Kituo kinachofuata cha Goigi huku akijiona ni Mjanja? Nilikuwa najiuliza sana tu ni kwanini Vijana wengi wa Kiume Siku hizi ni Wavivu, hawapendi...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania tujiamulie hatma ya taifa letu wenyewe tusitegemee mtu

    Kwa namna mwenendo wa siasa na vyama vya siasa vilivyo ni dhahiri viongozi wanahangaikia zaidi vyakwao kuliko maslahi mapana ya wananchi kwa ujumla. Hili lina sababu 2; moja ni kwasababu Watanzania tumeonyesha kuwategemea wao zaidi kuliko nguvu Umma; mbili ni wao viongozi wenyewe kujua kwamba...
  16. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema acha uongo na utapeli wa kisiasa. Taifa letu halijawahi kuwa na mkimbizi kama wewe. Ulikosa Ubunge ndio ukatafuta fursa

    Lini wewe ulikuwa mkimbizi wa kisiasa? Mbona ulipokuwa Mbunge wa Arusha mjini hukukimbia? Ulipokosa Ubunge ndio ukakimbia? Acha uzushi 👇
  17. R

    JamiiForums Tanzania Wasiojulikana walichangia au walidumaza maendeleo ya Taifa letu? Siku hizi wapo wapi?

    Ni zipi faida za wasiojulikana kwenye Taifa kama Tanzania hasa upande wa kukuza uchumi? Nchi kama Tanzania inanufaikaje inapokuwa na watu wasiojulikana? Wakubwa watabaki salama endapo wasiojulikana wameamua kukaa kimya? Kama wamezihifadhi nafsi za watu wasijulikane walipo, je wameshiba damu au...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kuondolewa Mwenge na kuwekwa Tanzanite daraja la Salender (Tanzanite Bridge) ni ishara ya mwisho wa laana kwa Taifa letu

    MAJIRA YA LAANA YAMEKOMA, SASA NI MWANZO WA MAJIRA MAPYA YA BARAKA TELE KWA TAIFA LETU. Leo nachukua fursa hii kumpongeza mama kwa kuupiga mwingi. Rais wetu Samia Suluhu Hassan baada ya kusoma kuhusu laana zinazotumaliza kutokana na kukimbiza mwenge, akaamua auondoe na kuweka Tanzanite madini...
  19. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Watanzania huu ndio wakati wa kuchuja ngano na Magugu. Wanaoliibia taifa letu wanatamba hadharani. Mbona huu ndio wakati wa kuwakataa

    Tozo za kila namna. Mbona huko nyuma hakukuwa na tozo. Mgao wa umeme. Mbona huko nyuma hakukuwa na mgao wa umeme? Mbona hatuoni miradi mikakakati kama huko nyuma? Huu ndio wasaa wa kuchambua magugu na ngano na kufanya maamuzi.
  20. Pac the Don

    JamiiForums Tanzania Taifa letu linateketea kwa uchawa wakuu

    Wazee hivi hakuna namna ya kuishi tu hata kwa kipato duni ? Kweli mwanaume anajitoa ufaham angalau apate chochote kitu 😂😂😂. Mkulungwa Mushi hii sio sawa!!
Back
Top Bottom