taifa letu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kila baada ya wiki Kuna kuwa na jambo linalo trend katika taifa letu. Mfano wiki iliyoisha jambo lilikuwa Lina trendi ni mauaji ya Mtoto Asimwe

    Kila baada ya wiki Moja linaibuka jambo jipya sana Lina trend sana Kwa Tanzania Kwa mfono wiki iliyoisha yalikuwepo matukio mawili makubwa ambayo ni Mauaji wa Mtoto Asimwe na Mgomo wa Wafanya biashara Nchi nzima. Sasa wikii hii (01.07.2024) Hostest news Kwa Tanzania ni 1.Mchungaji peter Msigwa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Taifa letu nguvu moja ili kuifikia Tanzania tuitakayo miaka 10 hadi 30

    Tanzania ni nchi iliyo barikiwa sana ilikuifikia Tanzania tuitakayo ,ningependa kutoa maoni yangu katika secta ya madini Nchi yetu ina madini ya kutosha hususani madini ya chuma yanayo patikana mkoa wa njombe na makaa ya mawe yanayo patikana mkoa wa Ruvuma hivyo basi ili kuweza kuyeyusha chuma...
  3. O

    JamiiForums Tanzania SoC04 Bei nafuu ya uniti za umeme itaongeza uzalishaji na kukuza uchumi wa taifa letu

    Umeme ni nishati muhimu sana na tunu katika manufaa makubwa ya maisha yetu ya kila siku. Umeme unaumuhimu mkubwa sana katika nyanja zifuatazo; 1. Uendeshaji wa viwanda vikubwa na vidogo vidogo. Umeme husaidia sana kuendesha viwanda hivyo gharama zikiwa kubwa ata bidhaa zitauzwa kwa bei kubwa na...
  4. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tuwalinde na kuwatetea watoto wa Taifa letu dhidi ya ukatili wa kijinsia kwa kufanya yafuatayo

    Ukatili wa kijinsia kwa watoto ni kitendo chochote anachoweza kufanyiwa mtoto na kikasababishia madhara ya kimwili, kisaikolojia na kiafya. Ukatili wa kijinsia kwa watoto unaweza kusababisha madhara mengi ikiwemo mtoto kutengwa katika jamii, mtoto mwathiriwa wa ukatili kujiua na mateso mengine...
  5. Heart Wood.

    JamiiForums Tanzania Ili TAIFA letu lipige hatua kimaendeleo, tunahitaji ku-focus kwenye mambo machache na kuyapa kipaumbele zaidi.

    Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Kwenye principle ya uchaguaji wa jambo flani katika mengi, maana yake umekubali kuyakosa hayo mengine. Kumbuka kuwa haimanishi hayo mengine huyahitaji ila imekubidi kuchagua jambo moja muhimu zaidi kwa wakati huo. Ukiangalia kwa umakini, utagundua...
  6. Heart Wood.

    JamiiForums Tanzania Ili TAIFA letu lipige hatua kimaendeleo, tunahitaji ku-focus kwenye mambo machache na kuyapa kipaumbele zaidi.

    Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Kwenye principle ya uchaguaji wa jambo flani katika mengi, maana yake umekubali kuyakosa hayo mengine. Kumbuka kuwa haimanishi hayo mengine huyahitaji ila imekubidi kuchagua jambo moja muhimu zaidi kwa wakati huo. Ukiangalia kwa umakini, utagundua...
  7. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Taifa letu la kesho

    TAIFA LETU LA KESHO Katika kipindi cha miongo kadhaa iliyopita, Tanzania imepiga hatua kubwa katika nyanja mbalimbali za maendeleo. Hata hivyo, bado kuna safari ndefu ya kufikia maendeleo endelevu na ustawi wa jamii. Tanzania ijayo inahitaji mkakati madhubuti utakaohakikisha kwamba kila...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nyumba na makazi bora kwa raia yenye kuleta tija kwa maendeleo ya taifa letu

    UTANGULIZI Ningependa kumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa fursa hii muhimu kwa kuleta mapendekezo na mawazo bunifu yatayoimarisha nchi yetu kwenye sekta ya nyumba na makazi bora kwa raia wa Kitanzania. Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokua kwa kasi kiuchumi, hii inafanya kuwa na ongezeko kubwa la...
  9. Vvan12

    JamiiForums Tanzania SoC04 Jitihada za dharula zielekezwe katika kukuza TEHAMA nchini kwa manufaa ya kiuchumi na usalama wa taifa letu

    TEKNOLOJIA- SILAHA KALI YA ULIMWENGU MAMBOLEO. Ni ukweli usio fichika kwamba karne ya ishirini na moja imeshuhudia mabadiliko makubwa sana katika ukuaji wa teknlojia duniani. Sekta kama viwanda,kilimo na ata sekta za huduma kwa jamii kama hospitali na elimu zimenufaika na mageuzi haya ya...
  10. L

    JamiiForums Tanzania David Kafulila anakumbukwa na wakulima wa Simiyu kwa kupaisha bei ya Pamba kufikia Tsh. 2200 kwa kilo katika historia ya Taifa letu alipokuwa RC

    Ndugu zangu Watanzania, Uongozi ni kuacha alama zinazoishi katika Maisha na mioyo ya watu, ni kuacha kitu kitakacho simuliwa vizazi kwa vizazi,ni kuacha rekodi ambayo itaimbwa na kuzungumzwa na watu kwa miaka mingi hata kama wewe utakuwa haupo uongozini au Duniani lakini utaendelea kuishi na...
  11. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Taifa letu lilianzishwa kwa misingi ya dini

    Hii ni historia ya Tanganyika ambayo inasimuliwa na Sheikh Zuberi bin Yahya. Anasema Sheikh Zuberi( pay attention) Seyyid Majjid, Sultan wa Zanzibar kuanzia Octobet 19,1856 mpaka October 7, 1870, alininua kiwanja kikubwa maeneo ya Mzizima eneo ambalp linajumuisha viwanja vya Ikulu,kanisa la...
  12. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Biblia na Quran vinachangia kiasi gani kwenye Pato la taifa? Watumiaji wa vitabu hivi acheni kuwasakama walevi, wao ndio wanajenga taifa letu

    Inasikitisha sana. Vitabu vya dini havina Kodi, kama vina Kodi basi ni kidogo sana. Pombe zinaingizia Serikali faida kubwa kupitia Kodi. Hivyo walevi ndio wajenga nchi yetu. Barabara zetu, shule, vituo vya afya na mambo mbalimbali ya kimaendeleo yanategemea zaidi walevi kuliko walei. Cha...
  13. mzee wa liver

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa mwendazake ni janga Kwa Taifa letu

    Aisee angalia wabunge wetu wanayojadili bungeni Kumekuwa na utabiri wa hali ya hewa wa kutahadharisha juu ya majanga mbalimbali ikiwemo vimbunga kwa bahati mbaya sana hivi karibuni tumeona kwamba majina mengi yamekuwa ya jinsia ya kike, kama kimbunga Cleopatra, Katarina na hivi karibuni...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Unaweza ukahisi industry inayoendesha uchumi wa taifa letu kwa sasa ni mpira, comedy na muziki

    Sikatai hivyo vitu Kwa sehemu kubwa vimeajiri watu wengi na ni matumain ya kila mmoja kuona vinakuwa kwani vina mchango pia ila why vimeshika kasi mno kipindi hiki cha uchaguzi huku tukiwa tumechezea majanga ya asili ya kutosha. Sijasikia wabunifu wa sayansi na teknolojia kuitwa ikulu au kwenye...
  15. Kong xin cai

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tusichague viongozi (wabunge) kwa kigezo cha wao kuja kutatuta matatizo yetu. Tuchague viongozi waaminifu na wenye uzalendo juu ya taifa letu

    TANZANIA TUITAKAYO 1.0 UTANGULIZI Takribani miaka 63 imepita tangu Tanganyika kupata uhuru na miaka 60 ya muungano wa jamuhuri ya muungano wa tanzania. Chaguzi nyingi zimepita pamoja na marekebisho mbalimbali ya katiba yamekwisha fanyika ili kuleta uongozi bora na kuimarisha demokraia nchini. Ni...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Kuteua na kutengua kuwe na muongozo, yasiwe ni matakwa ya kiongozi tu

    Habari wadau. Nimekuwa nikitafakari utendaji wa rais wa tz .kila siku ni kufanya uteuzi kwa masirahi ya nani??Unakuta mtu amekaa kituo cha kazi miezi 4 Alafu anahamishwa kwenda kituo kingine je atakuwa amefanya kazi gani ndani ya miezi 4? Watanzania tubadilike hii nchii tunaiharibu wenyewe kwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri CCM na Serikali yake wameshindwa kuongoza nchi. Taifa letu limegeuka "A Failed State"

    Huhitaji kuvaa miwani ya uoni mkubwa kuweza kuona dhahiri shahiri kuwa nchi yetu imefeli, tena imefeli kila idara. Hakuna jambo lenye nafuu katika nchi yetu. Kila kitu ni bora liende, nchi inaporomoka kwenye korongo na ni kama hakuna anayejali. 1. Miaka zaidi ya 60 bila ya umeme wa uhakika...
  18. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tujihoji: Kwa nini hayati Julius Nyerere alitaka taifa letu liwe na Viongozi kama hayati Mkapa na hayati Magufuli na Sio Lowassa au Jakaya?

    Ukweli ni kuwa Nyerere alikuwa na maono, aliweza kujua nani kiongozi ambaye atatumikia wanyonge kwa manufaa ya taifa. Na nani atakuwa mpigaji. Wapigaji wanajulikana. Mfano Jakaya alipokuwa madarakani ilikuwa ni skendo za upigaji tu. kagoda, Richmond, Escrow na sasa Dp world ya Dubai. Hayati...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhakika wa Mwigulu Nchemba kurudi Iramba?

    Baada ya kufuatilia kwa kina siasa za kimajimbo na kuangalia nyadhifa za kiwaziri nikagundua kuwa tangu kuanze kwa utawala wa kibunge ni Mbunge mmoja tu aliwahi kushika nafasi ya ubunge kwa miaka 2o Jimbo la Iramba - na hasa Iramba Magharibi ambaye ni aliyewahi kuwa Waziri wakati wa kipindi cha...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Chatanda Asema Bibi Titi Mohamed ni Muasisi Bora Katika Taifa Letu

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amesema historia ya Bibi Titi wanawake na wananchi wanajifunza mengi kuhusu uzalendo kwa nchi yao, uwezo na nafasi ya mwanamke kwenye jamii, mchango wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi kwenye Taifa hili. Akizungumza...
Back
Top Bottom