taifa letu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pac the Don

    JamiiForums Tanzania Taifa letu linateketea kwa uchawa wakuu

    Wazee hivi hakuna namna ya kuishi tu hata kwa kipato duni ? Kweli mwanaume anajitoa ufaham angalau apate chochote kitu 😂😂😂. Mkulungwa Mushi hii sio sawa!!
  2. ommytk

    JamiiForums Tanzania Vijana wa taifa letu mnasikitisha. Saa 12:30 asubuhi Jumatatu nakutana na kijana duka la dawa ananunua kondomu

    Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini. Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wakulima tumpuuze Dr. Bashiru Ally hana jema kwa Taifa letu

    Hali isiyokuwa ya kawaida tarehe 17 Novemba, 2022 wakati wa mkutano wa wakulima Dr. Bashiru Ally aliongea maneno yenye chuki, kuvunja moyo na yenye uchochezi na kumgombanisha Rais na wakulima ili hali wakulima wanajua mazuri yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha muda mfupi...
  4. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Watanzania tupo makini na taifa letu, basi Mkuu wa Mkoa wa Tanga hastahili kuwepo ofisini

    Kama taifa tuna Mambo na vitu vingi vya kufanya lakini kwajili alilofanya Omary Mgunda aisee hapana huyu bwana arudi tuu kule kwenye Biashara ya mazao. Haiwezekani kijana Mdogo aliefanya jambo lake kishujaa na kiitifaki kama Taifa na serikali lishakubali na kumpa medani, Sasa katika kipindi...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Rais ndiye anajua kwa usahihi miradi itaisha lini na kiwango cha uchumi wa taifa letu

    Rais ndiye anatafuta pesa zote za miradi na kujenga uchumi wetu. Hivyo ni yeye ndiye anajua kwa undani zaidi ukamilikaji wa miradi na level ya uchumi wa taifa letu. Tuwe makini kumsikiliza Rais wetu anapohutubia.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kumpatia Majaliwa ajira Zimamoto, kumpelekeka Bungeni na kumpatia mil 5 sio suluhu ya matatizo ya taifa letu

    Tuna changamoto lukuki kama taifa ambazo zinatakiwa kupatiwa suluhu na serikali kupitia vyombo vya dola na wala sio porojo za kisiasa. Tuna majambazi, panya road na vibaka. Wanasumbua kwa zaidi ya miaka ishirini. Hapa napo tusaidiwe na akina majaliwa? Tuna wahamiaji haramu kibao wanaishi na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Pombe kali za bei rahisi zinaliharibu taifa letu. Vijana wanahariba afya. Nguvu kazi ya taifa inatekeketea

    Hizi pombe ni kali zaidi hata ya gongo, zinaharibu afya ya vijana wengi nguvu kazi ya taifa. Vijana wanakauka, wanakunywa bila kula, zinaharibu kila kitu maana wanashindwa hata kuperform kitandani.
  8. technically

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Taifa letu limelaaniwa

    Tuna silaha za moto kuua watu kwenye Mbuga za wanyama kisa walienda tu kuwinda swala. Tuna Magari ya TRA (land cruiser) mipakani kuwakamata vijana wanabeba sukari kg 20 kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine na kuwapa kesi za uhujumu uchumi. Tuna boti za patrol ziwani 24/7 kukamata wavuvi na...
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hii ni aibu, mkuu wa nchi analalama juu ya ukosefu wa maji wakati taifa lina waterbodies za kutosha kusambaza maji nchi nzima

    Kiongozi mkuu unalalama kuwa watu wanakosa maji kwa kwa sababu ya kukata miti! Kuna ziwa Victoria lina maji ambayo yanatakiwa kusambazwa mpaka Darisalama. Una Ziwa Tanganyika. Una Ziwa Nyasa na Ziwa Manyara na Eyasi. Kwa nini usisambaze maji toka hizi water bodies? Tutakukumbuka hayati.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa kwa taifa letu kuwa na taasisi kama Tahliso ambayo haijui kuwa Chadema wana haki kikatiba kukubali au kukataa hoja za kikosi kazi

    Mtu upo chuo kikuu unashindwa kutambua kuwa haki za kimsingi zimeanishwa wazi kabisa kuanzia ibara ya 13 - 29 ya katiba ya JMT Unabaki kubwabwaja hovyo kama unahara. Sio kila kinachofanywa na serikali hakitakiwi kupingwa inategemea. Ndio maana ibara ya 18 ya katiba ya JMT inatoa haki ya...
  11. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mambo ya ajabu yamelighubika taifa letu. Umeme unakatika ovyo huku Waziri mwenye dhamana anadai kuna Megawatts 14000 za ziada

    Kwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme. Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku. Huyu Waziri ana wafanya Watanzania ni wapuuzi.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Nakushukuru Rais Samia kwa kudumisha utulivu wa kisiasa kwenye taifa letu

    Alipozungumza kwenye mkutano wa rais amesema Rais ameleta utulivu wa kisiasa kwa nchi yetu hasa baada ya kuunda kikosi kazi. Amesema Rais Samia ana dhamira ya dhati ya kufanya mambo makubwa kwa taifa letu, akiwaomba wananchi wampokee na kumuunga mkono. --- "Rais wetu ana dhamira njema sana...
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ukweli usiopingika: Katika marais waliotumikia taifa letu ni hayati JPM pekee aliyefanya makubwa kwa muda mfupi kuliko marais wote waliotutawala

    Pamoja na hayati Julius kutawala kwa miaka 23 huwezi kulinganisha makubwa aliyofanya na yeye na hayati Magufuli. Hayati Julius aliacha nchi imechakaa kwa kila namna, miundo mbinu hovyo, ajira hovyo na hata taifa halikuwa na pesa kabisa. Huyu Mwinyi ndio alizingua maana hakuna alichofanya cha...
  14. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania DOLA (the state) nawaomba muingilie Kati zuio la mikutano ya hadhara ya upinzani nchini kwa afya na mstakabali wa taifa letu!

    Najua nyie mpo loyal KWA taifa hili,mmelilinda tangu kuasisiwa kwake, Najua nyie Ndio mmeiruhusu ccm kuwa Chama Tawala tangu kuanzishwa kwake hadi leo,bila nyie CCM isingekuwepo madarakani Hadi leo! Najua mmewapenda upinzani na mmeulea KWA Namna Moja au nyingine Lakini hamkuweka wazi hisia...
  15. NYANOHA

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mchango wa utalii katika maendeleo ya taifa letu. "Tuuthamini basi"

    MCHANGO WA UTALII KATIKA MAENDLEO YA TAIFA LETU. "TUUTHAMINI BASI" Utalii una mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa letu la TANZANIA, hivyo basi ni jukumu letu sote kuuthamini utalii huu ili uendelee kuleta tija ndani ya nchi yetu na katika nyanja na idara mbalimbali, kama vile, miundo...
  16. Neemawalterr

    JamiiForums Tanzania SoC02 Fikra sahihi na tamaduni hii mpya itainua uchumi wa familia na taifa letu kwa ujumla

    Ni ukweli kabisa usiopingika kwamba serikali na mashirika ya siyo ya kiserikali yamejikita mno katika kuongeza fursa za wanawake ili waweze kujikwamua kiuchumi. Jambo hili ni faida kubwa kwa nchi yetu, kwani takwimu zinasema kampeni hizi zimepunguza umaskini Tanzania kutoka 34.4% kwenda 26.4%...
  17. Brainwashed

    JamiiForums Tanzania SoC02 Aiba, malezi, maadili; kuvunja mnyororo wa uongozi mbovu

    Uongozi ndiyo kiini cha mafanikio au anguko la jamii yeyote ile. Hakuna jamii, tasisi, kampuni hata taifa ambalo mafanikio yake au anguko lake halihusishwi na uongozi wake uliyopita au uliyopo sasa. Wengi wetu tunakubalina na dhana hii, na ndiyo sababu tunakuwa wepesi kuwaanyooshea vidole vya...
  18. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nini kifanyike kwa viongozi wetu tupate timu bora ya taifa letu la Tanzania?

    Kwa jina naitwa Ramadhani Selemani Ramadhani ni kijana wa kitanzania nina umri wa miaka 28 kwa sasa leo ningependa nizungumzie mambo mbalimbali yanayo weza kufanyika ilimradi kuweza kufanikiwa kufika mbali katika timu yetu ya taifa. Mpira ni mchezo wenye washabiki wengi sana duniani kote na...
  19. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mwanga wa Taifa letu la Tanzania

    Mimi ni kijana wa Tanzania mwenye umri wa miaka 28. Nimeona leo nizungumzie masuala yanayousu taifa letu au nchi yetu ya Tanzania kwa utafiti wangu nilioufanya ndani ya miaka 6 kwenye mikoa ipatao 7 ndani ya nchi yangu ya Tanzania. Ninaposema mwanga wa Taifa kuna baadhi wa watu wanaweza...
  20. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Afya iliyo imara kwa Taifa la leo ndio msingi imara kwa taifa la kesho

    UTANGULIZI: AFYA:Ni hali kujisikia vizuri kimwili,kiakili,kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote. Afya ya binadamu itakua njema kama atafuatilia kanuni na taratibu bora za afya.Afya inajumuisha mambo yafuatayo. 1. Chakula chenye virutubisho vyote vikiwemo protini,wanga,na...
Back
Top Bottom